Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Elerai ilianza akiwa fundi wa kawaida, fundi uashi miaka ya 70.. Miaka ya 80 au 90 mwanzoni akaisajiri ikiwa ni Class 7, leo hii ni Class 1.. Ni moja kati ya kampuni 5 kubwa za Ukandarasi nchini.. On his way he autosmarted most of the companies rulled by peeps with Bsc. Engineering.. Kuna wengi nawajua na vibachelor vyao vikampuni vyao bado vipi Class 7 wengine wamejitahidi wamefika Class 5..Mkuu
Unajua kuna Hoteli na "Hotel"...
Nadhani ili unielewe kwa perspective ya hapa kwetu TZ nadhani hoteli zote unazoziona ni migahawa..hoteli serious sidhani kama zinazidi 20!
Mosha kafungua mgahawa mkuu..Hahahaaaa.....
Halafu usimuweke Trump na biashara za hoteli zake na huu ujinga hapa TZ!Please ona the difference!
Mkuu,Elerai ina miaka 20,na bado ipo vilevile,what a shame!
Elerai ni kakampuni kadogo sana,na kwa 20 years bado kapo vilevile!
Biashara za watu ambao hawajaenda shule utazijua tu!No growth beyond certain line,kuna limit ya growth zao,yaani ni controlled expansion,hawana uwezo wa ku-manage expansion,ndio mwisho wa akili zao!Kwenda mutli-national hawawezi,akili ni ndogo!Elerai ataishia Dar tu,TZ yote haiwezi sembuse international?Ubongo mdogo!
Haya mambo ni taaluma na talent mkuu!
Wasomi ndio wanamuweka Elerai walao hapo alipo,bila hao angekua even worse!
Na ni nani amekwambia Elerai wont push further? Amesomesha watoto shule nzuri, amewawekea succession plan nzuri, no wonder in coming years watavuka boda.. Davis hajaquite bado,he is still pushing,miaka 10 baadae uje useme Davis ana kihoteli na sio mahotel.. Trump has been in business for almost 50 yrs, Davis sidhani kama ana hata miaka 30 kwenye biashara.. Judge him when he quite, he is still on his way to greatness..
Wabongo tuache wivu.. Najua sana inauma msomi umesoma lakini unaona wasiosoma sana wamekupiga bao..