The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Pua, wakati huo ndoa ya kafulia imenoga==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amemtetea na kumpongeza Rais wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kupata ripoti nzuri ya CAG kwa jumla,
Bwana David Kafulila anasema Rais Samia na katika Kipindi chake hiki kifupi na kwa mujibu wa ripoti ya CAG ameongeza zaidi hati safi kutoka hati safi 800 za wakati wa Hayati Dkt John John Magufuli hadi hati safi 1,295 za sasa wakati wa Dkt Samia.
Mkurugenzi David Kafulila anaendelea kwa kusema vilevile Dkt Samia Suluhu Hassan amepunguza hati chafu kutoka hati chafu 10 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli hadi hati chafu moja (1 ) ya wakati huu wa Dkt Samia.
Wakati hati zenye mashaka nazo zikipungua kutoka hati zenye mashaka 81 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli mpaka hati zenye mashaka 5 za Wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan
Kwa matokeo haya na Kwakuwa namba hazidanganyi basi huenda Rais Samia hapigi sana kelele kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake ila yeye Sasa anatenda kazi zake kupitia kalamu kimya kimya kama alivyowahi kukaririwa na vyombo vya habari wakati flani.
==
==
Sijui Wewe kwani wewe ni KafulilaSasa PPP Ndio inahitaji maswala ya kujulishana
Huu utawala wa mapambio unapika data utawala wa Jiwe ukasome!89-99% kumbe Magu hakuwa lolote
Hamna kitu Kafulila, kwa mbali sana==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amemtetea na kumpongeza Rais wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kupata ripoti nzuri ya CAG kwa jumla,
Bwana David Kafulila anasema Rais Samia na katika Kipindi chake hiki kifupi na kwa mujibu wa ripoti ya CAG ameongeza zaidi hati safi kutoka hati safi 800 za wakati wa Hayati Dkt John John Magufuli hadi hati safi 1,295 za sasa wakati wa Dkt Samia.
Mkurugenzi David Kafulila anaendelea kwa kusema vilevile Dkt Samia Suluhu Hassan amepunguza hati chafu kutoka hati chafu 10 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli hadi hati chafu moja (1 ) ya wakati huu wa Dkt Samia.
Wakati hati zenye mashaka nazo zikipungua kutoka hati zenye mashaka 81 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli mpaka hati zenye mashaka 5 za Wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan
Kwa matokeo haya na Kwakuwa namba hazidanganyi basi huenda Rais Samia hapigi sana kelele kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake ila yeye Sasa anatenda kazi zake kupitia kalamu kimya kimya kama alivyowahi kukaririwa na vyombo vya habari wakati flani.
==
==
rahisi,Independent body,yaani taasisi ya ukaguzi inatakiwa iwe kauzu,isiwe na uhusiano wowote,wowote na Mkaguliwa na ndipo itoe"fair &true view"Sasa hata kama data ni za mchongo Sasa tutafanyaje?
Fix promax==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amemtetea na kumpongeza Rais wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kupata ripoti nzuri ya CAG kwa jumla,
Bwana David Kafulila anasema Rais Samia na katika Kipindi chake hiki kifupi na kwa mujibu wa ripoti ya CAG ameongeza zaidi hati safi kutoka hati safi 800 za wakati wa Hayati Dkt John John Magufuli hadi hati safi 1,295 za sasa wakati wa Dkt Samia.
Mkurugenzi David Kafulila anaendelea kwa kusema vilevile Dkt Samia Suluhu Hassan amepunguza hati chafu kutoka hati chafu 10 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli hadi hati chafu moja (1 ) ya wakati huu wa Dkt Samia.
Wakati hati zenye mashaka nazo zikipungua kutoka hati zenye mashaka 81 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli mpaka hati zenye mashaka 5 za Wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan
Kwa matokeo haya na Kwakuwa namba hazidanganyi basi huenda Rais Samia hapigi sana kelele kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake ila yeye Sasa anatenda kazi zake kupitia kalamu kimya kimya kama alivyowahi kukaririwa na vyombo vya habari wakati flani.
==
==
DaaahSasa hata kama data ni za mchongo Sasa tutafanyaje?
Uelekeo upi huo?Kuna Ukweli kwamba Tanzània iko katika uelekeo sahihi sana
Mbongo ngumu sanaSasa hata kama data ni za mchongo Sasa tutafanyaje?
Tafuta hela achana na mambo ya Siasa hayo ni kupoteza muda tuMbongo ngumu sana
Duuuh jf ni balaaNipeleke chumbani kwa mama yako nitapona ugonjwa wangu...
Kwa kiasi kikubwa sanaKwani ukali ndio unapunguza idadi ya hizo hati chafu na zenye mashaka ?
Unawezaje kupika data?Huu utawala wa mapambio unapika data utawala wa Jiwe ukasome!
Ni ukweli sio propaganda
🤓Kuna muda tunatafutiwa matatizo kwa ulazima tu.
Ukiona hivyo, jua wewe ima ni chawa, kiroboto, funza au kunguni mwanangu.Kama Kuna Rais record zake zinasisimua mpaka jasho ni huyu Samia
🤣🤣Kuna muda tunatafutiwa matatizo kwa ulazima tu.