Spidergurl
Member
- Jun 4, 2015
- 73
- 51
Mbona ndio story ya mjini kwamba eti anatongoza wakaka Wa humu...hahahahahaha halooooo ya chotara Wa kipare na kiyaoMnafiki sana kuliko neno unafiki wenyewe.
Sasa kuna mahali walikatuna kenyewe kuwa kamalaya.Kalitia huruma mpaka basi.
lakini kenyewe kakiona wenzake wanatukanwa kanachekelea tu.
Mxiu zake.Ipo siku.
Ndio maana kuna sehemu huwa kanafukuzwa kama mbwa.
* Kila mtu anajua matusi...akitukanwa kwa sababu anasambaza ujinga wake anatakiwa kuwa mstaarabu na kujirekebisha...
* tumieni akili, kila mtu anawaona jinsi akili zenu zilivyo ndogo...
* Next time unashauri wanaume, angalia, nyie ndio mnahitaji ushauri zaidi...hamna aliewakataza kuvote kwa msanii yeyote..tambueni mwisho wa siku sio idadi ya kura zilizopigwa ndio zitaamua mshindi...
Haaaa umeponea kwenye tundu la sindano
Na tunavyoongea hivi wasije kukurudia...
Next time usitukane tena...
Mbona ndio story ya mjini kwamba eti anatongoza wakaka Wa humu...hahahahahaha halooooo ya chotara Wa kipare na kiyao
hahaha. G9t.
Zari akijifungua salama ndio itakuwa balaa.. Ntaanza kufanya biashara ya kulima ndimu heka mia tisa maana najua zitauzika kuliko kitu chochote kile.
Tulia ,lala, yameisha.
Msianzishe tena thread chokonozi.
Na kuna moja kashaianzisha kaka yako Matola si mda.
* Kila mtu anajua matusi...akitukanwa kwa sababu anasambaza ujinga wake anatakiwa kuwa mstaarabu na kujirekebisha...
* tumieni akili, kila mtu anawaona jinsi akili zenu zilivyo ndogo...
* Next time unashauri wanaume, angalia, nyie ndio mnahitaji ushauri zaidi...hamna aliewakataza kuvote kwa msanii yeyote..tambueni mwisho wa siku sio idadi ya kura zilizopigwa ndio zitaamua mshindi...
Ahsante kwa ujumbe huu.
Yani hapa sitoki hata waniite majina gani, wazushe lipi. Kwanza si wanadai domo ni billionaire kwanini asiwaanzishie forum yao washinde huko? Labda max melo anitoe yeye
Yani huyu demu ni nyoka kazi kuchafua wenzake huko chumbani ila Mungu yupo yatamrudia yeye siku moja
Mnafiki yoyote snitch na back biters ni zaidi ya pepo mana hupenda kufurahisha watu, ili aonekane mzuri. Anang'ata na kupuliza ka panya buku.
Amesahau what goes around vinarudiaga.
Ndio maana anajichetua...
Yani sio kwa unafiki huo duuu!
Indio hivyo anavyoharibia wenzake ajue name yeye kwake hapajapoa. Nae amepachikwa kazi ya full time. Shoga upunguze unafiki utakufa umekaa khaaa
Naam ndio wewe muhisika here we go let's start the game!
Wewe nani kwani? Na why uombe game na Mimi?? Just curious
Hivi JF kwa anonymous anakuwa mnafiki mtaani si ndio zaidi?? Huyu ni nyoka kibisaUzuri wa jf miaka nenda rudi siku likikudondokea wanafiki wenzio wote wanakaa kimyaa!
Wanaishia pm tu.Mtu ashawahi kusutwa sijui kwanini habadiliki.
Mtu mbaya sana kuleta chuki na fitna anapoona hamna maelewano.
Hii tabia asipoangalia ataifanya mpaka nyumbani na ofisini kwake.