Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

ukweli tatizo la diamond sijaliona tatizo lipo kwa watu wake ndo wanafanya diamond aonekane na image mbovu kwa baadhi ya watu

Ndo tunataka awaambie waache kumdhalilisha haya huyu heaven on desert kutuletea uongo humu jf ili iweje ndo kusema boss wake hayajui au anamtuma. Amwambie huku ma griti sinka hawataki kuwachota akili kama huko insta.. haya aje kutujibu ile hoja ya WALK OF FAME..
 
Last edited by a moderator:

Teh teh teh hafi yeye supastaa aingie choo cha kike.

Kama hakukusudia analetaje taarifa zisizo kamilika mbaya zaidi ni mtu wake wakaribu ambaye tunaamini ndiye atakuwa mkweli... sasa kama yeye kaanza kusema uongo kweli siku akiwa na jambo zuri la kheri nani atamwamini? Bora hata angekuwa mtu mwingine tungesema kadandia story.. sasa hata huyu staff wake anasema uongo si anamdhalilisha big boss na kuonekana hana watu profesheno.
 
Mkuu Nas daz hii siku nikikumbuka niliumia sana na hapa niliamini 60% ya watanzani tuna roho ya kutu sana

Hahaha labda watu walikwazika na ile shera yake na sidiria...
Ila bongo bana kweli kila mtu ni star kumsifia mwenzie anaonashida.
 
Last edited by a moderator:
nimecheka huko insta eti Watu wanaleta league na diamond hata passport za kusafiria hawana.....
 

kudhalilishwa kwa wasanii ni kawaida sana, ndomo mwenyew kashadhalilishwa sana hat uko majuu wakina rihanna wenyew wanadhalilishwaga so ni matokeo tu
 
Last edited by a moderator:
nimecheka huko insta eti Watu wanaleta league na diamond hata passport za kusafiria hawana.....

sasa hod anafananisha jf na insta ndo maana uongo wa insta anauleta huku, next tym mwambie huku ni kwa GT kibao na wabeba box wakutosha, na nn kimemkuta swahiba wako naona karudia ile ID yake ya gossipiwarumi?
 
sasa hod anafananisha jf na insta ndo maana uongo wa insta anauleta huku, next tym mwambie huku ni kwa GT kibao na wabeba box wakutosha, na nn kimemkuta swahiba wako naona karudia ile ID yake ya gossipiwarumi?

HOD haelewagi nikimwambia atasema mi hater....
warumi kakutana na boko haramu wameifungia I'd yake....
 

hh team wema na dai we unawaona wazima....?wale washawehuka sio wazima waleeee...mi nimewaona wanafki na wameumbuka baada ya kajala na wema kurudisha ushosti wamelowaaa haooo hatarii wanajfanya kusifia wakati ndo walikuwa wanatukana hafai....yani wanalazimisha kila jambo mi nshawatoa thamani ngoja siku mondi afulie uone watakavyomkengeuka!!!!!
 
HOD haelewagi nikimwambia atasema mi hater....
warumi kakutana na boko haramu wameifungia I'd yake....

binamu umemsikia ndomo uko insta?? mmh nyie ndomo anapenda sifa kiama, eti ka post picha yeye na kerueche eti anakwambia Me na my inlaw , jaman nimecheka binamu, sasa nikajiuliza huyo kerrueche shemej yake kwa nani? yan kualikwa BET uko ulaya mwenzetu kashapata kaka na shemej tayar, mh ndomo anayaweza aiseg
 

binamu nakupendaga sana unajua? yani mtu akitak aone kichaa cha warumi anigusie binamu yangu mbona atafurah kama warumi alivyofurah ndomo kukosa tuzo
 
binamu nakupendaga sana unajua? yani mtu akitak aone kichaa cha warumi anigusie binamu yangu mbona atafurah kama warumi alivyofurah ndomo kukosa tuzo

mi unafkri naogopa mtu binamu...!???hakuna tusi jipya duniani yote yale yale kashfa tushazoea na tumesemwa tangu utoto mama aliponizaa maneno sio moto so this is
democratic country anachukiwa kikwete sembuse dai na wema....hyoo team ije iyukane tani yao ila ndo siwakubali sasa na hata km kajitahd simpendi na bora tuzo kakosa exposure aliyopata inatosha sanaa....!
 

hahaha niliona nikacheka mwenyewe nikasema kina warumi wakiona hapa balaa....

muwaache mtu na shemeji yake lok
 

ndo tatizo lake ila si haba kwa characters hizo bora alivyoenda akashake hand na nely si haba na mara laki alivyokosa maana angesema ana undugu na kendrik lamar au my best musician pharrel william...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…