David Kafulila: Wakati wa Rais Samia hati safi zimefikia 99% kutoka 89%

Nahuzunika unapomtwisha mama yetu kazi isiyoyake;kwani Rais ni afisa masuhuri? Kuwa na hati safi hakumanishi moja kwa moja kwamba watu hawajapiga hasa kunapokuwepo udhibiti hafifu wa ndani.Mkaguzi wa ndani ndiye anayeweza kuona upigaji lakini hawadhaminiwi na viongozi
 
Kila kibaya kapewa kwanini vizuri asipewe pia?
 
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amemtetea na kumpongeza Rais wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kupata ripoti nzuri ya CAG kwa jumla,

Bwana David Kafulila anasema Rais Samia na katika Kipindi chake hiki kifupi na kwa mujibu wa ripoti ya CAG ameongeza zaidi hati safi kutoka hati safi 800 za wakati wa Hayati Dkt John John Magufuli hadi hati safi 1,295 za sasa wakati wa Dkt Samia.

Mkurugenzi David Kafulila anaendelea kwa kusema vilevile Dkt Samia Suluhu Hassan amepunguza hati chafu kutoka hati chafu 10 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli hadi hati chafu moja (1 ) ya wakati huu wa Dkt Samia.

Wakati hati zenye mashaka nazo zikipungua kutoka hati zenye mashaka 81 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli mpaka hati zenye mashaka 5 za Wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Kwa matokeo haya na Kwakuwa namba hazidanganyi basi huenda Rais Samia hapigi sana kelele kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake ila yeye Sasa anatenda kazi zake kupitia kalamu kimya kimya kama alivyowahi kukaririwa na vyombo vya habari wakati flani.

==

==
Sawa
 
1743804816679.png
 
Amesoma theory, bado anatumia theory.
Mwambieni huyu kijana duniani watu wanaishi na real sense sio imagination, asichokijua na wenzie Kuna kitu duniani pia kinaitwa "under world" inawezekana JK hawaambiii hawa ndugu zake huko CCM labda his successor Riz.

Huwezi ukatoka Kigoma na kusoma SAUT ukayajua haya mambo ya Dunia angekuwa walau anaweza kuongea na ZZK angejifunza kitu huyu kijana.

Mumpe huyu kijana tour walau za NYSE na pale LSE au mitaa ya Manhattan anaweza kuelewa Dunia ni nini, mumlete hata pale Monaco kwenye yatch show aone Dunia ni nini...tired with this amateur boys..
 
Huwezi ukatoka Kigoma na kusoma SAUT ukayajua haya mambo ya Dunia angekuwa walau anaweza kuongea na ZZK angejifunza kitu huyu kijana.sko kweli

Mumpe huyu kijana tour walau za NYSE na pale LSE au mitaa ya Manhattan anaweza kuelewa Dunia ni nini, mumlete hata pale Monaco kwenye yatch show aone Dunia ni nini...tired with this amateur boys..
 
Amesoma theory, bado anatumia theory.
Mwambieni huyu kijana duniani watu wanaishi na real sense sio imagination, asichokijua na wenzie Kuna kitu duniani pia kinaitwa "under world" inawezekana JK hawaambiii hawa ndugu zake huko CCM labda his successor Riz.

Huwezi ukatoka Kigoma na kusoma SAUT ukayajua haya mambo ya Dunia angekuwa walau anaweza kuongea na ZZK angejifunza kitu huyu kijana.

Mumpe huyu kijana tour walau za NYSE na pale LSE au mitaa ya Manhattan anaweza kuelewa Dunia ni nini, mumlete hata pale Monaco kwenye yatch show aone Dunia ni nini...tired with this amateur boys..
Unataka afanye Practical kwenye Nini mkuu?
 
Back
Top Bottom