raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Ukisikia ushua ndio huo sasa 😀Ikabidi nirudi googl kumtazama davido nkakuta miongoni mwa 30 familia za Nigeria tajiri yumo na baba Ake nadhak yumo ndani ya hyo club 30 Wana km kaumojwa wao
Nkaona haitoshi as per 2023 report utajiri wao umefike nadhani 1.2B
Nikaona Bado mpk adeleke university
Mpk mapicha ya dangote na Davido
Na Bado kuhusu kupost magari mbona kina "Ronaldo" wanaposti au Ndo kama kawaidaa ya waswahili" kusafiri asafiri mchaga kwenda kwao akisafiri mzigua kaenda kuroga"
Wasanii wamarekani Wana show off nyingi tu ila watu huona kawaida
Sent fromusing JamiiForums mobile app
Heshima kwenu ngoja tutafute helaView attachment 2601720
Davido na kaka yake mbele ya chuo kikuu chao adeleke university ambacho kina kampasi kama nne kwa sasa nchini nigeria
Ikabidi nirudi googl kumtazama davido nkakuta miongoni mwa 30 familia za Nigeria tajiri yumo na baba Ake nadhak yumo ndani ya hyo club 30 Wana km kaumojwa wao
Nkaona haitoshi as per 2023 report utajiri wao umefike nadhani 1.2B
Nikaona Bado mpk adeleke university
Mpk mapicha ya dangote na Davido
Na Bado kuhusu kupost magari mbona kina "Ronaldo" wanaposti au Ndo kama kawaidaa ya waswahili" kusafiri asafiri mchaga kwenda kwao akisafiri mzigua kaenda kuroga"
Wasanii wamarekani Wana show off nyingi tu ila watu huona kawaida
Sent fromusing JamiiForums mobile app
Umeona mbali sana. Wengi huona matunda (matokeo) ila ngoma ipo kwenye mizizi (Chanzo). What shall it profit a man if he gain the whole world and lose his soul?.Mwanae aliyefia kwenye swimingpool apumzike kwa amani
Mtoto wa Davido ndio wa kwanza kufa kifo cha kuzama majini ( drowning)? Mbona maskini kibao wanazama majini daily? Hebu ficha ujinga wako au hujui km kuna ajali duniani! Nchi hii ina wapuuzi wengi wanaoamini kila kifo kina mkono wa mtuUmeona mbali sana. Wengi huona matunda (matokeo) ila ngoma ipo kwenye mizizi (Chanzo). What shall it profit a man if he gain the whole world and lose his soul?.
Waafrica ukiwa na hela lazima uchukiwe,ndivyo ilivyo huwa tunachukia wale ambao wametuzidi na ndio maana wadada wengi wana chuki sana na Zari Hassan kama ilivyo kwa loosers wa kiume kuwa na chuki kwa Diamond Platinumz..Ikabidi nirudi googl kumtazama davido nkakuta miongoni mwa 30 familia za Nigeria tajiri yumo na baba Ake nadhak yumo ndani ya hyo club 30 Wana km kaumojwa wao
Nkaona haitoshi as per 2023 report utajiri wao umefike nadhani 1.2B
Nikaona Bado mpk adeleke university
Mpk mapicha ya dangote na Davido
Na Bado kuhusu kupost magari mbona kina "Ronaldo" wanaposti au Ndo kama kawaidaa ya waswahili" kusafiri asafiri mchaga kwenda kwao akisafiri mzigua kaenda kuroga"
Wasanii wamarekani Wana show off nyingi tu ila watu huona kawaida
Sent fromusing JamiiForums mobile app
Acha ushamba wewe hiyo Mercedes Maybach ambayo kwa Marekani wanamiliki wasanii wadogo tu kama D Aye ndio inakutoa roho namna hiyo na kutoa kashfa ambazo huna uhakika nazo!?? Mindset ya muafrica imekaa kichawi chawi sana yaan hata aelimike uchawi upo tu damuni haya ndio matokeo ya Chale walizochanja mababu zetu mwilini mwao DNA za uchawi zinabaki mwilini kwetu tutafanya jitohada kuamini kila kitu kimetokea kwa namna ya kichawi vile..Umeona mbali sana. Wengi huona matunda (matokeo) ila ngoma ipo kwenye mizizi (Chanzo). What shall it profit a man if he gain the whole world and lose his soul?.
Mzee wa tandale anasema Hakuna mwanamuziki anamzidi hela Afrika. Itakuwa ndoto zake za Mchana hazijaisha, kwani hata bilioni,20 anafikisha.
Mr Ronaldo....!!dey call me cristiano mr ronaldo weeee [emoji445][emoji445][emoji445] [emoji1787][emoji23] reymage umetisha sanaa [emoji91]
Aisee inabidi tuonane tutoe album 😄Mr Ronaldo....!!
Ominitendooo!!!
I don wanna be a player ni moreee....
Hahahahah...huyu no msanii wangu pendwa sana Davido nyimbo zake lazima nizijue
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hahahaha ..let mistariAisee inabidi tuonane tutoe album [emoji1]
Sadaka toshaMwanae aliyefia kwenye swimingpool apumzike kwa amani
Umevunja mbavu ukoo mzima no panadol.Wewe mtu kwao wana utajiri wa dollar karibu billion moja, halafu kajamba nani ambae ni maskini unataka kujifanya unaleta ushauri wakati kwenu hata panadol ni tatizo ukoo mzima,
Hao wa bilgate sio super starz tofauti maisha ya superstarz na utajiri binafsi.Mimi sijaona tatizo hapo.Huwezi jua kule naija anashindana na nani.Umeshawahi kumuona mtoto wa Bilgert and the like wakiwa na show off za aina hiyoo.
Ndio maana ya black mind aliyoizungumza.
NB: Mtafuta pesa hapangiwi jinsi ya kutumia
Having a black skin sio tatizo, tatizo kubwa sana ni kuwa na black mind...
Black mind ni umaskini wa kudumu, na upuuzi wa milele
Hahahaaaaa tukutane studio 😄🍻
Nitakupa matairi manne halafu utamalizia vifaa vilivyobaki kupata gari kamiliMe huku bongo tayari nimeshachagua ngoma tano tu za kupiga kwenye ndinga yangu mpya. [emoji57][emoji57]
1. Mabantu shemeji mrudie mwana.
2. Mondi yatapita
3. Real Jofu nimetoka
4. Mabantu no love no stress
5. Roma ft Abdul nipeni maua yangu
Sasa hapa bado kilichobaki kununua ndiga tu![emoji22][emoji22]
PoaaaaHahahaaaaa tukutane studio [emoji1][emoji482]
Punguza makasiriko dada 😅😅😅Umeona ehh!