Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

Mkuu NasDaz umepigilia msumari penyewe watu wana roho ya kwanini na hizo tabia ni za kina dada lakini sasa hivi hadi Wanaume wanazo. Na Mchawi sio mpaka akuroge ile roho ya kwanini pia ni uchawi tosha. Pendeni maendeleo ya wenzenu hizo ni tabia za kigagula, mie binafsi sipendi kabisa mtu mwenye roho ya kwanini na huwa hawaendelei watu wa dizaini hizi!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
tuzo yenyewe kapewa backstage .....syo live, hata hivyo diamnd kajitahidi tuache jelous ....... mpeni dogo credit
 
Unanijua au shobo.?
unadhani kama wwe unagombea maandazi ni wote.?
 
Mnachotaka nyie ni kutulazimisha kumpenda ndomo eti kisa nyie mnapempenda,we mkubali ndomo m namkubali mwngne ndo maisha yanaenda,alafu mngejua maisha nnayoishi dah.!!!
 
Last edited by a moderator:
Maisha ya ku-fake mazuri sana maana mwisho unaumbuka oooh kitorondo anawakimbiza kina davido mbali kwa kura haya kiko wapi? Mwambieni arudi tu home asubiri kili awards abebwe tena
 
Ile siku aliyovaa shela yake ya sidiria na shela ya harusi yake lol!!

Alafu pili watu wanaponda kutumia uwingi eti wengi hatuwajui angesema yeye ndo kamjua Davido na Mafiki kwa Diamond .
 
Maisha ya ku-fake mazuri sana maana mwisho unaumbuka oooh kitorondo anawakimbiza kina davido mbali kwa kura haya kiko wapi? Mwambieni arudi tu home asubiri kili awards abebwe tena

Si anawabeba mamburura wenzie huko insta jana ndo kawachota nyota na Afisa habari wake jana kaja na mbwembwe za walk of fame kashushuliwa humu sidhan kama alirud tena...

Tatizo Domo analazimisha asifiwe visivyosifika na anapenda sana kudanganya.
Nakumbuka hata alipokuwa underground alipiga na lisanamu kule UK akajishaua ni ukweli watu wakamshushua... hicho ndicho watu wanaojielewa hawakipendi kuwafanya watu mazuzu... hakyanani angekuwa kama AY zile collabo na safari za nje tungekoma.
 
Unanijua au shobo.?
unadhani kama wwe unagombea maandazi ni wote.?

Teh teh teh labda Diamond unamfikia kwa kipi ndio tuendelee?
Mkuu nikujue labda utanisaidia nini Maskini tu wewe,,maana umekaa kichuki chuki tu hizo ni dalili za watu Maskini, Shobo wewe uliye niQoute kwasababu siku kujibu wewe.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mnachotaka nyie ni kutulazimisha kumpenda ndomo eti kisa nyie mnapempenda,we mkubali ndomo m namkubali mwngne ndo maisha yanaenda,alafu mngejua maisha nnayoishi dah.!!!
Mapya haya... ulisikia wapi mtu analazimishwa kumpenda mwingine... hapa watu tunazungumzia chuki za hovyo kwavile tu mnaowashabikia hawakupata nafasi basi mnataka wengine wote wakose...
 
Ile siku aliyovaa shela yake ya sidiria na shela ya harusi yake lol!!

Alafu pili watu wanaponda kutumia uwingi eti wengi hatuwajui angesema yeye ndo kamjua Davido na Mafiki kwa Diamond .
Sasa naanza na mmoja mmoja... naanza na wewe kwanza!!!
1. Chanzo cha bifu lako ni Diamond kipi?
2. Chanzo hicho kimetokana na wewe binafsi au kama kwa Somji Juma ambae kwavile yeye ana mahaba kwa Ally Kiba na Ally Kiba ana bifu na Diamond, basi na yeye ana bifu na Diamond!!!!

qn... tuanze hapo kwanza manake nadhani humu kuna re searchable topics.
 
Last edited by a moderator:
Mnachotaka nyie ni kutulazimisha kumpenda ndomo eti kisa nyie mnapempenda,we mkubali ndomo m namkubali mwngne ndo maisha yanaenda,alafu mngejua maisha nnayoishi dah.!!!

Hujaambiwa unalazimishwa tatizo uandishi wako umejaa chuki halafu ni mtoto wa kiume wa Muhindi Somji. Maisha unayoishi ya ki Maskini ndio maana unachuki kwa kijana mwenzako mwenye mafanikio.

Diamond kajitahidi pale alipofika kuliko msanii yeyote yule east Africa hii kuwa nominated ktk awards mbili hilo pekee big up,,kashindwa kutokana na watu aliokuwa nao wamemzidi kwa kila kitu. Sasa umeshindwa kuandika hivi unaanza kumponda kwani we ameikosa hiyo Tuzo umefaidika na nini labda?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
HahahahahahahahahahA..
Umasikini nausikia tu kwa watu kama nyinyi,na nna uogopa kama ukimwi,na siji kuupitia..

Tufunge mabishano,basi diamond kachukua tuzo ya BET,tupige makofi.....
 
Mapya haya... ulisikia wapi mtu analazimishwa kumpenda mwingine... hapa watu tunazungumzia chuki za hovyo kwavile tu mnaowashabikia hawakupata nafasi basi mnataka wengine wote wakose...

Mjinga huyo achana nae kakaa kichuki chuki na tabia zake za Kiswahili sijui za kike. Penye ukweli uongo anajitenga, Diamond kajitahidi kuliko msanii yeyote yule east Africa.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha qn of sheba you made my day

Umenikumbusha mbali kuhusu hilo sanamu kama sijakosea lilikuwa la Britney spears katika VMWA

Afu huyu afisa habari wake ndo anazidi kumuharibia maana ni mbulula kweli eti walk of fame haiji tokea aseee...! na media ndo zinapotosha kabisa juu take

Shame on you

Hata kama watu wanataka tupende na ku-support vya kwetu haya anayofanya kitorondo na crew yake siyaungi mkono, kwani kusema ukweli ni aibu mpaka udanganye? eti I have some Bill's in my account, this and that, nonsense kabisa

Hapatakalika mjini siku he wake up in new Bugatti...!
 
Last edited by a moderator:
HahahahahahahahahahA..
Umasikini nausikia tu kwa watu kama nyinyi,na nna uogopa kama ukimwi,na siji kuupitia..

Tufunge mabishano,basi diamond kachukua tuzo ya BET,tupige makofi.....

We Maskini tu ndio maana una chuki za wazi ungekua sio Maskini usingekua na chuki mwenzako kufanikiwa maana hiyo ndio dalili ya mtu Maskini. Teh teh teh mie Maskini sawasawa umepatia.

Nimekuuliza unamchukia nini Diamond hujanijibu.
1.mafanikio yake?
2.majigambo yake?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Diamond platnumz bado ni among the best in Africa we are proud of him, big up Diamond kaza next time uende tena

Hata akienda mara milioni hawezi kushinda kwa attitude hii ya waBongo kutotukuza vya kwetu. Its simple logic, waNigeria wako milioni 167, na wengine hawahesabiki wamesambaa dunia nzima, waNigeria wengi wana access na social media, na pia waNigeria wanapenda vya kwao, hata wale ambao wanaishi nje ya Nigeria huko Ulaya na Amerika. waTanznia tuko milioni 45, ziadi ya nusu hawana access na social media, na hatupendi vya kwetu plus wivu wa kijinga. Angalia waTanzania walio Ulaya na America wanavyoponda shoo za Diamond alizofanya huko...inashanga hata Aziz Nditi kapiga picha na Diamond alivyokuwa UK kwa pozi tele kisha kesho yake anamponda Twitter! Wakati kumbe yeye angeweza kumnadi apate kura nyingi tu kwenye mitandao ya kijamii...wivu wa kijinga! Another thing...hivi Diamond hakuwa na washauri!? heaven on desert ...utaingizaje wimbo kushindania tuzo category moja na mtu ambaye umemshirikisha kwenye wimbo wako!? That was double promotion for Davido..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…