Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
- Thread starter
-
- #161
Haya,si unataka jipya!!?
Hili hapa, mwambieni mfalme wa nyika atoe video.
Wema kafilisika na Kidoti wachina wameshajipigia wamechoka.
Wamemwachia tembo ..
Mtahama mjini nyie.
Ivi ni kwanini mashabiki wa king of the jungle wako very desperate na maisha. Ni nini!? Wamekata tamaa,hawana matumaini,wamejaa giza.
Wanajuta hata kuzaliwa!! Why?? Maake naona wanaenda kuwa vichaa kabisa.
Tukiwaignore mbona watakosa cha kusema tuwaache na stress zao watashindwa hata kulinda tembo kisa DiamondUnafikiri tuna shida nao hawa, wanatulazimisha.
Wanamlisha kiba uchafu kunuka..hadi uruma., dogo mpaka anashindwa kufikiri.
@Hivi nyie wanaume, mnammiminia Mrembo by Nature matusi yote haya kwa kuwa ameamua kumpigia kura davido?
Jiulizeni je amevunja sheria?
Je anatumia bundle au device zenu?
Ally kiba anaingiaje?
Je mnataka wote wawe washabiki wa Diamond?
Naona mmeanza kasumba ya kutukana mwanamke yeyote anayeonyesha kusimamia nafsi yake inachopenda hasa katika burudani.
Hizo sehemu za kike mnazotukana mlitokea hukohuko!
Mnakera sana.Please acheni sehemu za mwanamke.Unamwita mtu malaya afu hata hujui anafananaje!
Its a shame.
Ongeeni hoja teteeni misimamo yenu,
Na nyie wanawake mnachekelea tuuuu... !
Kama king of tembo kaishiwa semeni., sio kuja tukana watanzania hapa.
Wema hana hela,kidoti hana hela..
Cheketwa video haijatoka.. Semeni msaidiwe.
Mbona team PLATNUMZ waungwana tu,tutawafikiria.
hahahahaha ufundi tu.... watu wanapanick, afu unajuwa kinachofanya waumie zaidi ni kumuona mchizi bado ana shine kinoma, so kinachosalia ni wao kuuvaa ushabiki kwa kila ataeshindana na dangote hata ikitokea bestnaso kawekwa category moja na diamond hakuna mbongo mwingine wema na jokate watakwambia wanamuelewaga sana nyimbo zake ajahahahahha
Mnakera sana.Please acheni sehemu za mwanamke.Unamwita mtu malaya afu hata hujui anafananaje!
!
wewe mwenyewe una sifa hio pia
Ni kweli.kwa vile nililala na babako nikawachanganya
Ndio maana nakwambia una sifa hio......Hata Babu yangu pia.....wewe tena
Achana nae watakubanika bwanaKweli kabisaa! Nimewavuruga ukoo wenu wotee, wewe, babako, babu yako na sasa hivi hapa nasagana na dada yako.
Too bad ulinidissapoint kwa uhanithi wako.
HahahahaKweli kabisaa! Nimewavuruga ukoo wenu wotee, wewe, babako, babu yako na sasa hivi hapa nasagana na dada yako.
Too bad ulinidissapoint kwa uhanithi wako.
Achana nae watakubanika bwana
Ujue kuna watu wanajifanya wajuaji sana.Mtu anaku attack from nowhere ili nayeye aonekane amekuquote, kujikomba komba.
Yani leo ntabanikwa sio bure.Huyu anataka nipigwe ban sio bure.