Davido atambua mchango wa Tanzania

Davido atambua mchango wa Tanzania

* Nyie acheni wivu na chuki zenu....Kiba hayupo kwenye category yoyote kwenye hizi Tuzo...mnachofanya ni ku-payback hasira mlizonazo....hasira hasara....

* Ingekuwa ushabiki wa kawaida kwa Davido isingekuwa hivi ilivyo kwenye social media....

chuki mbaya Sana ukiiendekeza, unaweza kuona mambo yako hayafanikiwi kwa sababu ya roho mbaya na chuki zisizo za msingi..
 
Nasikia unautaka ubunge wa viti maalum mkoa wa Singida ni kweli au wanakuzushia ??????

hahahaha na irene uwoya katangaza nia yani patachafukaaaa... bongomovie version 2015, afu 2020 atachukua ya uraisi usishangae kuona petitiman waziri mkuu hahahahahahaha vituko hivi
 
hahahaha na irene uwoya katangaza nia yani patachafukaaaa... bongomovie version 2015, afu 2020 atachukua ya uraisi usishangae kuona petitiman waziri mkuu hahahahahahaha vituko hivi
Bungeni wakiumeni wote wataipeleka pichu yake down
 
LOoh nilitaka kuchanganyikiwa sio kwa vichambo vile, mi ata achambe vipi nampigia kura davido, ndo nshasema

wee mpigie kura huyo davido mishipa imekusimama utadhani dangote kazaa na wewe
 
Maumivu ya ndani na stress za maisha mara nyingi husababisha chuki....Tanzania ni nchi yetu.
 
Hii ndio TZ.
Halafu wengine mnashangaa maamuzi ya viongozi wenu wa kisiasa.
Kama unampigia Davido kwa kuwa umeona kipaji chake kipo juu ya Diamond, hiyo ni sahihi.
Ila kama unampigia Davido kwa sababu ya kumkomoa Diamond MTZ mwenzako, hata kama ni maamuzi binafsi ila unaonyesha wivu wa kurudishana nyuma.
Hivi kwani huyo Diamond kawafanya nn!? Kwani ni vibaya kuwa mshabiki wa Diamond na Ally Kiba kwa wakati mmoja!? Badala ya kumsaidia Ally Kiba kwa kumpa changamoto apate mafanikio kama ya mwenzake nyie mmempamba na tuzo ya uongo (mtumbuizaji bora, seriously!?).
Ili nchi iendelee., tuacheni majungu na wivu bali tuchukulie waliofanikiwa zaidi yetu ktk nyanja fulani ni kwamba wanatupa changamoto
 
Mkuu ni kipaji ila hawa ndugu hawapendi kupingwa
 
WaTz wengi wanakosa lishe bora na hii upelekea ufinyu wa kufikir miongon mwa wa Tz wengi.
usishangae kuona mTz anamsupport mnigeria na sio MTz mwenzake..hii ni kutokana na sababu tajwa hapo juu.
tukipata kiongoz mwingne akaongoza ten yrs kama huyu aliopo..Tz litakua taifa la mbumbumbu..
hasa wanawake ambao weng wao n wavivu wa kufikir..
hii n fact na sio idea
 
Nimeipenda coment ya mnigeria hapo aliyesema sisi watanzania ni wajinga na hatuna kazi ya kufanya! Hahahaha ni kweli kabisa
then kamaliza hawahitaji kura zetu za kinafki kwani bila kura zetu bado davido anaweza shinda

ila sisi ni vichaa jaman...sijui sisi mataahira??? Sina timu na wala sinufaiki na chochote kama diamond akishinda lakini siwez kwenda kutukana au kumpigia kura davido

cha maana nakaa kimya na simpigii kura diamond ili nisihusike katika ushindi wake na pia nisihusike katika kuanguka kwake

ila mataahira wanaopenda ujinga wamekalia matusi tu

fyuuuuuuuuuuu
 
Attachments

  • 1434863809852.jpg
    1434863809852.jpg
    68.1 KB · Views: 224
Back
Top Bottom