Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
OkayWhatever, na pia mimi sikujali kuhusu PK bali Zelensky.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkayWhatever, na pia mimi sikujali kuhusu PK bali Zelensky.
Kwa upande huo yuko vizuriRwanda ya sasa ina uwezo wa kutumia teknolojia zaidi kwenye migogoro kuliko kutia vikosi ardhini.
Ila PK yupo Davos kibiashara na kiuchumi zaidi.
Maglobalists wamependa mindset yake.
Kwenye nchi zinoendelea, wazungu hupenda watu wenye akili na ambao wapo tayari kuwasikiliza hata kama ni madikteta.Kwa upande huo yuko vizuri
Ntapita Kigali hata siku 3 this year nikashuhudie mwenyewe
Ila waafrika mpaka kuja kuamka itachukua miaka mingi sana au hakuna kabisa kuamkaKwenye nchi zinoendelea, wazungu hupenda watu wenye akili na ambao wapo tayari kuwasikiliza hata kama ni madikteta.
Ila madikteta hao wawe tayari kula na kipofu na wasikaze shingo.
PK amekuwa akiongea mambo mengoi ya kuwakosoa mabeberu akitumia (very careful wording) lakini bado wanae kwa sababu wana maslahi nae.
Tusisahau huko jirani kuna malighafi za kutengeneza magari ya Tesla, simu za mikononi, laptops na vifaa vingine vingi sana vinohitajika huko Ulaya na Marekani.
Malighafi ipo huko na bado itaendelea kuwepo hivyo, kwahitajika "stability and assurances" kutoka kwa watu kama PK.
Na yeye pia atumia furasa hiyo kuwekeza ndani ya nchi yake kiuchumi, kiutalii (karuhusu viza bure kwa waafrika), kiteknolojia na kijeshi.
Kwa mfano ni wazi kuwa CCM imeamua kujizatiti ili kuitawala Tanzania milele bila kupingwa.Ila waafrika mpaka kuja kuamka itachukua miaka mingi sana au hakuna kabisa kuamka
Duniani sawa ule na kipofu lakini wananchi wanapata kila kitu kama wenzetu wenye mafuta wa ME
Ila ndio hivyo tena
No time for that.Nawe si waweza kufuata ushauri wangu vile vile?
Mkuu, nimekuelewa sana hapo kuhusu Ulaya na nchi zilizoendeleaKwa mfano ni wazi kuwa CCM imeamua kujizatiti ili kuitawala Tanzania milele bila kupingwa.
Lakini CCM wana "responsibility" kuhakiksha wananchi ambao ndo wapiga kura na waajiri wao maisha yao yaboreshwa na uchumi wanufaisha nchi nzima.
Kuna maamuzi serikali yafanya huitaji scrutiny bungeni lakini kwa kuwa Bunge letu lina udhaifu fulani serikali yatumia mwanya huo kuamua masuala mazito ambayo huko mbele yayaliingia taifa gharama kubwa.
Vitndo vya rushwa, kickbacks, na matumizi mabaya ya madarska na fedha yapo Ulaya na Marekani ingawa ni kwa kwango kidogo.
Lakini hakuna kitu kibaya kama kutumia vibaya madaraka na fedha za umma kwa manufaa binafsi.
Fedha zote za umma zapaswa kwenda kwa matumizi ya umma na si vinginevyo.
Empty head. 🚮Wew ndo usome maana mambo yapo wazi ,wewe unahisi historia inampa mtu haki ya kuua watoto na wazee na wanawake ? hv mnakuwaga mmevuta bangi gan ? Ukraine ilipaswa ipongezwe maana imeepusha vita tangu mwaka 2013 ila Urusi amekuwa analazimisha vita na walimwachia hadi Crimea bado Urusi akaitaka na Ukraine nzima , mijitu inayosapoti Urusu mingi ni mipumbav na inapenda kusema soma HISTORIA wkt historia yenyewe haijui
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
🚮hv kila mgogoro lzm mumtaje Marekan ? hv si Biden alimuasa Putin asiivamie Ukraine siku mbili kabla , wengi wenu mnaiabudu USA na kuiona zaid ya mungu maana kila kitu mnauhusisha MAREKAN kana kwamba kabla ya 1948 USA DOMINATION hakukuwa na migogoro , muda mwingine mna mkufuru mungu , kama una akili timamu ungeelewa Ukraine alikaa kimya sn licha ya Urusi kumchokonoa Ukraine tangu mwaka 2013 na mwishowe Urusi huyo huyo akaivamia Ukraine , bado lijinga limoja km ww linapata nguvu za kuitaja MAREKAN , hv mnavutaga bangi ?
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Same with me.No time for that.
Sheria, haki na kuwajibika kwa wenzetu hivi vitu ni muhimu sana.Mkuu, nimekuelewa sana hapo kuhusu Ulaya na nchi zilizoendelea
Mimi nina zaidi ya miaka 30 🇬🇧 huwezi kuona rushwa kwa macho au kuulizwa na kama kuna kubebana kwenye miradi na tenda kupo ila hela za miradi kwa sisi viongozi waliopewa majukumu wamakula 80% na 20 tu ndio itapelekwa kwenye miradi au labda zaidi
Ila wenzetu naona miradi inakamilika kwa 90% kihalali na 10 wale wao
Chama na viongozi tumeona wanavyouza mpaka open spaces au masoko bila kujali mwananchi
Auction Mart and Dealership.Anaonekana kimuonekano kama dalali tu na sio raisi
Tunaomba utulivu, huyu wakala wa mabeberu yuko na Kagame
President Kagame met with President Volodymyr Zelensky and discussed the ongoing situation in Ukraine and efforts to resolve the conflict
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ndiye mjinga iwapo unadhani mtu kupigania nchi yake ni ujinga. Yaani kama wewe ungekuwa mtoto wa kiume basi jamaa linaweza kuingia nyumbani kwako likalala na mke wako kwenye kitanda chako halafu wewe ukajikunja sebuleni kwa kujiona huna nguvu huwezi kujitutumua.
Hizi pesa hizi, ipo wazi hao askari inajulikana watachinjwa, Russia si mchezo mzee.Si business 😃😃😃😃anachukua banyamulenge afu tatu anapokea kitika kutoka kwa dona kantri anakuja kuvimba ist africa kwa kuipendezesha kigali...simpo 😂😂😂
Your exempla gratia is contrary to the scenario as long as ubi fumus ibi ignisWewe ndiye mjinga iwapo unadhani mtu kupigania nchi yake ni ujinga. Yaani kama wewe ungekuwa mtoto wa kiume basi jamaa linaweza kuingia nyumbani kwako likalala na mke wako kwenye kitanda chako halafu wewe ukajikunja sebuleni kwa kujiona huna nguvu huwezi kujitutumua.
Wanasema n vita vya machine sio mchezo.Hizi pesa hizi, ipo wazi hao askari inajulikana watachinjwa, Russia si mchezo mzee.