msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,786
- 5,963
davido kachukua tuzo ya msanii bora kutoka afrika,na hvyo kumbwaga tena Diamond platnumz beiby kama alivombwaga kule south kwenye tuzo za MTV,ambapo diamond alipata aibu ya mwaka kwasababu alisafiri na watu kama 100 na tuzo akakosa..
Mi naona afadhari,kwasababu angechukua Diamond,tusingelala kwa kelele,kama KUWA nominated tu tumednganywa jina lake limewekwa kwenye Hollywood walk of fame,je angechukua.?
Nakumbuka kwenye jarda moja la kila mwezi diamond alifanyiwa interview akasema yeye ndo kamtoa davido,dharau iliyoje..