Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Wyatt na Ndjabu mna go too far nimefatilia huu uzi tangu mwanzo mpka hapa. Ingawa Uzi ulihama toka kwa William lakini ulikuwa constructive hasa argument za Curry.
Both Ndabu na Wyatt mna hoja nzuri za kujenga lakini hamkumaliza vizuri please mnaweza kudabete na pia kukubali kutofautiana. Nilipenda Wyatt alisema ana resentment na Mosha. Lakini bado aliendelea kujadili kama mtu mwenyeufahamu na biashara.
All in all you are both better than this.
 
Mkuu umesharun any business? Bureau de change ni biashara ya wasio na akili? Hata manufacturing state of art kikubwa ni mtaji. Ofcourse know how utaajiri. Hata Mengi hakuwa amesomea journalism alipoanza na newspapers etc. kampuni zake pia kikubwa ni mtaji. Umesema mengi sahihi lakini naona kama kuna upofu flani uliosababishwa na extreme hate so to speak.
 


- Thank U wewe piga kelele sisi tunaruka na ndege tunaofanana nao kwa akili, pole sana ila hapa mjini kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake!

le Mutuz Superbrand
Hufanani Akili na mzee mengi bali huo ni mwendelezo wa kujipendekeza kwa huyo mzee baada ya kutumwa na Maliyamungu Bashite kumbembeleza wamalize tofauti zao, wewe unakula kwa urefu wa kamba iliyowafunga chadema mnakula pesa za Umma, pesa za walipa kwa kazi ya kudidimiza Demokrasia na kufuta mfumo wa vyama vingi ili mrejeshe mfumo wa chama kimoja
 


- Leo nilienda kuongea business na Gwiji wa Business, Chairman Mengi what a productive meeting U know hahahahaha!

le Mutuz
Ulienda kuongea Busness ipi? Hujui businesses kilichokupeleka huko ni Umbea , kujipendekeza pia kumbembeleza mzee mengi aanze kumkubali Maliyamungu idd Amin Bashite, huna business unajua zaidi ya kukariri business za Wachina ukaenda kuzuga na kumhadaa mzee mengi kisha ukachomekea yako ya ajabu ajabu na hovyo kama kawaida yako.
 

- Hahahahaha tunaita kelele za mlango, pole sana kwenye maisha kila mmoja wetu hula kwa urefu wa kamba yake, kamba yako imesihia hapo ulipo kutumia majina ya bandia kutukana usowajua na wanaokupita kimaisha, hahahahaha!

le Mutuz Superbrand
 
Niliishi nae kwa kipindi kirefu hapa Marekani na watanzania wote walikuwa wakimwita kubwa jinga toka enzi hizo mpaka sasa.

- Hahaha MArekani mimi nilikuwa najisomesha College wao wanalinda usiku na kulea matahira halafu unasema ninafanana nao? wao wamebaki mimi nimerudi mwendo ni ule ule hahahahaha pole sana!

le Mutuz
 

Mkuu hapo umemaliza.
 
Huyu jamaa kwa jinsi alivyo na maadui, anafanya matusi kweli make akifanya matusi afu akapitiwa na usingizi, kurekodiwa kupo njenje na picha ni zitakuwa dili.
 
Jf buana. Kuna watu mnatusaidia sana kutoa stress na vyuma kukaza[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Yaaani Le kokobanga agemate wa hamorapa?[emoji2]
 
Ila hapa unachemka mzee, hebu tuambie wewe 'mwenye akili' umemzidi nini Mosha?
 
- Hahaha MArekani mimi nilikuwa najisomesha College wao wanalinda usiku na kulea matahira halafu unasema ninafanana nao? wao wamebaki mimi nimerudi mwendo ni ule ule hahahahaha pole sana!

le Mutuz
hahahahaha..eti hii nayo ni comment inayotolewa na KING OF ALL SOCIAL MEDIA NETWORKS. Above 54yrs old man, Msomi, mtu anaeijua vyema dunia ati.. Comment ya kitooto, yakipuuzi name hafifu sana
 
Mkuu una point lkn mtu ku fail project moja sioni kama ni Tatizo.. Uki google hapo utaona 1/3 ya biashara alizoanzisha Trump huwa zina fail.. hata Mengi biashara kibao alizoanzisha zimefail au ameuza.. magazeti kibao amefunga. Bharesa nae kuna product kibao zilifail.. kwa hiyo tusimjudge Mosha ni failure project moja ku fail
 

Ni kweli unachosema mkuu!

Sijasema yeye kufeli Swahili Media kua hafai,hapana...

Nachosema ni kua,akubali kua hajui vitu vyote,Media imemshinda!....No shame kukubali uliposhindwa na ku-move on!

Ukisema akina Mosha walishindwa kitu,unaonekana wewe ni mbaya,snitch,una wivu,etc..Wakati ni true it happened!

Na ukicheck trend za watu kama akina Mosha,hawezi biashara zinazotaka KNOW-HOW!

Yaani biashara yoyote yenye "technicality" tu,hua hawawezi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…