ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Ww sindo unadhinda humu ukiwananga wapalestina wanao pigania taifa lao kuwa ni magaidi?Hujui unaloandika; wewe ni mfuata propaganda tu. Huwezi kusema mwenzio ambaye ni kiongozi wa nchi iliyovamiwa na anajitahid kupigania nchi yake ukasema eti ni kibaraka. Unajua aliingiaje madarakani mpaka kuwa rais wa Ukraine? Ukraine siyo Urusi ambayeo Rais wake ni mtu mmoja tu, Ukraine kila baada ya miaka mitano inafanya uchaguzi na rais anaweza kuwa mtu yeyote yule.
Acha unonko.