Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,786
Reaction score
5,963
davido kachukua tuzo ya msanii bora kutoka afrika,na hvyo kumbwaga tena Diamond platnumz beiby kama alivombwaga kule south kwenye tuzo za MTV,ambapo diamond alipata aibu ya mwaka kwasababu alisafiri na watu kama 100 na tuzo akakosa..

Mi naona afadhari,kwasababu angechukua Diamond,tusingelala kwa kelele,kama KUWA nominated tu tumednganywa jina lake limewekwa kwenye Hollywood walk of fame,je angechukua.?

Nakumbuka kwenye jarda moja la kila mwezi diamond alifanyiwa interview akasema yeye ndo kamtoa davido,dharau iliyoje..
 
attachment.php
 
Mbona umeandika kishabiki sana mpendwa hata hapo alipofika ni ushindi tosha hasa kwa nchi km yetu ya tanzania.kwangu mimi Nampongeza sana.hongera diamond

Na hii ndo sababu ya kutokuendlea kwa sisi waTZ kuridhika na vdogo..
 
Insta kimyaaa lol..

Jamaa kinachowagawa mashabiki wake ni tabia ya kuji promote hata vtu vya kawaida,..

Ukisoma jarida la babkubwa sijui na la mwez wa4 Lile ambalo yeye ame cover,kuna sehem anasema "YEY NDO KAMTOA DAVIDO",nilishtuka,ila nkakumbuka alivosemaga ana Bilion1 benk,nkaona kawaida tu..
 
Back
Top Bottom