Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

Yaan nataman kweli nitengeneze fekero account halaf nipambane nao vizur sema sijajua unafanyaje account yako isijulikane maana kuna kipindi nili create fake account mtu mmoja akaniumbua akataj had jina langu la facebook, niliogopaj

mi hata sijui wanatengenezaje

binamu ungeona diamond anavyoongea kiinglish
 
Aende tena wapi wakati tayari keshafubaa kimuziki!

Hapo hata msaga sumu ampi kolabo kwenye vigodoro! Dead n gone. kafulia mkali nature ije kuwa domo..mxiiiuuuuu!!

Last time I heard about nature ni ile alivyoenda eatv na ndala, yupo wapi siku hizi?
 
Teh nimesoma hii thread ila uliposema kaenda na watu 100 south na kakosa tuzo nimecheka sana maana hii BET kaenda mwenyewe.. wakati nikikumbuka madam kule IG siku ya kwanza kuweka picha ya Diamond kuomba kura alisema "Cant wait to see my sisters Los Angeles ... bla bla blah blah USA nini nini hahaha nauli haikutosha ama???

Mwenzangu kumbe unakumbuka bibi bomba alivyokuwa akijishau? Manina tupa kule kimekuwa kipole kama hakipo, ngoja nikamchambe kwanza uko insta nimpe swaumu vzur
 
diamond anaimba vizuri east africa nzima anakimbiza kwa sabab anaimba lugha ambayo sote twaielewa ila nchi nyingine hawamwelewi anachoongea na kiukwel ana mashair mazur kuzid davido mwisho wa siku ni lazima tu yule anaeimba watu wengi wanachokielewa ndio atashinda so kiufup jamaa itabid akubaliane tu na hali kwamba davido kapewa maana anaimba lugha ya kiingereza lugha ambayo inajulikana sana ulimwenguni kuliko hiki kiswahil ambacho pengine mtu ataishia kupenda tu sauti na melody bila hata kujua neno moja lililoimbwa so kwa ushaur wangu mi kiingereza na kiswahil nakijua na kwangu diamond namkubal kuzid davido ila nchi nyingine watabak na davido tu

Sisi Ni Waoga Sana Wa Kuukubali Ukweli.....Dangote Ni Msanii Mzuri Kikwetukwetu.....,Lakini Davido Ni Zaidi Kikotekote....
 
Hivi alikuwepo au?
Alifanya pafomansi?
Wapambe wake vipi?
Naona leo kimya sana zile za KwaZulu waliongea sana
 
Radio na weasle wanaimba kiGanda,tena ni kigumu na kibaya kuliko kiswahili,na mbna walichukuaga tuzo za MTV mbele ya wa nigeria..

Hiyo 'Mbona' Ndio Inatufanya Tuwe Hapa Kumdiscuss Diamond......Tusiogope Mabadiliko....
 
Mwenzangu kumbe unakumbuka bibi bomba alivyokuwa akijishau? Manina tupa kule kimekuwa kipole kama hakipo, ngoja nikamchambe kwanza uko insta nimpe swaumu vzur

hivi wema si yuko under 30 yrs old? sasa huo ubibi kaupata wapi?
 
mi hata sijui wanatengenezaje

binamu ungeona diamond anavyoongea kiinglish

Mi ananishangaza tu si atafute hata home tutor amfundishe lugha jaman, maana ndomo anapenda mziki wa kimataifa kiama lugha yenyew imempitia kushoto
 
Muache binamu yangu bhna, sie ata akituandikia maneno upside down tutajitahid tu kusoma tunavyopenda umbea , maana mimi nimesoma mara tatu ndo nikaelewa

Kwa uandishi wako nina wasiwasi na jinsia yako.
Hata kama ni chuki dhidi ya diamond yako imezidi.
Wewe kama sio penny basi ni jokate kama sio basi utakua wolper au miongoni mwa madem za diamond alowahi kuwalamba kisha akawatosa.
Ukikosakosa huko pote basi utakua mfuasi wa alshabaab au boko haram wale wenye misimamo mikali ya kiimani kama sipo basi we sio mtanzania.
Utakua jirani kutoka Rwanda au Malawi.
We ni zaidi ya mchawi.
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Back
Top Bottom