Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Kwa maana hii Le mutuz na mosha bado ni marafiki? Je? wamefeli wote? au le mutuz yeye kakimbilia kwa Maliyamungu Bashite anakula pesa za Bajeti ya kikundi cha wasiojulikana na kuendeleza hujuma kwa chadema.

Kutokana na Lemutuz posts za juu hapo,jamaa aliamua kwenda direction yake mwenyewe,ina maana aliwatosa akina Lemutuz and his cronies.

Akafanya mwenyewe akiamini yeye ni mtambo,the funny thing is alichemka akaamua kuuza!

Na pia kwa mujibu wa Lemutuz anasema eti Swahili Media ilikua inafanya vizuri sana...swali ni kwanini aliuza?

Im sure most likely alikua ka-breakeven bado useme kesharudisha chake asepe,useme kauza tu kwa kupenda sio kweli ku-believe!

Most likely theory ni kua,sector ilimshinda kwa sababu ya mbinu zake ndogo,maana media inataka ubunifu usio na kifani,yeye hana...kingine huenda competition ilimu overwhelm sana,ambapo inaonesha hana business maturity..wakati competition ndio inafanya business kua interesting,yeye anakimbia...

Kwanza kukimbia tu kampuni ni umama wa hali ya juu...watu wanatoa kampuni ICU ndani ya mwaka zinaleta turnovers za ajabu!

Moral of the story is,no matter connections ulizonazo na serikali,au hela uliyonayo,unawajua mawaziri au marais wangapi kama Mosha,business is an art,brains,talent na passion tu ndio vinatakiwa!

Kafeli,kafeli,kafeli....

He has been exposed!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu unacheka majibu ya le mutuz humu ,ahsante kwa kuweka mambo sawa

Huyo jamaa alifikia kipindi wakawa wanagombania gari aina ya Rav 4 alimpa CEO wake ,huu utata uliwafikisha mahakamani ,CEO akawa anakuja maskani anamkandia tajiri na kusema hatoi gari mpk alipwe chake ,na Mosha akawa anataka gari yake ampe CEO mpya mdada mmoja hivi

Kifupi Mosha alifeli mbaya kwa ushauri wa le mutuz ,hakua na plan yoyote ya media zaidi ya kumtegemea le mutuz na CEO wake feki

Hata TV kuingia azam decoder ni msaada wa rafiki yake Yusuf bakharesa

- Yaani Davis ana magari 600 atagombea RAV 4 hahahahahaa mnapoandika uongo muwe mnafikiri kwanza hahahahahahahha!

le Mutuz
 
Hahahaaa...kama umesoma posts zangu huko juu...Hoteli ni sector majitu yenye IQ ndogo hua yana tabia ya kuivamia...

Cha ajabu atakula za uso pia!

Biashara yenye kutaka constant innovation kama media hawezi kichwa maji yule!

Huenda hujui kwanini kaikimbia ila mkuu,tukiwa kama outsiders looking in,hiyo lane ya kila saa kichwa kiwe kibunifu hakuweza!

Sasa basi,tukienda kwa similarity theorem,sector ya technology hawezi,manufacturing hawezi,IT hawezi,engineering hawezi,etc ,maana hizi zinataka kichwa kipate moto masaa yote uwe ahead of the curve!

Your friend Mosha has been exposed!
Le mutuz yeye sasa kaamua kujitoa fahamu yupo busy na biashara haramu ya kuibomoa chadema na kikundi chao cha wasiojulikana chini ya Uongozi wa Maliyamungu idd Amin Bashite kimepata Bajeti kubwa ndipo le mutuz amepata pesa za kupanga nyumba na amenunua kagari kengine huku akiongeza idadi ya michepuko na uzurulaji usiku kwenye Bar, club na kwa watu wenye pesa wasiopenda upinzani nchini, kwa sasa mladi wake mkubwa ni tokomeza Lisu, tokomeza chadema rejesha mfumo wa chama kimoja.
 
Kutokana na Lemutuz posts za juu hapo,jamaa aliamua kwenda direction yake mwenyewe,ina maana aliwatosa akina Lemutuz and his cronies.

Akafanya mwenyewe akiamini yeye ni mtambo,the funny thing is alichemka akaamua kuuza!

Na pia kwa mujibu wa Lemutuz anasema eti Swahili Media ilikua inafanya vizuri sana...swali ni kwanini aliuza?

Im sure most likely alikua ka-breakeven bado useme kesharudisha chake asepe,useme kauza tu kwa kupenda sio kweli ku-believe!

Most likely theory ni kua,sector ilimshinda kwa sababu ya mbinu zake ndogo,maana media inataka ubunifu usio na kifani,yeye hana...kingine huenda competition ilimu overwhelm sana,ambapo inaonesha hana business maturity..

Kwanza kukimbia tu kampuni ni umama wa hali ya juu...watu wanatoa kampuni ICU ndani ya mwaka zinaleta turnovers za ajabu!

Moral of the story is,no matter connections ulizonazo na serikali,au hela uliyonayo,unawajua mawaziri au marais wangapi kama Mosha,business is an art,brains,talent na passion tu ndio vinatakiwa!

Kafeli,kafeli,kafeli....

He has been exposed!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

- AST haijauzwa imekodishwa rekebisha hilo kwanza then tutakuwa sawa!

le Mutuz Superbrand
 
Biashara yeyote inayotaka technical know-how

Kama ya media,engineering,technology,innovation,manufacturing,consulting,law,education,medical,banking na kwa mbali construction...

Mosha hakatizi,atatia aibu...ndio maana katia aibu kwenye Swahili Media!

Karusha mguu mtu chali kauza!....Wakati Tido ana-run huo upuuzi kwa simu akiwa anakunywa kahawa nyumbani!...

Kwa haraka haraka tu,naona Mosha hana knack of identifying professional talent na kuwasimamia,hawezi...ni mpuuzi mno to do that!

Yeye asimamie madereva wake,aweke tracking kwenye magari na matanki ya magari wasimuibie mafuta ya wateja wakati anayapeleka DRC....

Ni simple,alichukua hela benki,kanunua magari baada ya kupata mkataba wa Kobil...ndio anakimbizana na magari,na yana insurance,yakianguka anarudishiwa mengine....

Hapo ni asali Kobil wasimnyang'anye mkataba maana atakua mchimba chumvi mzoefu.

Ana nini kingine?Bureau De Change?Sheli?Magari yameandikwa majina yake?Nigga puliiiiz....Who cares?
Mkuu mbona kama hizo biashara zote ulizotaja wasomi nyinyi mnaojitapa hamziwezi.. Engineering and Construction miradi yote mikubwa wanachukua wa nje, Class 1 ya kampuni zetu za Engineering mnazomiliki wazawa hawana hata uwezo wa kujenga barabara za kilomita 50 kiwango cha rami..

Technology mpaka sasa tumegundua nini kama nchi au hata hao wasomi wetu wamegundua kipi? Innovation teh teh teh teh kipi mmeinnovate wasomi wetu? Manufacturing nitajie weusi (not arabs, indians) watano tu wanaomiliki viwanda vinavyoeleweka hapa nchini, Consulting kampuni kubwa za Consultation hapa nchini ni branches tu nenda PWC na Ernest and Youngs hata wengi walioajiriwa huko sio wazawa pekee ni mchanganyiko mpaka wazungu wapo, Medical teh teh teh teh no comment, Banking nitajie weusi watatu tu wanaomiliki Banks hapa nchini, au we unaongelea hao waajiriwa wa banks ndio unawaona mashujaa kuliko Mosha?

Huyo Mosha unayemuona mpuuzi katoa ajira kwa watanzania wengi tu, Sasa wewe msomi wetu una nini cha maana? Umeshawahi fanya biashara yeyote au unakalia Executive Chair hapo ofisini kusubiri mwisho wa mwezi? Kama umeshawahi kufanya biashara yeyote ile iwe technical au ya kijanja janja huwezi kumdharau mfanyabiashara hata mwenye kiglossary chenye mtaji wa kreti mbili za bia..
 
Le mutuz yeye sasa kaamua kujitoa fahamu yupo busy na biashara haramu ya kuibomoa chadema na kikundi chao cha wasiojulikana chini ya Uongozi wa Maliyamungu idd Amin Bashite kimepata Bajeti kubwa ndipo le mutuz amepata pesa za kupanga nyumba na amenunua kagari kengine huku akiongeza idadi ya michepuko na uzurulaji usiku kwenye Bar, club na kwa watu wenye pesa wasiopenda upinzani nchini, kwa sasa mladi wake mkubwa ni tokomeza Lisu, tokomeza chadema rejesha mfumo wa chama kimoja.

- Mmeanzia mbali sana na bado mtatunga majungu na uongo mpaka mwisho lakini hamna lolote tunapiga kazi tunakula batazzz!

le Mutuz Superbrand
 
- Yaani Davis ana magari 600 atagombea RAV 4 hahahahahaa mnapoandika uongo muwe mnafikiri kwanza hahahahahahahha!

le Mutuz
Kuna watu waliocha kazi huko kwenye TV zenu huenda humjawalipa au mna ugonvi nao, hao wameleta chuki zao kwenu yakupasa uwalipe pesa zao pengine ndiyo wenye rava 4 wanajua siri zenu soma vizuri michango ya wachangiaji wanaowajua wewe na mosha, Mie simjui mosha lakini wewe Le mutuz najua Tabia zako ni za hovyo ndiyo maana nakomaa na wewe pekee mpaka ufike mahala uende kanisani kutubu uokoke ndipo nitaacha kukuchapa mawe.
 
Hakumpa rav 4 CEO wake ,akataka irudi jamaa akakataa? Mkawa mnamtafuta na police? Jamaa akawa ana ipaki kwake ? Acha uongo wewe mzee,umemtia chaka mwenzio mbn inajulikana hii mkuu

We si ulikua na ofc upande wa kushoto na CEO wako upande wa kulia? Kabla ya kufika ofc zenu kulikua na ofc ya newsroom? Ndio mlikua mumewaweka staff wenu ?

Jioni njema
 
- Mmeanzia mbali sana na bado mtatunga majungu na uongo mpaka mwisho lakini hamna lolote tunapiga kazi tunakula batazzz!

le Mutuz Superbrand
Mnapiga kazi ya kudidimiza Demokrasia,mnapiga kazi ya kudhoofisha upinzani ndiyo kazi inakupa pesa nyingi sasa na ujue chadema wanakumaindi sana ipo siku watakusuta live huko night club unapozurula.
 
- Mmeanzia mbali sana na bado mtatunga majungu na uongo mpaka mwisho lakini hamna lolote tunapiga kazi tunakula batazzz!

le Mutuz Superbrand
Naona Wanakuonea wivu le kokobangaz ze king of social network nyeenyenye
 
Huyo jamaa binafsi nimeshindwa kumwelewa...

Ndio maana nikamuuliza biashara za wasomi hapa kwetu ni zipi? Na wasomi hao wamefanya nini kikubwa kwenye kuchangia pato la taifa kwa biashara zao ziadi ya hao anaowakandia..

Hata mimi nashangaa sana hii hoja yake ya kulinganisha usomi na mafanikio katika biashara/ Labda atoe mifano thabiti ya hao wasomi, aina ya biashara/kampuni zao, na vipato/faida/utajiri wao vis-a-vis hao anaowaita darasa la saba kama Mosha. He needs to put forth convincing evidence to support his assertion(s).
 
Hakumpa rav 4 CEO wake ,akataka irudi jamaa akakataa? Mkawa mnamtafuta na police? Jamaa akawa ana ipaki kwake ? Acha uongo wewe mzee,umemtia chaka mwenzio mbn inajulikana hii mkuu

We si ulikua na ofc upande wa kushoto na CEO wako upande wa kulia? Kabla ya kufika ofc zenu kulikua na ofc ya newsroom? Ndio mlikua mumewaweka staff wenu ?

Jioni njema
Mkuu pole inaelekea wewe upo humo humo ofisini mwao? au ndiyo walikupora hiyo rava4? Sasa Sinema imekaa vizuri na tayari Le mutuz amejua chanzo cha Uzi huu ni Udikteta wao dhidi ya wafanyakazi na watumishi wao kwa ujumla, ni wakati Le mutuz uwalipe wafanyakazi madai yao pengine wanakudai mishahara yao, walepe pesa zao kabla ya kwenda kula bata school bash na visichana vya shule. ama kweli Le mutuz ni shiiiiida, kwenye Siasa ni shiiiiida na mitaani ni shiiiiida.
 
Hata mimi nashangaa sana hii hoja yake ya kulinganisha usomi na mafanikio katika biashara/ Labda atoe mifano thabiti ya hao wasomi, aina ya biashara/kampuni zao, na vipato/faida/utajiri wao vis-a-vis hao anaowaita darasa la saba kama Mosha. He needs to put forth convincing evidence to support his assertion(s).
Comment yangu [HASHTAG]#325[/HASHTAG] nimemuomba anitajie walichofanya wasomi wetu..

Nasubiri aje na majibu..
 
Kuna watu waliocha kazi huko kwenye TV zenu huenda humjawalipa au mna ugonvi nao, hao wameleta chuki zao kwenu yakupasa uwalipe pesa zao pengine ndiyo wenye rava 4 wanajua siri zenu soma vizuri michango ya wachangiaji wanaowajua wewe na mosha, Mie simjui mosha lakini wewe Le mutuz najua Tabia zako ni za hovyo ndiyo maana nakomaa na wewe pekee mpaka ufike mahala uende kanisani kutubu uokoke ndipo nitaacha kukuchapa mawe.
Mkuu mie pale nilishaenda km mtaalamu wa kitu Fulani ,nawajua vzr hadi set up zao ,hawakua na plan zao ya maneno tu,mby Mosha alimuamini le mutuz na CEO ,halafu wao wenyewe wakawa wanavimbiana , na walivyofeli ,since day one nikajua hawafiki mbali ,sasa naona humu anavyopambana nacheka ,kihutu, hihiiiii
 
Mkuu tafuta tofauti ya Enterpreneur na d Businessman....hii ulisoma UDSM kozi inaitwa "Enterpreneurship 101" na weight units zake ni 2.0!

Mkuu,Mosha ni mfanyabiashara tu,hana element ya innovation....Biashara anazofanya ni zilezile za matajiri ambao hawakwenda shule!

Jamani msibishe,awe proud na lane aliyopo,ndio yake kwa IQ yake....Swahili Media imemtoa jasho!He has been exposed!
Wewe msomi tuambie basi tofauti ya "entrepreneur" na "businessman", lakini my common sense understanding tells me an entrepreneur IS a businessman, just a different type of businessman. Zaidi naomba u-refer jibu langu kwa Steph Curry hapo juu halafu reply in kind.
 
Mkuu mbona kama hizo biashara zote ulizotaja wasomi nyinyi mnaojitapa hamziwezi.. Engineering and Construction miradi yote mikubwa wanachukua wa nje, Class 1 ya kampuni zetu za Engineering mnazomiliki wazawa hawana hata uwezo wa kujenga barabara za kilomita 50 kiwango cha rami..

Mkuu,tuna-improve step by step..wazawa wanapanda..please angalia takwimu za CRB kwa 30 years period utanielewa vizuri tu!

Technology mpaka sasa tumegundua nini kama nchi au hata hao wasomi wetu wamegundua kipi? Innovation teh teh teh teh kipi mmeinnovate wasomi wetu? Manufacturing nitajie weusi (not arabs, indians) watano tu wanaomiliki viwanda vinavyoeleweka hapa nchini, Consulting kampuni kubwa za Consultation hapa nchini ni branches tu nenda PWC na Ernest and Youngs hata wengi walioajiriwa huko sio wazawa pekee ni mchanganyiko mpaka wazungu wapo, Medical teh teh teh teh no comment, Banking nitajie weusi watatu tu wanaomiliki Banks hapa nchini, au we unaongelea hao waajiriwa wa banks ndio unawaona mashujaa kuliko Mosha?

Mkuu,hizo sectors zote tulikua chini na kila mwaka tunapanda tunapoendelea kufanya curation of the local talent na sera...technology sio lazima uvumbue kitu au uwe na patent,vitu kama maxmalipo,m-pawa ambayo ilianza mpesa wakaiba,apps mbalimbali,majiko sanifu,zana za kilimo ndogo ndogo,etc..ni hatua.

Hatuwezi shindana na EU,ila hatua zipo mkuu mwaka kwa mwaka!Na bank zinazomilikiwa na weusi ndio zinazofanya vizuri TZ,please kaangalie!

Huyo Mosha unayemuona mpuuzi katoa ajira kwa watanzania wengi tu, Sasa wewe msomi wetu una nini cha maana? Umeshawahi fanya biashara yeyote au unakalia Executive Chair hapo ofisini kusubiri mwisho wa mwezi? Kama umeshawahi kufanya biashara yeyote ile iwe technical au ya kijanja janja huwezi kumdharau mfanyabiashara hata mwenye kiglossary chenye mtaji wa kreti mbili za bia..

Mkuu,Mosha anaweza magari na malori,nothing wrong with that,IQ yake ndio inaweza vitu hivyo vya low mental work!Nothing to be ashamed of mzee.

Huwezi kumpa Mosha u-genius kwa kuajiri watu wengi,u-genius haupimwi kwa ajira.Ni wrong way ya kupima IQ ya mtu.Na pia mtu kuajiri watu haitoi sifa ya yeye kua mpumbavu kama wengine.

Makampuni ni ya aina tofauti,kuna ya low employment volume na high employment volume,waendesha makampuni hawa wawili hawapimwi IQ kwa idadi ya employees,labda complexities ya majukumu ya hao employees.

Mimi naona tusigombane sana,Mosha ka-prove failure,ni ukweli,na biashara anazozipenda ni za low-mental-work types,kauza Media house kaenda kufungua hoteli,you see the trend here?
 
Hata mimi nashangaa sana hii hoja yake ya kulinganisha usomi na mafanikio katika biashara/ Labda atoe mifano thabiti ya hao wasomi, aina ya biashara/kampuni zao, na vipato/faida/utajiri wao vis-a-vis hao anaowaita darasa la saba kama Mosha. He needs to put forth convincing evidence to support his assertion(s).
inaelekea wakati Le mutuz anaivuruga hiyo tv wapo watu walifukuzwa kienyeji pasipo kulipwa haki zao ndiyo wameandika hizo chuki za darasa la 7 pengine wakiamini ni njia ya kutoa povu zao, lakini 9 na 10 biashara kubwa si lazima kuwa na Elimu kubwa kwa sababu tajiri huajiri wasomi kumsaidia biashara zake kama mzee Azam, lengo la uzi hii ilikuwa ni kumchapa Le mutuz peke yake ili aache vitendo haramu lakini cha ajabu wamepenyeza yao mengine lakini tusichoke tuendelee kumtandika Le mutuz mpaka anyooke.
 
Wewe msomi tuambie basi tofauti ya "entrepreneur" na "businessman", lakini my common sense understanding tells me an entrepreneur IS a businessman, just a different type of businessman. Zaidi naomba u-refer jibu langu kwa Steph Curry hapo juu halafu reply in kind.

Mkuu hili ni swali tulilifanya chuo kikuu udsm kwenye somo la Entrepreneur 101,yule mwalimu nilimsahau jina...Nimemaliza miaka 10 iliyopia.

Another thing,kuna Google,plz google na utaona tofauti zilizoko...Hii ni Chapter kabisa mkuu...sio tunaongea tu hapa unadhani ni vi-common sense tu ndio tunatumia...plz kapitie utapata full definition...

Thanks man!
 
Hakumpa rav 4 CEO wake ,akataka irudi jamaa akakataa? Mkawa mnamtafuta na police? Jamaa akawa ana ipaki kwake ? Acha uongo wewe mzee,umemtia chaka mwenzio mbn inajulikana hii mkuu

We si ulikua na ofc upande wa kushoto na CEO wako upande wa kulia? Kabla ya kufika ofc zenu kulikua na ofc ya newsroom? Ndio mlikua mumewaweka staff wenu ?

Jioni njema

Hahahaa

This proves my theory about Mosha's business management skills....Very poor skills...

Yaani mtu kama Millard Ayo au Majay anampita mbali mno...
 
Back
Top Bottom