Pre GE2025 David Kafulila Waziri Mkuu Novemba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
1,530
Reaction score
1,903
Rais mama samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, pole na majukumu mazito ya kufanya mamuzi katika taifa letu hili pendwa.

Mambo ni mengi mda ni mchache sana, bila shaka itakuwa unauumiza kichwa juu ya uchanguzi mkuu wa mwakani unafikilia nani awe kampeni meneja mkuu wako? Nani awe makamu wako? Nani awe WAZIRI MKUU wako? Hata hivyo hauwelewi.

Kwa sbb ndani ya ccm kuna vikundi vingi vya 'KIHUNI " ni wachache sana unao waamini. Ni kweli upo sahihi. Wengi wanaccm ni ndumila kuwili, mchana upo nao usiku wapo kwingine.

Nakuomba kwa unyenyekevu kwa imani yako omba dua sana kwa Allah akupe watu sahihi wa kukusaidia kazi, watu wenye hofu ya Mungu, watu wenye hekima ya Mungu, watu wanyenyekevu, watu wenye akili ya Mungu.

Nafasi ya WAZIRI MKUU ukishinda mpe "DAVID KAFULILA"sbb nitazitoa badae, nitaendelea kukusaidia kuweka watu sahihi kwako kadili Mungu anipapo nafsi, kwa hizo Nafasi za juuu.

Uzi huu ni endelevu.
 
Rais Mama Samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, pole na majukumu mazito ya kufanya mamuzi katika taifa letu hili pendwa.

Mambo ni mengi mda ni mchache sana, bila shaka itakuwa unauumiza kichwa juu ya uchanguzi mkuu wa mwakani unafikilia nani awe kampeni meneja mkuu wako? Nani awe makamu wako? Nani awe WAZIRI MKUU wako? Hata hivyo hauwelewi.

Kwa sbb ndani ya ccm kuna vikundi vingi vya 'KIHUNI " ni wachache sana unaowaamini. Ni kweli upo sahihi. Wengi wana-CCM ni ndumilakuwili, mchana upo nao usiku wapo kwingine.

Nakuomba kwa unyenyekevu kwa imani Yako omba dua sana kwa Allah akupe watu sahihi wa kukusaidia kz ,watu wenye hofu ya Mungu, watu wenye hekima ya Mungu, watu wanyenyekevu, watu wenye akili ya Mungu.

Nafasi ya WAZIRI MKUU ukishinda mpe "DAVID KAFULILA"sbb nitazitoa badae, nitaendelea kukusaidia kuweka watu sahihi kwako kadili Mungu anipapo nafsi. Kwa hizo Nafasi za juu.
Wabongo huwa tuko fascinated na watu wanaojua kuongea vitu kwa theory na wakawa wamekalili takwimu hata kama ni za uongo haijalishi maana hatuna hata muda wa kuverify chochote, basi watu hao tunawaona wana akili sana na wanafaa kuwa viongozi.
Elon Musk au Sam Altman angekuwa mtz bila shaka tungeshaanza pendekeza awe rais.
 
Rais mama samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, pole na majukumu mazito ya kufanya mamuzi katika taifa letu hili pendwa.

Mambo ni mengi mda ni mchache sana, bila shaka itakuwa unauumiza kichwa juu ya uchanguzi mkuu wa mwakani unafikilia nani awe kampeni meneja mkuu wako? Nani awe makamu wako? Nani awe WAZIRI MKUU wako? Hata hivyo hauwelewi.

Kwa sbb ndani ya ccm kuna vikundi vingi vya 'KIHUNI " ni wachache sana unao waamini. Ni kweli upo sahihi. Wengi wanaccm ni ndumila kuwili, mchana upo nao usiku wapo kwingine.

Nakuomba kwa unyenyekevu kwa imani yako omba dua sana kwa Allah akupe watu sahihi wa kukusaidia kazi, watu wenye hofu ya Mungu, watu wenye hekima ya Mungu, watu wanyenyekevu, watu wenye akili ya Mungu.

Nafasi ya WAZIRI MKUU ukishinda mpe "DAVID KAFULILA"sbb nitazitoa badae, nitaendelea kukusaidia kuweka watu sahihi kwako kadili Mungu anipapo nafsi, kwa hizo Nafasi za juuu.

Uzi huu ni endelevu.
Mtasababisha arogwe bure jamani.
 
Ndoa tu ya kusimamia mke mmoja tu Jesca Kishoa imemshinda ikavunjika ndio ataweza kusimamia taifa?

Kwenye Biblia Kikristo tuna kipimo cha akili ya mtu mwanaume yaani IQ test

Biblia imeagiza kuwa wanaume waishi na wanawake kwa akili

Mwanaume asiye na akili hawezi ishi na mke kwenye ndoa itamshinda

Kafulila akili hana ndoa na mkewe mbunge Jesca Kishoa ilivunjika sababu akili hana alishindwa kuishi naye kwenye shida na raha kama alivyoapa kanisani.

Mwanaume asiye na akili ndoa hauwezi dumu muda mrefu mfano ni ya Kafulila

Akili zero hajui kuishi na mke kwenye shida atataweza kuishi na watanzania kwenye shida,
 
Haihitaji darubini wala hadubini kujua waziri mkuu ajaye ni nani.
×Ni huyuhuyu Naibu Waziri Mkuu tuliyenaye.×
 
Rais mama samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, pole na majukumu mazito ya kufanya mamuzi katika taifa letu hili pendwa.

Mambo ni mengi mda ni mchache sana, bila shaka itakuwa unauumiza kichwa juu ya uchanguzi mkuu wa mwakani unafikilia nani awe kampeni meneja mkuu wako? Nani awe makamu wako? Nani awe WAZIRI MKUU wako? Hata hivyo hauwelewi.

Kwa sbb ndani ya ccm kuna vikundi vingi vya 'KIHUNI " ni wachache sana unao waamini. Ni kweli upo sahihi. Wengi wanaccm ni ndumila kuwili, mchana upo nao usiku wapo kwingine.

Nakuomba kwa unyenyekevu kwa imani yako omba dua sana kwa Allah akupe watu sahihi wa kukusaidia kazi, watu wenye hofu ya Mungu, watu wenye hekima ya Mungu, watu wanyenyekevu, watu wenye akili ya Mungu.

Nafasi ya WAZIRI MKUU ukishinda mpe "DAVID KAFULILA"sbb nitazitoa badae, nitaendelea kukusaidia kuweka watu sahihi kwako kadili Mungu anipapo nafsi, kwa hizo Nafasi za juuu.

Uzi huu ni endelevu.
Kwa hio kwako mtu akishakua na tabia ya kuvaa makoti makubwa tayari ni waziri mkuu!. Kuanzia Kafulila ateuliwe hapo PPP tena kwa hisani tu anatumia muda mwingi wa kazi kuwekeza kwenye mitandao ili atafutiwe cheo kikubwa zaidi? Kafulila hajafanya lolote tofauti na watangulizi wake ila hata akienda kununua mihogo ya kula utaona taarifa za safari hio karibia mitandao yake. Huyu kama haridhiki na nafasi aliyopewa aseme ili apewe mtu mwingine au Mh. Rais asjauriwe amtumbue. Atulie afanye kazi za kuonekana kuliko nguvu kubwa anayotumia kwenye mitandao na propaganda uchwara.
 
Kafulila tangu akatae 3b za rushwa alishajijengea himaya ya uaminifu kwa Watanzania ndio maana anatajwa tajwa sana

Dah. Uchawa wa binaadam mwenzio mbaya. Maana akiwa hayupo ktk system unadakia mwengine
 
Kafulila tangu akatae 3b za rushwa alishajijengea himaya ya uaminifu kwa Watanzania ndio maana anatajwa tajwa sana
Hayo ni matukio ya kutengeneza kama lile la Jerry Slaa kusema alikataa rushwa ya 1b wakati watu wana mafaili yake. Hata kama ni kweli alikataa, hio sio sababu ya kuwa Waziri Mkuu. Kwani kuna aliyempelekea Majaliwa rushwa akapokea?
 
Rais mama samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, pole na majukumu mazito ya kufanya mamuzi katika taifa letu hili pendwa.

Mambo ni mengi mda ni mchache sana, bila shaka itakuwa unauumiza kichwa juu ya uchanguzi mkuu wa mwakani unafikilia nani awe kampeni meneja mkuu wako? Nani awe makamu wako? Nani awe WAZIRI MKUU wako? Hata hivyo hauwelewi.

Kwa sbb ndani ya ccm kuna vikundi vingi vya 'KIHUNI " ni wachache sana unao waamini. Ni kweli upo sahihi. Wengi wanaccm ni ndumila kuwili, mchana upo nao usiku wapo kwingine.

Nakuomba kwa unyenyekevu kwa imani yako omba dua sana kwa Allah akupe watu sahihi wa kukusaidia kazi, watu wenye hofu ya Mungu, watu wenye hekima ya Mungu, watu wanyenyekevu, watu wenye akili ya Mungu.

Nafasi ya WAZIRI MKUU ukishinda mpe "DAVID KAFULILA"sbb nitazitoa badae, nitaendelea kukusaidia kuweka watu sahihi kwako kadili Mungu anipapo nafsi, kwa hizo Nafasi za juuu.

Uzi huu ni endelevu.

Hivi mnalipwaga sh ngapi?
Kuweza kujitoa Akili like this?
 
Mbona Kuna nyuzi nyingi sana za hili jina? Hivi huyu huwa ni nani?
 
Back
Top Bottom