alipofika kajitahidi..
... kuwa nominated is one thing na kushinda is another thing .....
ye mwenyewe anasema #mdogomdogo
Inabidi aache kuvaa sket kwanza ili asonge mbele..
insta ukimsifia davido tu unachambwaje Watu hasira zinaishia kwako
mpwa naona uandishi una improve
Nasikia alienda na watu mia, nyie ndomo ana wazimu, sasa watu wote hao kitu gani??
Yaan nataman kweli nitengeneze fekero account halaf nipambane nao vizur sema sijajua unafanyaje account yako isijulikane maana kuna kipindi nili create fake account mtu mmoja akaniumbua akataj had jina langu la facebook, niliogopaj
Aende tena wapi wakati tayari keshafubaa kimuziki!
Hapo hata msaga sumu ampi kolabo kwenye vigodoro! Dead n gone. kafulia mkali nature ije kuwa domo..mxiiiuuuuu!!
Teh nimesoma hii thread ila uliposema kaenda na watu 100 south na kakosa tuzo nimecheka sana maana hii BET kaenda mwenyewe.. wakati nikikumbuka madam kule IG siku ya kwanza kuweka picha ya Diamond kuomba kura alisema "Cant wait to see my sisters Los Angeles ... bla bla blah blah USA nini nini hahaha nauli haikutosha ama???
Asante Mungu kwa kusikia maombi yangu.
diamond anaimba vizuri east africa nzima anakimbiza kwa sabab anaimba lugha ambayo sote twaielewa ila nchi nyingine hawamwelewi anachoongea na kiukwel ana mashair mazur kuzid davido mwisho wa siku ni lazima tu yule anaeimba watu wengi wanachokielewa ndio atashinda so kiufup jamaa itabid akubaliane tu na hali kwamba davido kapewa maana anaimba lugha ya kiingereza lugha ambayo inajulikana sana ulimwenguni kuliko hiki kiswahil ambacho pengine mtu ataishia kupenda tu sauti na melody bila hata kujua neno moja lililoimbwa so kwa ushaur wangu mi kiingereza na kiswahil nakijua na kwangu diamond namkubal kuzid davido ila nchi nyingine watabak na davido tu
haa watu kwa uongo jaman Watu 100 aende nao wapi,.. hizi team kwa kudanganya hatari
maombi gani
Hivi zile 75% za kura alizokua anaongoza diamond mapema last month ziko wapi vile?
Radio na weasle wanaimba kiGanda,tena ni kigumu na kibaya kuliko kiswahili,na mbna walichukuaga tuzo za MTV mbele ya wa nigeria..
Mwenzangu kumbe unakumbuka bibi bomba alivyokuwa akijishau? Manina tupa kule kimekuwa kipole kama hakipo, ngoja nikamchambe kwanza uko insta nimpe swaumu vzur
mi hata sijui wanatengenezaje
binamu ungeona diamond anavyoongea kiinglish
hivi wema si yuko under 30 yrs old? sasa huo ubibi kaupata wapi?
Muache binamu yangu bhna, sie ata akituandikia maneno upside down tutajitahid tu kusoma tunavyopenda umbea , maana mimi nimesoma mara tatu ndo nikaelewa