waafrika kwasasa akili zenu zmelala , kuna vitu vya msingi ila mnawaza ujinga tu , swala la mtu kuwa kumfuasi wa ukanda fulani sio hoja ila hoja anawajibika kwa wananchi wake ? Ukraine kuna vita lkn hakuna mgao wa umeme ila Tz hkn vita lkn matatizo chungu nzima ila akijifanya kuwananga magharibi mnafurahi na mnasahau kuhoji mambo nyeti , HV WAAFRIKA MMEROGWA NA NAN ? asilimia kubwa ya matatizo yenu sababu sio Uchina , Uarabuni wala Mabeberu ila ni UJINGA WENU HUU WA KUSHINDWA KUWAHOJI VIONGOZ WENU MASWALI SAHIHI NA KUJIKITA KWENY VITY HAVINA TIJA KWENUKwani huyo kagame mwenyewe si kibaraka wa mabeberu? Pamoja na usanii kujifanya mwana afrika atafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wampe pesa. Mungu apishilie mbali samia asije mkaribisha zelensky dar es salaam au sivyo atajitilia sahihi na kuondoa shaka kwa wanamapinduzi ndani na nje ya chama cha mapinduzi kama naye ni kibaraka wa magharibi.
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app