* Nyie acheni wivu na chuki zenu....Kiba hayupo kwenye category yoyote kwenye hizi Tuzo...mnachofanya ni ku-payback hasira mlizonazo....hasira hasara....
* Ingekuwa ushabiki wa kawaida kwa Davido isingekuwa hivi ilivyo kwenye social media....
hahahaaa wanataka kuliziba jua na ungo, na hawataweza diamond juu miaka buku, hebu nivote za kulalia mie.
Nasikia unautaka ubunge wa viti maalum mkoa wa Singida ni kweli au wanakuzushia ??????
nzi hafunikwi kwa tenga,...
Nasikia unautaka ubunge wa viti maalum mkoa wa Singida ni kweli au wanakuzushia ??????
Bungeni wakiumeni wote wataipeleka pichu yake downhahahaha na irene uwoya katangaza nia yani patachafukaaaa... bongomovie version 2015, afu 2020 atachukua ya uraisi usishangae kuona petitiman waziri mkuu hahahahahahaha vituko hivi
Eshy mbona ulipotea unarudi night kali? Kutofautiana ni haki km hamtaki mkaishi kwa waeskimohahahaaa wanataka kuliziba jua na ungo, na hawataweza diamond juu miaka buku, hebu nivote za kulalia mie.
Sijayaona, ila naona ataupata kwasababu kusaula sio kesi kwakehahaaaa watamzushiaje kwani we Yale mapicha ya green & yellow hujakutana nayo
LOoh nilitaka kuchanganyikiwa sio kwa vichambo vile, mi ata achambe vipi nampigia kura davido, ndo nshasema
Eshy mbona ulipotea unarudi night kali? Kutofautiana ni haki km hamtaki mkaishi kwa waeskimo
Sijayaona, ila naona ataupata kwasababu kusaula sio kesi kwake
wee mpigie kura huyo davido mishipa imekusimama utadhani dangote kazaa na wewe
Mkuu ni kipaji ila hawa ndugu hawapendi kupingwaHii ndio TZ.
Halafu wengine mnashangaa maamuzi ya viongozi wenu wa kisiasa.
Kama unampigia Davido kwa kuwa umeona kipaji chake kipo juu ya Diamond, hiyo ni sahihi.
Ila kama unampigia Davido kwa sababu ya kumkomoa Diamond MTZ mwenzako, hata kama ni maamuzi binafsi ila unaonyesha wivu wa kurudishana nyuma.
Hivi kwani huyo Diamond kawafanya nn!? Kwani ni vibaya kuwa mshabiki wa Diamond na Ally Kiba kwa wakati mmoja!? Badala ya kumsaidia Ally Kiba kwa kumpa changamoto apate mafanikio kama ya mwenzake nyie mmempamba na tuzo ya uongo (mtumbuizaji bora, seriously!?).
Ili nchi iendelee., tuacheni majungu na wivu bali tuchukulie waliofanikiwa zaidi yetu ktk nyanja fulani ni kwamba wanatupa changamoto
Mkuu ni kipaji ila hawa ndugu hawapendi kupingwa
It doesn't take much to fool Tanzanians.