Angalia sasa na wewe ulivyo lofa...Le Mutuz ni mtu mwenye roho nzuri sana aliwahi kunipa lift kwenye Noah yake basi kaji safari kalikuwa murua sana
Full mijistori, full you know, nilivyokuona una roho nzuri bila longo longo lazima uje kujibu hizi pumba za wasiokupenda
Hisa za Le mutuz ilikuwa ni 0.40 ni hisa ya kizushi ni hisa feki ni kama hakuwa na kitu, mosha alimpachika pale kizushi akidhani ni jitu lenye mtandao kumbe akaja kugundua ni fafa ndipo akaanza kuligeuka, kwa kifupi nadhani moshi kauza TV kumkwepa Le mutuz maana alijua wakiachana vibaya lazima Le mutuz ataenda kumshitaki kwenye Group lao la wasiojulikana kisha wamwashie moto mkubwa.Le mutuz alikua partner wa african swahili tv,wachagga wakamuingia mosha kwa fitna kutaka kuwagombanisha,Lemutuz kuona hivyo akajiondoa mzima mzima na kusamehe kila kitu akahamishia nguvu kwenye le mutuz online tv
Mosha ni mfanyabiashara,si dhambi kuuza kitega uchumi chake kama kuna mtu amempa bei nzuri
You tube TV hata wewe unafungua simple tuMbona Le mutuz anayo TV yake?
poa poaNi personal secretary sio private secretary
Hata kama,ni nani aliyemwambia kwamba Jina la Kampuni likibadilika kodi inafutika?Kodi gani, maana ASTV ilikua bado kwenye testing transmission
Le kibamia.Maskini lemutuz
Shule gani ilikufundisha kwamba jina la Kampuni likibadilika madeni yanafutika?Kuna ukwepaji kodi mkubwa hapo, wameamua kuibadilisha jina ili kukwepa kodi TRA nendeni mkafanye ukaguzi kama kabla ya kuuzwa kulikuwa na madeni ya nyuma,
Celten=Airtel
HSC=GSM
Wasiojulikana na umewataja majina?kikundi cha wasiojulikana cha akina Lipumba mutuz, Cyprian Msiba, Heri Kisanduku makapero na wengineo wana zile zile Tabia za marehemu Colonel Maliyamungu wa uganda.
Teh mi simoLe kibamia.
Emoji emoji emoji emoji emoji...Angalia sasa na wewe ulivyo lofa...
Yaani ulipewa lift na huyo lord lofa unakuja kuhadithia huku??
Utakuwa unatabia za kike ama wewe ni shoga...
Wagogo wezi hatari sana, sana sana ni wezi wa ng'ombe na nguruwe.Kweli maisha yanaenda kasi sana mchaga ana tapeliwa na mgogo
Kwa mikoani amuibiwi, lakini kwa apa Dar es salaam wanaibiwa kila siku, kwa kupenda vitu vya thamani kubwa kwa pesa ndogo.Davis mosha.. Hapa umenifumbua macho.. Nilikuwa na mawazo Sana juu ya jina hili.. Sio geni... Thanks mkuu wakat nikiwa moshi nilipata kumuona mtu huyu akifanya kampeni but sikuwahi fikiria Kama alikuwa mmiliki wa ASTV... ila wachaga hatuibiwi kirahisi hv jaman... Mosha sijui alichanganyikiwa nn kudanganywa na le mibebez
Kukuwadia matajiri le mbebizEti yupo dodoma kikazi..kazi yake ni nini haswa??..hili zee sijui linafunza kichwani!!
Born townIle Media ya morogoro imeota mbawa???Huyu jamaa alikusanya michango kwa wasomali wa kigamboni eti anataka kuoa Kaishia mitini hakuna cha ndoa wala nini
W. J. Malecela
Hii picha ya kanzu kila ninapopata mfadhaiko wa akili na nafsi huwa narudi kuangalia,inanipa faraja sana.sasa kwanini Lembabazz alienda kupiga picha halafu chini akaweka taa?Le tamko kuhusu le super ulegizView attachment 786860View attachment 786861
Hiyo TV ya online ni Tv ya kila mmoja anaweza kufunguaLe mutuz anamiliki Online tv nyie mnamiliki nini?