Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Rais mama samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, pole na majukumu mazito ya kufanya mamuzi katika taifa letu hili pendwa.
Mambo ni mengi mda ni mchache sana, bila shaka itakuwa unauumiza kichwa juu ya uchanguzi mkuu wa mwakani unafikilia nani awe kampeni meneja mkuu wako? Nani awe makamu wako? Nani awe WAZIRI MKUU wako? Hata hivyo hauwelewi.
Kwa sbb ndani ya ccm kuna vikundi vingi vya 'KIHUNI " ni wachache sana unao waamini. Ni kweli upo sahihi. Wengi wanaccm ni ndumila kuwili, mchana upo nao usiku wapo kwingine.
Nakuomba kwa unyenyekevu kwa imani yako omba dua sana kwa Allah akupe watu sahihi wa kukusaidia kazi, watu wenye hofu ya Mungu, watu wenye hekima ya Mungu, watu wanyenyekevu, watu wenye akili ya Mungu.
Nafasi ya WAZIRI MKUU ukishinda mpe "DAVID KAFULILA"sbb nitazitoa badae, nitaendelea kukusaidia kuweka watu sahihi kwako kadili Mungu anipapo nafsi, kwa hizo Nafasi za juuu.
Uzi huu ni endelevu.