Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Kwa maana hii Le mutuz na mosha bado ni marafiki? Je? wamefeli wote? au le mutuz yeye kakimbilia kwa Maliyamungu Bashite anakula pesa za Bajeti ya kikundi cha wasiojulikana na kuendeleza hujuma kwa chadema.
Kutokana na Lemutuz posts za juu hapo,jamaa aliamua kwenda direction yake mwenyewe,ina maana aliwatosa akina Lemutuz and his cronies.
Akafanya mwenyewe akiamini yeye ni mtambo,the funny thing is alichemka akaamua kuuza!
Na pia kwa mujibu wa Lemutuz anasema eti Swahili Media ilikua inafanya vizuri sana...swali ni kwanini aliuza?
Im sure most likely alikua ka-breakeven bado useme kesharudisha chake asepe,useme kauza tu kwa kupenda sio kweli ku-believe!
Most likely theory ni kua,sector ilimshinda kwa sababu ya mbinu zake ndogo,maana media inataka ubunifu usio na kifani,yeye hana...kingine huenda competition ilimu overwhelm sana,ambapo inaonesha hana business maturity..wakati competition ndio inafanya business kua interesting,yeye anakimbia...
Kwanza kukimbia tu kampuni ni umama wa hali ya juu...watu wanatoa kampuni ICU ndani ya mwaka zinaleta turnovers za ajabu!
Moral of the story is,no matter connections ulizonazo na serikali,au hela uliyonayo,unawajua mawaziri au marais wangapi kama Mosha,business is an art,brains,talent na passion tu ndio vinatakiwa!
Kafeli,kafeli,kafeli....
He has been exposed!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]