Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

Kuwa mkweli... warumi mwenzako hafichi mahaba yake kwa Jide na ww huna sababu ya kuficha mahaba yako kwa Kiba... and in fact, hakuna tatizo lolote kwa mtu kuwa na mahaba kwa fulani!!! Tatizo lenu wengine, kwavile mnampenda X basi hamtaki kuona Y akichomoza na mkiona kuna dalili za za kwamba Y anataka kuchomoza... basi mtakesha mkiugua maumivu ya pole pole mkitamani asichomoze... salama na uzima wenu unaibuka ghafla mnaposikia kwamba yule msiyetaka ameshindwa kuchomoza... ndipo mtakimbilia kwenye PC kuelezea furaha yenu... hizo ndio tunaita tabia za "kwanini... tabia za heri tukose wote...

Hilo la kauli ya Diamond... sidhani kama kuna mjadala manake umeonesha wazi wala hufahamu unachoongea. Kuhusu Kiba... una bahati mbaya sana kama unadhani kuna mtu anamchukia kama wewe unavyomchukia Diamond!!! Watu wengi wanasikitika kuhusu Kiba coz' wanafahamu he's something lakini anaonekana kama hajui anachofanya. Tofautisha kumchukia mtu na kuumizwa mtu anaposhindwa kufanya kazi... pole sana kama unadhani leo Kiba aki-hit watu tutakufa... sisi wengine tupo flexible, tunapenda vitu vizuri and we don't care hivyo vizuri vinatoa kwa nani... poleni nyie mnaopatwa magonjwa ya vipindi kila mnaposikia Diamond anatoboa... PRESHA JUU!!!!

Mwanzoni unadai kwamba humchukii Diamond bali mbwembwe zake... sasa mbembwe za Diamond zinakupunguzia nini au kama asingeleta hizo mbwembe ungeongezeka nini? Ndio maana tunasema wivu na chuki zisizo na maana!!! Wewe tangaza magari yote dunia hii ni ya kwako, wala hunisumbui... Ray keshasema yeye ndo msanii tajiri kuliko wote Tanzania... mchukie basi, si mbwebwe hizo!!! Hivi wasanii wangapi duniani wanapiga fix na mbwembwe... yaani unaweza kuchukia kv tu anasema ana hiki au kile wakati hana?

Haueleweki unachoongea kwasababu wemwenyewe haujielewi..
Kwanni unalazmisha mimi n shabiki wa ally k.?

Na ni nan kati yangu na wewe ameonesha huo mfano wako wa X na Y.?kwasababu hakuna sehemu kwenye hyo post nimemtaja kiba nakushangaa wewe.?

hivi jiulize kwann AY anaposhndania tuzo za kimataifa kila mTZ anamuunga mkono lakin kwa diamond tumejigawa.?¿
kma una akili ukishapata jibu ukae kimya,ukilikosa endlea na kelele za kutulazimisha tuwe #teamdiamond
 
Last edited by a moderator:
Naona BET wanaonyesha hizo tuzo,naona Ice Cube anapewa tuzo
 
Kwel nmegundua kuwa chuk ni ugonjwa mbaya sana, polen sana mnaougua kuona watanzania wenzenu wanapiga hatua haters!!??
 
Last edited by a moderator:
Kwel nmegundua kuwa chuk ni ugonjwa mbaya sana, polen sana mnaougua kuona watanzania wenzenu wanapiga hatua haters!!??

Ndio maana hawafanikiwi wamekalia majungu tu!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Kwel nmegundua kuwa chuk ni ugonjwa mbaya sana, polen sana mnaougua kuona watanzania wenzenu wanapiga hatua haters!!??

Tatizo ni maisha ndugu yangu..Watu wanapigika hasira zao wanazihamishia kwa bwamdogo,alafu wengi ni wanaume.
 
Last edited by a moderator:
ImageUploadedByJamiiForums1404191110.787154.jpg wote tanzania tulisikitika pale mwakilishi wetu mwanamuziki diamond alipokosa tuzo za mtv zilizotolewa kule afrika ya kusini, ingawa alitoa vijisababu tele na hata kutupa matumaini alipoandika katika kurasa yake ya istragram, lakini waswahili usema historia ikijirudia uwa kichekesho! Ndio kilichojiri kule marekani katika tuzo za BET bahada ya diamond wetu kuangukia pua tena na kurudi na nguo zake tu, na kuandika kama kawaida katika kurasa yake ya istragram na copy kusambazwa facebook, mimi nadhani diamond huna kosa kosa la watanzania ambapo wao ndio wanatakiwa wakupigie kura (vote) ndio wewe ushinde kule, mfano davido nigeria ina watu zaidi ya milion 150 hapo davido akipigiwa kura hata na watu milion 80 atakuwa amekutoa! Tatizo ni letu watanzania kwanza hatuna utamaduni wa kupiga kura nadhani tunaona katika chaguzi mbalimbali! Pili kura zetu nyingi tumpigiazo diamond tunazikosea tena wengine wanadiliki kuongeza na maneno ya kiswahili pale hii inasababisha kura hiyo kuharibika kutoka a na kutoeleweka. Nini afanye - nadhani kwanza kama anaweza angefungua (vituo vya kupigia kura) ambapo ataweka watu kama kuwasaidia namna ya kupiga kura hizo without blemish(bila kasoro) abadili dawati lake la ufundi kuanzia mshauri wake wa mavazi yake, pia manager wake ajaribu kutafuta mtu ambae kama manager atakaeweza kumtafutia shoo nyingi tena nje na collabo na wasanii mbalimbali wakubwa wa nje! Haya mambo ya sijui naenda mtwara kupiga shoo mara mwanza angeachana nayo toka nje watu wakujue BET hamna ngololo wala wema sepetu, kule mambo yapo straight mzee! Sasa angalia watu wameanza kutia shaka na tuzo zako za kilimanjaro tunadhani kuna kimchezo kachafu pale.
 
Watanzania hata wsilaumiwe kuhusu kura jamani yeye mziki wake au improve ufike level za ki na Davido anayejulikana Africa nzima na nyimbo zake nzuri tofauti na yeye aongeze bidii tuzo za BET hawana longolongo kama za kibongo
 
Hana haja ya kutoa sababu. Kitendo cha kuchaguliwa kugombea pekee no aaushindi kwake
 
Back
Top Bottom