Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini?Aishie hukohuko asikanyage hapa kwetu.
Kwani huyo kagame mwenyewe si kibaraka wa mabeberu? Pamoja na usanii kujifanya mwana afrika atafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wampe pesa. Mungu apishilie mbali samia asije mkaribisha zelensky dar es salaam au sivyo atajitilia sahihi na kuondoa shaka kwa wanamapinduzi ndani na nje ya chama cha mapinduzi kama naye ni kibaraka wa magharibi.Tunaomba utulivu, huyu wakala wa mabeberu yuko na Kagame.
View attachment 2873947
Sukari wewe ya nini!?Huku KIZIMKAZI kashindwa na wafanya bznes sukari kilo moja 5000.
Ebu tueleze ujinga wake.Kajinga sana haka kajamaa. Nguvu hakana, halafu kanaamua kujitutumua! Ona sasa kanavyo hangaika huku na kule kutafuta msaada!
Mabeberu wenyewe aliokuwa anawategemea, wote wanapumulia mashine! Kutokana na ujinga wake, kamesababisha bei ya vyakula na mafuta kupanda maradufu!! Hopeless kabisa.
Haha kiboko huku anarandaranda kupitisha bakuli... Kavita kamekua kagumu muungano wote umesanda kwa mtu mmoja Putin.......Kiboko ya dikteta Putin hiyo
Wewe ndiye mjinga iwapo unadhani mtu kupigania nchi yake ni ujinga. Yaani kama wewe ungekuwa mtoto wa kiume basi jamaa linaweza kuingia nyumbani kwako likalala na mke wako kwenye kitanda chako halafu wewe ukajikunja sebuleni kwa kujiona huna nguvu huwezi kujitutumua.Kajinga sana haka kajamaa. Nguvu hakana, halafu kanaamua kujitutumua! Ona sasa kanavyo hangaika huku na kule kutafuta msaada!
Mabeberu wenyewe aliokuwa anawategemea, wote wanapumulia mashine! Kutokana na ujinga wake, kamesababisha bei ya vyakula na mafuta kupanda maradufu!! Hopeless kabisa.
bnnbreaking.com
Unatumia mfano wa mke kutaka kujustify usichokijua...? Tafuta maarifa kwanza sio stories za vijiweniWewe ndiye mjinga iwapo unadhani mtu kupigania nchi yake ni ujinga. Yaani kama wewe ungekuwa mtoto wa kiume basi jamaa linaweza kuingia nyumbani kwako likalala na mke wako kwenye kitanda chako halafu wewe ukajikunja sebuleni kwa kujiona huna nguvu huwezi kujitutumua.
Hujui unaloandika; wewe ni mfuata propaganda tu. Huwezi kusema mwenzio ambaye ni kiongozi wa nchi iliyovamiwa na anajitahid kupigania nchi yake ukasema eti ni kibaraka. Unajua aliingiaje madarakani mpaka kuwa rais wa Ukraine? Ukraine siyo Urusi ambayeo Rais wake ni mtu mmoja tu, Ukraine kila baada ya miaka mitano inafanya uchaguzi na rais anaweza kuwa mtu yeyote yule.Unatumia mfano wa mke kutaka kujustify usichokijua...? Tafuta maarifa kwanza sio stories za vijiweni