Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Mkuu

Unajua kuna Hoteli na "Hotel"...

Nadhani ili unielewe kwa perspective ya hapa kwetu TZ nadhani hoteli zote unazoziona ni migahawa..hoteli serious sidhani kama zinazidi 20!

Mosha kafungua mgahawa mkuu..Hahahaaaa.....

Halafu usimuweke Trump na biashara za hoteli zake na huu ujinga hapa TZ!Please ona the difference!

Mkuu,Elerai ina miaka 20,na bado ipo vilevile,what a shame!

Elerai ni kakampuni kadogo sana,na kwa 20 years bado kapo vilevile!

Biashara za watu ambao hawajaenda shule utazijua tu!No growth beyond certain line,kuna limit ya growth zao,yaani ni controlled expansion,hawana uwezo wa ku-manage expansion,ndio mwisho wa akili zao!Kwenda mutli-national hawawezi,akili ni ndogo!Elerai ataishia Dar tu,TZ yote haiwezi sembuse international?Ubongo mdogo!

Haya mambo ni taaluma na talent mkuu!

Wasomi ndio wanamuweka Elerai walao hapo alipo,bila hao angekua even worse!
Elerai ilianza akiwa fundi wa kawaida, fundi uashi miaka ya 70.. Miaka ya 80 au 90 mwanzoni akaisajiri ikiwa ni Class 7, leo hii ni Class 1.. Ni moja kati ya kampuni 5 kubwa za Ukandarasi nchini.. On his way he autosmarted most of the companies rulled by peeps with Bsc. Engineering.. Kuna wengi nawajua na vibachelor vyao vikampuni vyao bado vipi Class 7 wengine wamejitahidi wamefika Class 5..

Na ni nani amekwambia Elerai wont push further? Amesomesha watoto shule nzuri, amewawekea succession plan nzuri, no wonder in coming years watavuka boda.. Davis hajaquite bado,he is still pushing,miaka 10 baadae uje useme Davis ana kihoteli na sio mahotel.. Trump has been in business for almost 50 yrs, Davis sidhani kama ana hata miaka 30 kwenye biashara.. Judge him when he quite, he is still on his way to greatness..

Wabongo tuache wivu.. Najua sana inauma msomi umesoma lakini unaona wasiosoma sana wamekupiga bao..
 
Mkuu Steph!

Mosha ni mzuri,kaonesha anaweza biashara ya malori ya mafuta,thats it,nothing else!

Kajaribu media mkuu kachemsha vibaya sana,sababu ni nini?Low IQ alionayo imejidhihirisha!Aliingia maji marefu na yeye akili yake maji mafupi!

Tukubaliane kwanza hili moja,Mosha kafeli media company?Yes or No?
Mkuu sijajua kama kweli kafeli au lah... Siwezi judge kwa hicho..

Ila kushindwa kuendesha biashara si kitu cha kushangaza kwa wajasiriamali.. Akina Mzee Mengi kuna biashara nyingi sana ziliwashinda. Inanishangaza kumjudge mtu kwa either kushindwa kurun biashara moja tu
 
Hahahaaaa

Hii nayo ina prove my theory about Mosha's capabilities,yeye badala ya kufanya biashara anageuka muscle guy wa CCM?

Such a waste!

He will always loose!

He is not focused!

Anategemea government iliyoko madarakani imsaidie kuendesha biashara zake..Hii ni mojawapo ya wafanyabiashara wenye akili ndogo!

The fun thing is,serikali haiwezi kukusaidia akili ya kuendesha biashara,ni ubongo wako na ubunifu,ndio maana akafeli..

Na kwa hulka kama hizi,atazidi kufeli tena na tena!
Mkuu ndio maana nasema yawezekana hauko huku kwenye biashara.. Huwezi kufanya biashara yeyote kubwa usiitegemee serikali, usifinance chama tawala au usijipendekeza kwa wanasiasa. Huweziiiii...

Unajua kwanini Dangote is struggling now? Dangote ni mfanyabiashara mdogo au wa ovyo? Kamwe huwezi tenganisha biashara ya siasa, unless unafanya biashara vichochoroni sio ambazo zinaoneakana
 
Hahahaaaa

Hii nayo ina prove my theory about Mosha's capabilities,yeye badala ya kufanya biashara anageuka muscle guy wa CCM?

Such a waste!

He will always loose!

He is not focused!

Anategemea government iliyoko madarakani imsaidie kuendesha biashara zake..Hii ni mojawapo ya wafanyabiashara wenye akili ndogo!

The fun thing is,serikali haiwezi kukusaidia akili ya kuendesha biashara,ni ubongo wako na ubunifu,ndio maana akafeli..

Na kwa hulka kama hizi,atazidi kufeli tena na tena!
Kwenye unyama wa kuwanyanyasa chadema Le mutuz hayupo na mosha ni Dili lao wenyewe na Boss wao Maliyamungu idd Amin Bashite, kwenye Blackmail, kudhoofisha upinzani ni Dili zao wenyewe na wenzao wasiojulikana.
 
- hahahahahahah masikini ya Mungu, naninaamini nimetoa majibu yote muhimu anayeataka kuamini lolote analotaka awe huru tu, thanks guys!

le Mutuz
 
Elerai ilianza akiwa fundi wa kawaida, fundi uashi miaka ya 70.. Miaka ya 80 au 90 mwanzoni akaisajiri ikiwa ni Class 7, leo hii ni Class 1.. Ni moja kati ya kampuni 5 kubwa za Ukandarasi nchini.. On his way he autosmarted most of the companies rulled by peeps with Bsc. Engineering.. Kuna wengi nawajua na vibachelor vyao vikampuni vyao bado vipi Class 7 wengine wamejitahidi wamefika Class 5..

Na ni nani amekwambia Elerai wont push further? Amesomesha watoto shule nzuri, amewawekea succession plan nzuri, no wonder in coming years watavuka boda.. Davis hajaquite bado,he is still pushing,miaka 10 baadae uje useme Davis ana kihoteli na sio mahotel.. Trump has been in business for almost 50 yrs, Davis sidhani kama ana hata miaka 30 kwenye biashara.. Judge him when he quite, he is still on his way to greatness..

Wabongo tuache wivu.. Najua sana inauma msomi umesoma lakini unaona wasiosoma sana wamekupiga bao..

Mkuu

First things first,Elerai ni Class 3..which is a bullshit class!

A BSc graduate akitoka shule leo anafungua Class 5,akikaa mtaani miaka miwili anafika Class 2...yeye kaanza na Class 7 tangu miaka ya 1970's!.....This is lunacy!

Elerai ipo headquartered Arusha,Sakina..kwa footprint tu hawezi kua top 5 biggest construction companies in TZ!

Kukukamata na uongo wako,Class 3 hatakiwi kua na kazi zisizozidi 3 Billions TZS,in no way on earth Elerai Class 3 iwazidi kipesa contractors wote wa Class I na wote wa Class II ambayo idadi yao ni zaidi ya 220...Elerai ni small fish in a big pond,he is nobody!

Halafu elewa,Civil Engineering works profit margin hua ni ndogo,project value inawezakua kubwa ila profit margin inajulikana ni ndogo,kinachobaki ni kuwanyonya wafanyakazi na wateja,ambapo wakibana you are in deep shit...Soko la Civil Engineering limejazana competitors wengi hivyo wakavuta profits zote down,huwezi compare na profits za Electricals au IT au Telecoms....

Elerai ni small player mkuu,labda utuletee hesabu zao hapa,tuchambue kimoja baada ya kingine tuone performance yake!

Elerai anateseka tu kama wengine,anapata hela ila jasho jingi..Tangu 1970's mpaka leo yupo Class 3?Hebu kuweni serious bwana!

Another thing...huwa majitu ambayo hayajaenda shule yana inferiority complex,yakiweza kitu kidogo tu hata kwa efficiency mbovu kabisa yanaanza makelele kama majuha...Hakuna tofauti ya Mosha au Musukuma,etc..Haya majitu ni ma-lunatics tu!
 
- hahahahahahah masikini ya Mungu, naninaamini nimetoa majibu yote muhimu anayeataka kuamini lolote analotaka awe huru tu, thanks guys!

le Mutuz

Mkuu

It is true!!!!!

Mnampaisha tu bure...yeye mbeba mafuta ya Kobil!

Hajawahi miliki mafuta ya aina yoyote au kuagiza bulks kutoka nje!

Tena kwenye ile squad ya kuagiza bulk Mosha akiingia kwenye room ya tendering wale Waarabu bidders lazima wafunge pua kuna mzoga umeingia!

Hebu acheni bwana!
 
Kwenye unyama wa kuwanyanyasa chadema Le mutuz hayupo na mosha ni Dili lao wenyewe na Boss wao Maliyamungu idd Amin Bashite, kwenye Blackmail, kudhoofisha upinzani ni Dili zao wenyewe na wenzao wasiojulikana.

Hahahaaaa....

Wameniudhi sana aisee...

Ukiona watu wanaishindwa competition mpaka wanafikia maamuzi ya kumpoteza competitor wao kwa njia haramu kama hizo inaonesha wana IQ ndogo sana....Hii ina prove kua nipo correct na theory yangu kwa IQ ya hawa majamaa...Ni ndogo sana hata kuendesha media company!!

Imagine IQ ya Tundu Lissu,waliishindwa mpaka wakaamua kupakia Land Cruiser nyeupe!!Hahahahaaa
 
Mkuu

First things first,Elerai ni Class 3..which is a bullshit class!

A BSc graduate akitoka shule leo anafungua Class 5,akikaa mtaani miaka miwili anafika Class 2...yeye kaanza na Class 7 tangu miaka ya 1970's!.....This is lunacy!

Elerai ipo headquartered Arusha,Sakina..kwa footprint tu hawezi kua top 5 biggest construction companies in TZ!

Kukukamata na uongo wako,Class 3 hatakiwi kua na kazi zisizozidi 3 Billions TZS,in no way on earth Elerai Class 3 iwazidi kipesa contractors wote wa Class I na wote wa Class II ambayo idadi yao ni zaidi ya 220...Elerai ni small fish in a big pond,he is nobody!

Halafu elewa,Civil Engineering works profit margin hua ni ndogo,project value inawezakua kubwa ila profit margin inajulikana ni ndogo,kinachobaki ni kuwanyonya wafanyakazi na wateja,ambapo wakibana you are in deep shit...Soko la Civil Engineering limejazana competitors wengi hivyo wakavuta profits zote down,huwezi compare na profits za Electricals au IT au Telecoms....

Elerai ni small player mkuu,labda utuletee hesabu zao hapa,tuchambue kimoja baada ya kingine tuone performance yake!

Elerai anateseka tu kama wengine,anapata hela ila jasho jingi..Tangu 1970's mpaka leo yupo Class 3?Hebu kuweni serious bwana!

Another thing...huwa majitu ambayo hayajaenda shule yana inferiority complex,yakiweza kitu kidogo tu hata kwa efficiency mbovu kabisa yanaanza makelele kama majuha...Hakuna tofauti ya Mosha au Musukuma,etc..Haya majitu ni ma-lunatics tu!
How the hell ELERAI is class 3... Hahahha unanichekesha, Elerai ilikuwa Class 3 mwaka 2003 Mkuu. Mkuu narudia tena, Kati ya Kampuni kubwa za kandarasi za wazawa nchini ELERAI ni top 3.. Aliyekudanganya ELERAI ni class 3 hajui au labda umeamua kupotosha tu..

Nenda hapa ELERAI CONSTRUCTION COMPANY LIMTED | Contractors Registration Board

Au kukurahisishia.. Usipende kuongea vitu usivyovijua au usivyo na hakika navyo.. Ati Elerai Class 3 ahahahahahaha.. Inawauma standard 7 kawa autosmart na videgree vyenu..
ELERAI CONSTRUCTION COMPANY LIMTED
Registration Number:
B1/0076/07/2006
Managing Director:
SAMWEL MALEKO
Types of Contractor:
BUILDING
Class:
1
Category:
Local
Town:
ARUSHA
HideContacts
Postal Address:
P.O.BOX 7026
Physical Address:
PLOT NO. FF 82 NAIROBI ROAD SAKINA INDUSTRIAL AREA
E-mail:
newltd@habari.co.tz
Phone:
+255 027-2506000 / +255 027 2508936 / 0784 511144
 
Mkuu Steph!

Mosha ni mzuri,kaonesha anaweza biashara ya malori ya mafuta,thats it,nothing else!

Kajaribu media mkuu kachemsha vibaya sana,sababu ni nini?Low IQ alionayo imejidhihirisha!Aliingia maji marefu na yeye akili yake maji mafupi!

Tukubaliane kwanza hili moja,Mosha kafeli media company?Yes or No?
Hapa mimi natofautiana na wewe kwa 100%.

Mosha ni Millionaire kwa sababu anathubutu, bila kufeli kwenye maisha maana yake wewe hujawahi kujaribu jambo jipya.

Hata Baba wa Taifa alikuwa na nia njema lakini alifeli katika sera yake ya ujamaa.

Wewe jamaa nimekuogopa sana kama kweli hizi ndio akili zako.

Kama una chuki binafsi na Mosha control ur temper lakini usitowe mifano ya kijinga kama hii, utadharauliwa na watu wenye akili timamu.

Pale Yanga kuna Mzee anaitwa Akilimali, kazi yake kubwa ilikuwa ni kumtukana tajili Manji anayetowa pesa timu ifanye vizuri na kuleta migogori klabuni.

Sasa tajili Manji amekaa pembeni huyu Akilimali hana msaada wa wowote wa kuikwamuwa Yanga kwenye janga la kiuchumi.

Nimekupa mfano huo usimdharau mtu ambaye amepambana mpaka na mimi tunamjuwa lakini yeye hatujui siyo mwenzetu huyo Mosha.
 
- HAkukuwa na malipo kulikuwa na posho ya nauli tu kwa sababu hakukuwa na aliyeajiriwa wote walikuwa wanajitolea. Nenda media zote za bongo utawakuta wa kujitolea!

le Mutuz Superbrand
Kwahy CEO hamkumuajiri? Hamkupa rav 4 ,wale vijana walipo omba mikataba mliwapa? ,Hahaha nikuache mkuu siku njema
- Ni maneno ya mtaani ambayo hayana lolote, mimi sikuwahi kuhusika na lolote la production so ni uongo wa kitoto sana!

le Mutuz
Hahaha ulikua huusiki na production ndio maana hujui km nakujua,sasa Mimi nimehusika pale kwenu Ku survey ile link yenu kupeleka mawimbi makongo Juu baadae UA wale wazungu kumaliza kufungua kule studio ,

Mkaleta jamaa mmoja akawa anajenga studio ya nje yenye mahadhi ya kiafrika ,mkuu najua ASTV ujue
 
Mkuu classes hazigaiwi kwa kiwango cha elimu.. Ebu acha uongo, kama kitu hujui nyamaza tu mkuu..

Hata ukitoka na elimu gani chuoni, hauwezi pewa class 5 kama unavyosema. Class zinadhaminishwa kwa kiwango cha mtaji, vifaa na uzoefu.. Ila mostly ni vifaa ambavyo unamiliki. Ati utoke chuo huna hata toroli upewe class 5 hahahahha
 
Mkuu,ninajua,ila sina paragraph verbatim,ndio maana nikakwambia Google up...

Kwajibu lako inaonesha unapima watu,which is really a sinister aim!

Shida ya sisi wanadamu (mimi na wewe included) hua tunapouliza maswali kwa outer aim ya kujifunza kumbe inner aim yetu ni kumpima muulizwaji swali,hii hali inatufanya tunakua wanafiki sana.

Mkuu,ingia Google andika hivi "Differences Between Businessman and Entrepreneur",you will get shit load of materials na utaelewa vizuri sana!
Naomba utoe authoritative definitions za "entrepreneur" and "businessman", pamoja na tofauti zao ambazo unazikubali wewe, and then we can go from there. Kwa vile wewe unadai umesoma "Entrepreneurship 101", basi namaanisha utoe book definitions.
 
Mosha ni kilaza....hizi biashara za kutumia akili kama hvyo media company hawezi,ni mweupe sana..anaweza kazi zisizotumia akili kama usafirishaji,shell au Bureau De Change....

Kwanza to begin with ,Mosha aliibuka kibiashara kama accident tu kipindi cha JK,tena akipata tafu la Riz Moko....Accident ingine kubwa ni kupata mkataba wa kusafirisha mafuta ya Kobil nadhani East Africa and Central,hapo tu!

Ni pure accident!

Mosha anatumia kujuana na watawala kufanya biashara,sio kinyume chake.Utawala wa JK umesepa na yeye kasepa!

Ukitaka kujua Mosha ni accident,alipata hela ya ghafla akageuka limbukeni,ulimbukeni ni ishara kua hiyo biashara ni accident na wala sio mipango thabiti ya kitaalamu.Aliwehuka moja kwa moja....Sasa hela imekata karudi ground state!

Kwa kifupi ni kua,Mosha hana business acumen kama alivyokua anajipromoti,na failure ya Swahili Media ni clear kabisa jamaa ni overrated na hana uwezo.Majay wa EFM tuseme kampita mbali mno.

Mosha is a looser...mfanyabiashara wa kweli hawi mwanasiasa,sasa anawatumia kama dummies....eti anaenda kugombea ubunge Moshi,what a looser!....Unafungua media company inakufa,wakati ni a small thing you run it 100% perfect kwa kupiga simu!

Aliishia la 7,low IQ yake ultimately imejiidhihirisha!....

Kuna reason kwanini mtu ana IQ kubwa au msomi,there is a reason for that!

Jitu jingine bure kabisa ni Musukuma....

Musukuma akijigeuza afungue kampuni ya media au engineering,etc...ubovu wa akili yake utakua exposed!
Mkuuu Mosha tokea 1999 yuko vizuri sana, tuliokulia msaranga,moshi tunafahamu mama Anna ndo alimueka kwenye chat
 
Mkuu biashara ya hotel kumbe ni ya wenye low IQ? Are u serious? 50 yrs tangia uhuru bado wasomi wetu hamuwezi kujenga 50 km za rami na bado mnajiita wasomi? Wasomi ambao hamna succession plan hata aibu hamuoni?

Kuna Mzee mmoja (RIP) alikuwa ni rafiki yangu sana, miaka ya 50 alikuwa na plumber company akawa anapata mpaka tender za East Africa kipindi hicho muingereza ameikalia East Africa by 60's tayari kampuni yake ilikuwa kubwa kiasi kwamba miradi ya maji nchini pamoja na Kenya aliifanya yeye. Leo hii ile kampuni haipo na watoto wake wapo wapo tu hawana hata cha maana. Mara ya mwisho nilikutana nae Moshi 2009 akiwa anatoka zilikokuwa ofisi zake Majengo Moshi amechoka balaa. Sasa najiuliza pamoja na usomi wake alishindwaje kuweka succession plan, na hili si tatizo lake pekee, almost wasomi wetu wengi wanaomiliki vitu hapa kwetu wanachemka.. Leo hii nikikwambia unitajie kampuni yeyote ya msomi wa Tanzania iliyoexist zaidi ya miaka 20 itakuwa ngumu kwako kuitaja. Lakini Mzee Lema wa Elerai pamoja na darasa la 7 lake ambalo wewe unadharau ameweza kuiendesha Elerai Constructions kwa zaidi ya miaka 20 sasa na ni moja kati ya Kampuni kubwa za kandarasi hapa nchini..

Umeidharau Hotel business, lakini Donald Trump ndio kitu amekuwa akikifanya kwa zaidi ya miaka 50, hotels, real estates ndio zimempa mpaka jeuri ya kuwa Rais wa Marekani.. Umesema darasa la 7 ni mediocre kwenye biashara za kitaaluma lakini nimekupa mfano wa Mzee Lema ambaye ameweza run Elerai Construction kwa zaidi ya miaka 20 sasa wakati wasomi wetu biashara zinawapiga chini kila uchao
Nimefuatilia maandishi yake muda mrefu nimegundua kuwa huyu ndugu bado ana safari ndefu sana kielimu
 
Mkuu

It is true!!!!!

Mnampaisha tu bure...yeye mbeba mafuta ya Kobil!

Hajawahi miliki mafuta ya aina yoyote au kuagiza bulks kutoka nje!

Tena kwenye ile squad ya kuagiza bulk Mosha akiingia kwenye room ya tendering wale Waarabu bidders lazima wafunge pua kuna mzoga umeingia!

Hebu acheni bwana!
Ni dhahiri kuwa una chuki binafsi na ndugu Davis Mosha......
 
Mkuu

First things first,Elerai ni Class 3..which is a bullshit class!

A BSc graduate akitoka shule leo anafungua Class 5,akikaa mtaani miaka miwili anafika Class 2...yeye kaanza na Class 7 tangu miaka ya 1970's!.....This is lunacy!

Elerai ipo headquartered Arusha,Sakina..kwa footprint tu hawezi kua top 5 biggest construction companies in TZ!

Kukukamata na uongo wako,Class 3 hatakiwi kua na kazi zisizozidi 3 Billions TZS,in no way on earth Elerai Class 3 iwazidi kipesa contractors wote wa Class I na wote wa Class II ambayo idadi yao ni zaidi ya 220...Elerai ni small fish in a big pond,he is nobody!

Halafu elewa,Civil Engineering works profit margin hua ni ndogo,project value inawezakua kubwa ila profit margin inajulikana ni ndogo,kinachobaki ni kuwanyonya wafanyakazi na wateja,ambapo wakibana you are in deep shit...Soko la Civil Engineering limejazana competitors wengi hivyo wakavuta profits zote down,huwezi compare na profits za Electricals au IT au Telecoms....

Elerai ni small player mkuu,labda utuletee hesabu zao hapa,tuchambue kimoja baada ya kingine tuone performance yake!

Elerai anateseka tu kama wengine,anapata hela ila jasho jingi..Tangu 1970's mpaka leo yupo Class 3?Hebu kuweni serious bwana!

Another thing...huwa majitu ambayo hayajaenda shule yana inferiority complex,yakiweza kitu kidogo tu hata kwa efficiency mbovu kabisa yanaanza makelele kama majuha...Hakuna tofauti ya Mosha au Musukuma,etc..Haya majitu ni ma-lunatics tu!
Kama hizi ndio mindset za wasomi wetu basi bado tuna Safari ndefu sana kielimu kama taifa.....
 
Naomba utoe authoritative definitions za "entrepreneur" and "businessman", pamoja na tofauti zao ambazo unazikubali wewe, and then we can go from there. Kwa vile wewe unadai umesoma "Entrepreneurship 101", basi namaanisha utoe book definitions.

Ndio maana post yako hii ina prove wazi kabisa,huna nia ya kujielimisha,una nia ya kupima uwezo wangu,nothing more!

Mkuu,Google mzigo huo!
 
Kama hizi ndio mindset za wasomi wetu basi bado tuna Safari ndefu sana kielimu kama taifa.....

Wewe unataka nini?

Tu-sugarcoat kampuni fulani?Hizo tabia za kusifia watu kwa sifa uongo anazo Lemutuz...

Nimechambua kwa ukweli bila kuficha anything...na pili,nimemjibu bwana Steph Curry kwa muktadha wa post yake...

Sina chuki na Elerai,ninasemea ukweli wa sector ya construction kwenye nchi yetu,Bwana Curry alifanya exaggeration ya ajabu!

Ila una haki na hoja yako!
 
Ni dhahiri kuwa una chuki binafsi na ndugu Davis Mosha......
Hiyo ni observation yako,na una haki!

Ila kwangu sina chuki nae..na pia kua na chuki na mtu si ajabu,ndio tabia na reactions zetu wanadamu,sidhani kama nimevunja sheria!

Nina haki ya kumchukia kama ulivyo na haki wewe ya kumpenda..mi nadhani tujikite kwenye hoja zaidi tuache assumptions!
 
Back
Top Bottom