David Kafulila: Wakati wa Rais Samia hati safi zimefikia 99% kutoka 89%

Mwenye Clip ya kikao cha bunge 16/17 mkutano wa 18 wa jioni atuwekee kupata sakata la IPTL maana nikama linarudi kiaina
 
Huyu shetani ndiyo mshauri wa Rais naye na tutegemee maendeleo, hajui kuwa hati safi zinapatikana kwa rushwa na kupata hati safi haimaniishi kuwa hakuna matumizi mabaya, kupata hati safi ni mpangilio wa hesabu umekaa vizuri. Jinga kabisa
 
Sasa unalalamika kwani Kafulila ndio CAG?
Kafulila alianza vizuri.

Lakini alipofikia sasa inataka uelewe maana ya msemo ‘there is too much of everything’

Worst mengi anayoongelea kwa fujo hana technical understanding nayo, na wewe pia huna huo uelewa.

Sasa kujaribu kukufahamisha how dumb he is, wakati naelewa utakuwa mkaidi wa kuelewa somo kwa majibu na hoja za kijinga ni kupoteza muda.

Shida zaidi sio Kafulila ni jamii inavyoweza mtu asie na technical knowledge ya topic husika kumpa airtime, ina maana tatizo sio Kafulila tu, bali wanaomuhoji na media zinazo-promote misinformation.

Jukumu la media ni kuelimisha jamii, part of that entails kuongea na technocrats watakao toa elimu au informations sahihi ya swala husika.

Ndio maana uwa tunasema Tanzania has multitude of problems, zaidi ya Samia na kiini chake ni civil services system which is rotten.

Yaaani kwa kuwasikiliza viongozi watanzania waliopo leo, vijana wanao andaliwa kama viongozi wa kesho.

Nchi itabakia kwenye orodha ya nchi maskini duniani kwa muda mrefu sana

Ujinga ni mwingi sana.
 
Shinda ndiyo ipo hapo mkuu, wajinga ndiyo wanaongoza welevu hawataki tena
 
 

Attachments

  • 1743139078744.png
    308.6 KB · Views: 33
  • 1742141954678.jpeg
    61.7 KB · Views: 28
Media zote zimepewa tenda ya kumpromote Samia, media hazina vyanzo vingine zaidi ya kutegemea serikali so lazima wamsifie wapate matangazo, Kafulila ni mzuri sn kwenye kusifia ana anajua watanzania wengi wapo busy na Simba na Yanga hawana muda wakufuatilia maendeleo ya nchi yao, umewahi kumuona Kafulila na matapeli wenzake wameenda hata Mzumbe kufanya mdahalo na wasomi?
 
Independent media ni chache sana duniani karibu zote zina bias.

Lakini katika kazi yao kubwa mtaalamu kwanza anadadavua mambo kitaalamu, halafu anakuwa bias kwenye conclusion.

Ethically ku-balance story zinatakiwa kutafuta mtu wa upande wapili iwapo mtaalamu walie muhoji ni wazi ana political side.

Tatizo zaidi Kafulila sio mtaalamu wa hayo maswala anayoyaongelea ni mtu anaejiropokea, ndio alikuwa mmbunge na kamati za bunge zinapewa wataalamu kuwafafanulia nitty gritty za documents za serikali. Lakini uelewa wao unabaki very limited.

Kwa mantiki hiyo Kafulila ni mtu ambae anasambaza misinformation tu kwa vitu kutoka kichwani kwake.
 
Ujasiri wa kutetea na kusifia kila kitu kama hivi unauzwa wapi jamani na Mimi nikajipatie angalau hata robo kilo tu?
 
Kafulila hawezi kufanya mdahalo hata na wananfunzi wa VETA brother ni tapelitapeli tu wa mjini na ushirikina unamsaidia sn
 
Takwimu zinawezwa kupikwa tu kwa kuwa wanajua kuna kikofi cha mama!
 
Kafulila hawezi kufanya mdahalo hata na wananfunzi wa VETA brother ni tapelitapeli tu wa mjini na ushirikina unamsaidia sn
Angelikuwa na technocrats journalist kwenye media tours zake, wangeshamweka kwenye nafasi yake.

Tunarudi pale-pale, nchi ina multitude of problems. Halafu hawa watu wanajiamini hapo ndipo ninawasifu.

Wakati wengi wetu ni wanga kuongelea mambo ambayo hatuna technical depth nayo, wao wala as if dunia nzima vichwani imejaza ujinga wao
 
Sure mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…