David Kafulila: Wakati wa Rais Samia hati safi zimefikia 99% kutoka 89%

==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amemtetea na kumpongeza Rais wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kupata ripoti nzuri ya CAG kwa jumla,

Bwana David Kafulila anasema Rais Samia na katika Kipindi chake hiki kifupi na kwa mujibu wa ripoti ya CAG ameongeza zaidi hati safi kutoka hati safi 800 za wakati wa Hayati Dkt John John Magufuli hadi hati safi 1,295 za sasa wakati wa Dkt Samia.

Mkurugenzi David Kafulila anaendelea kwa kusema vilevile Dkt Samia Suluhu Hassan amepunguza hati chafu kutoka hati chafu 10 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli hadi hati chafu moja (1 ) ya wakati huu wa Dkt Samia.

Wakati hati zenye mashaka nazo zikipungua kutoka hati zenye mashaka 81 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli mpaka hati zenye mashaka 5 za Wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Kwa matokeo haya na Kwakuwa namba hazidanganyi basi huenda Rais Samia hapigi sana kelele kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake ila yeye Sasa anatenda kazi zake kupitia kalamu kimya kimya kama alivyowahi kukaririwa na vyombo vya habari wakati flani.

==

==
Pua, wakati huo ndoa ya kafulia imenoga
 
Hamna kitu Kafulila, kwa mbali sana
 
Kwamba hii awamu ya Chura kiziwi mtu asiyejua hata kusimamia kodi zetu kuhakikisha kuwa zinatumika kwa usahihi ndio iwe na hati safi nyingi? Kwa kipi hasa alichokifanya hadi kuleta mabadiliko yote hayo? Au watumishi wa umma kwa roho zao wenyewe wameamua kuwa waadilifu na kuacha wizi???

Nataka nijue ni miujiza gani iliyotumika hadi kuleta mabadiliko yote hayo, maana bi tozo akishatoaga hela zikatumike hana tena muda wa kuzifuatilia na wote tunanua kasumba ya watumishi wa kibongo pindi wanapopewa uhuru..!

Bwana kafululia sio kila mtanzania ana akili ndogo kiasi hicho unachofikiri.
 
Sasa hata kama data ni za mchongo Sasa tutafanyaje?
rahisi,Independent body,yaani taasisi ya ukaguzi inatakiwa iwe kauzu,isiwe na uhusiano wowote,wowote na Mkaguliwa na ndipo itoe"fair &true view"
 
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amemtetea na kumpongeza Rais wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kupata ripoti nzuri ya CAG kwa jumla,

Bwana David Kafulila anasema Rais Samia na katika Kipindi chake hiki kifupi na kwa mujibu wa ripoti ya CAG ameongeza zaidi hati safi kutoka hati safi 800 za wakati wa Hayati Dkt John John Magufuli hadi hati safi 1,295 za sasa wakati wa Dkt Samia.

Mkurugenzi David Kafulila anaendelea kwa kusema vilevile Dkt Samia Suluhu Hassan amepunguza hati chafu kutoka hati chafu 10 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli hadi hati chafu moja (1 ) ya wakati huu wa Dkt Samia.

Wakati hati zenye mashaka nazo zikipungua kutoka hati zenye mashaka 81 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli mpaka hati zenye mashaka 5 za Wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Kwa matokeo haya na Kwakuwa namba hazidanganyi basi huenda Rais Samia hapigi sana kelele kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake ila yeye Sasa anatenda kazi zake kupitia kalamu kimya kimya kama alivyowahi kukaririwa na vyombo vya habari wakati flani.

==

==
Fix promax
 
Kama Kuna Rais record zake zinasisimua mpaka jasho ni huyu Samia
 
Back
Top Bottom