Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Elerai ilianza akiwa fundi wa kawaida, fundi uashi miaka ya 70.. Miaka ya 80 au 90 mwanzoni akaisajiri ikiwa ni Class 7, leo hii ni Class 1.. Ni moja kati ya kampuni 5 kubwa za Ukandarasi nchini.. On his way he autosmarted most of the companies rulled by peeps with Bsc. Engineering.. Kuna wengi nawajua na vibachelor vyao vikampuni vyao bado vipi Class 7 wengine wamejitahidi wamefika Class 5..

Na ni nani amekwambia Elerai wont push further? Amesomesha watoto shule nzuri, amewawekea succession plan nzuri, no wonder in coming years watavuka boda.. Davis hajaquite bado,he is still pushing,miaka 10 baadae uje useme Davis ana kihoteli na sio mahotel.. Trump has been in business for almost 50 yrs, Davis sidhani kama ana hata miaka 30 kwenye biashara.. Judge him when he quite, he is still on his way to greatness..

Wabongo tuache wivu.. Najua sana inauma msomi umesoma lakini unaona wasiosoma sana wamekupiga bao..
 
Mkuu sijajua kama kweli kafeli au lah... Siwezi judge kwa hicho..

Ila kushindwa kuendesha biashara si kitu cha kushangaza kwa wajasiriamali.. Akina Mzee Mengi kuna biashara nyingi sana ziliwashinda. Inanishangaza kumjudge mtu kwa either kushindwa kurun biashara moja tu
 
Mkuu ndio maana nasema yawezekana hauko huku kwenye biashara.. Huwezi kufanya biashara yeyote kubwa usiitegemee serikali, usifinance chama tawala au usijipendekeza kwa wanasiasa. Huweziiiii...

Unajua kwanini Dangote is struggling now? Dangote ni mfanyabiashara mdogo au wa ovyo? Kamwe huwezi tenganisha biashara ya siasa, unless unafanya biashara vichochoroni sio ambazo zinaoneakana
 
Kwenye unyama wa kuwanyanyasa chadema Le mutuz hayupo na mosha ni Dili lao wenyewe na Boss wao Maliyamungu idd Amin Bashite, kwenye Blackmail, kudhoofisha upinzani ni Dili zao wenyewe na wenzao wasiojulikana.
 

- hahahahahahah masikini ya Mungu, naninaamini nimetoa majibu yote muhimu anayeataka kuamini lolote analotaka awe huru tu, thanks guys!

le Mutuz
 

Mkuu

First things first,Elerai ni Class 3..which is a bullshit class!

A BSc graduate akitoka shule leo anafungua Class 5,akikaa mtaani miaka miwili anafika Class 2...yeye kaanza na Class 7 tangu miaka ya 1970's!.....This is lunacy!

Elerai ipo headquartered Arusha,Sakina..kwa footprint tu hawezi kua top 5 biggest construction companies in TZ!

Kukukamata na uongo wako,Class 3 hatakiwi kua na kazi zisizozidi 3 Billions TZS,in no way on earth Elerai Class 3 iwazidi kipesa contractors wote wa Class I na wote wa Class II ambayo idadi yao ni zaidi ya 220...Elerai ni small fish in a big pond,he is nobody!

Halafu elewa,Civil Engineering works profit margin hua ni ndogo,project value inawezakua kubwa ila profit margin inajulikana ni ndogo,kinachobaki ni kuwanyonya wafanyakazi na wateja,ambapo wakibana you are in deep shit...Soko la Civil Engineering limejazana competitors wengi hivyo wakavuta profits zote down,huwezi compare na profits za Electricals au IT au Telecoms....

Elerai ni small player mkuu,labda utuletee hesabu zao hapa,tuchambue kimoja baada ya kingine tuone performance yake!

Elerai anateseka tu kama wengine,anapata hela ila jasho jingi..Tangu 1970's mpaka leo yupo Class 3?Hebu kuweni serious bwana!

Another thing...huwa majitu ambayo hayajaenda shule yana inferiority complex,yakiweza kitu kidogo tu hata kwa efficiency mbovu kabisa yanaanza makelele kama majuha...Hakuna tofauti ya Mosha au Musukuma,etc..Haya majitu ni ma-lunatics tu!
 
- hahahahahahah masikini ya Mungu, naninaamini nimetoa majibu yote muhimu anayeataka kuamini lolote analotaka awe huru tu, thanks guys!

le Mutuz

Mkuu

It is true!!!!!

Mnampaisha tu bure...yeye mbeba mafuta ya Kobil!

Hajawahi miliki mafuta ya aina yoyote au kuagiza bulks kutoka nje!

Tena kwenye ile squad ya kuagiza bulk Mosha akiingia kwenye room ya tendering wale Waarabu bidders lazima wafunge pua kuna mzoga umeingia!

Hebu acheni bwana!
 
Kwenye unyama wa kuwanyanyasa chadema Le mutuz hayupo na mosha ni Dili lao wenyewe na Boss wao Maliyamungu idd Amin Bashite, kwenye Blackmail, kudhoofisha upinzani ni Dili zao wenyewe na wenzao wasiojulikana.

Hahahaaaa....

Wameniudhi sana aisee...

Ukiona watu wanaishindwa competition mpaka wanafikia maamuzi ya kumpoteza competitor wao kwa njia haramu kama hizo inaonesha wana IQ ndogo sana....Hii ina prove kua nipo correct na theory yangu kwa IQ ya hawa majamaa...Ni ndogo sana hata kuendesha media company!!

Imagine IQ ya Tundu Lissu,waliishindwa mpaka wakaamua kupakia Land Cruiser nyeupe!!Hahahahaaa
 
How the hell ELERAI is class 3... Hahahha unanichekesha, Elerai ilikuwa Class 3 mwaka 2003 Mkuu. Mkuu narudia tena, Kati ya Kampuni kubwa za kandarasi za wazawa nchini ELERAI ni top 3.. Aliyekudanganya ELERAI ni class 3 hajui au labda umeamua kupotosha tu..

Nenda hapa ELERAI CONSTRUCTION COMPANY LIMTED | Contractors Registration Board

Au kukurahisishia.. Usipende kuongea vitu usivyovijua au usivyo na hakika navyo.. Ati Elerai Class 3 ahahahahahaha.. Inawauma standard 7 kawa autosmart na videgree vyenu..
ELERAI CONSTRUCTION COMPANY LIMTED
Registration Number:
B1/0076/07/2006
Managing Director:
SAMWEL MALEKO
Types of Contractor:
BUILDING
Class:
1
Category:
Local
Town:
ARUSHA
HideContacts
Postal Address:
P.O.BOX 7026
Physical Address:
PLOT NO. FF 82 NAIROBI ROAD SAKINA INDUSTRIAL AREA
E-mail:
newltd@habari.co.tz
Phone:
+255 027-2506000 / +255 027 2508936 / 0784 511144
 
Hapa mimi natofautiana na wewe kwa 100%.

Mosha ni Millionaire kwa sababu anathubutu, bila kufeli kwenye maisha maana yake wewe hujawahi kujaribu jambo jipya.

Hata Baba wa Taifa alikuwa na nia njema lakini alifeli katika sera yake ya ujamaa.

Wewe jamaa nimekuogopa sana kama kweli hizi ndio akili zako.

Kama una chuki binafsi na Mosha control ur temper lakini usitowe mifano ya kijinga kama hii, utadharauliwa na watu wenye akili timamu.

Pale Yanga kuna Mzee anaitwa Akilimali, kazi yake kubwa ilikuwa ni kumtukana tajili Manji anayetowa pesa timu ifanye vizuri na kuleta migogori klabuni.

Sasa tajili Manji amekaa pembeni huyu Akilimali hana msaada wa wowote wa kuikwamuwa Yanga kwenye janga la kiuchumi.

Nimekupa mfano huo usimdharau mtu ambaye amepambana mpaka na mimi tunamjuwa lakini yeye hatujui siyo mwenzetu huyo Mosha.
 
- HAkukuwa na malipo kulikuwa na posho ya nauli tu kwa sababu hakukuwa na aliyeajiriwa wote walikuwa wanajitolea. Nenda media zote za bongo utawakuta wa kujitolea!

le Mutuz Superbrand
Kwahy CEO hamkumuajiri? Hamkupa rav 4 ,wale vijana walipo omba mikataba mliwapa? ,Hahaha nikuache mkuu siku njema
- Ni maneno ya mtaani ambayo hayana lolote, mimi sikuwahi kuhusika na lolote la production so ni uongo wa kitoto sana!

le Mutuz
Hahaha ulikua huusiki na production ndio maana hujui km nakujua,sasa Mimi nimehusika pale kwenu Ku survey ile link yenu kupeleka mawimbi makongo Juu baadae UA wale wazungu kumaliza kufungua kule studio ,

Mkaleta jamaa mmoja akawa anajenga studio ya nje yenye mahadhi ya kiafrika ,mkuu najua ASTV ujue
 
Mkuu classes hazigaiwi kwa kiwango cha elimu.. Ebu acha uongo, kama kitu hujui nyamaza tu mkuu..

Hata ukitoka na elimu gani chuoni, hauwezi pewa class 5 kama unavyosema. Class zinadhaminishwa kwa kiwango cha mtaji, vifaa na uzoefu.. Ila mostly ni vifaa ambavyo unamiliki. Ati utoke chuo huna hata toroli upewe class 5 hahahahha
 
Naomba utoe authoritative definitions za "entrepreneur" and "businessman", pamoja na tofauti zao ambazo unazikubali wewe, and then we can go from there. Kwa vile wewe unadai umesoma "Entrepreneurship 101", basi namaanisha utoe book definitions.
 
Mkuuu Mosha tokea 1999 yuko vizuri sana, tuliokulia msaranga,moshi tunafahamu mama Anna ndo alimueka kwenye chat
 
Nimefuatilia maandishi yake muda mrefu nimegundua kuwa huyu ndugu bado ana safari ndefu sana kielimu
 
Ni dhahiri kuwa una chuki binafsi na ndugu Davis Mosha......
 
Kama hizi ndio mindset za wasomi wetu basi bado tuna Safari ndefu sana kielimu kama taifa.....
 
Naomba utoe authoritative definitions za "entrepreneur" and "businessman", pamoja na tofauti zao ambazo unazikubali wewe, and then we can go from there. Kwa vile wewe unadai umesoma "Entrepreneurship 101", basi namaanisha utoe book definitions.

Ndio maana post yako hii ina prove wazi kabisa,huna nia ya kujielimisha,una nia ya kupima uwezo wangu,nothing more!

Mkuu,Google mzigo huo!
 
Kama hizi ndio mindset za wasomi wetu basi bado tuna Safari ndefu sana kielimu kama taifa.....

Wewe unataka nini?

Tu-sugarcoat kampuni fulani?Hizo tabia za kusifia watu kwa sifa uongo anazo Lemutuz...

Nimechambua kwa ukweli bila kuficha anything...na pili,nimemjibu bwana Steph Curry kwa muktadha wa post yake...

Sina chuki na Elerai,ninasemea ukweli wa sector ya construction kwenye nchi yetu,Bwana Curry alifanya exaggeration ya ajabu!

Ila una haki na hoja yako!
 
Ni dhahiri kuwa una chuki binafsi na ndugu Davis Mosha......
Hiyo ni observation yako,na una haki!

Ila kwangu sina chuki nae..na pia kua na chuki na mtu si ajabu,ndio tabia na reactions zetu wanadamu,sidhani kama nimevunja sheria!

Nina haki ya kumchukia kama ulivyo na haki wewe ya kumpenda..mi nadhani tujikite kwenye hoja zaidi tuache assumptions!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…