Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

Nimescreenshot hii.. Nitafanyia kazi at my own risk, asante mkuu
 
Ahsante mpka nalose weight aiseee nkila kidogo tu nashiba nkijilazmisha naskia kichefuchefu Sina appetite kabisa Na chakula Na nkinywa vitu baridi soda Maji naumwa tumbo balaa
Zingatia masharti usile vyakula vyenye asidi kula kwa wakati choma sindano ya pantoprazole kula sana parachichi anza kliniki muhimbili au temeke kama upo dar es salaam hakika utapona inshallah
 
Ahsante mpka nalose weight aiseee nkila kidogo tu nashiba nkijilazmisha naskia kichefuchefu Sina appetite kabisa Na chakula Na nkinywa vitu baridi soda Maji naumwa tumbo balaa
Sister tumia juice ya cabbage,blend na maji kidogo na unywe bila kuchuja. Glass mara 2 kwa siku 30 utakuja kushukuru hapa,isikae zaidi ya siku 2 kwa fridge. Ukiweza kutengeneza fresh kila siku itakua poa zaidi.
 
Kuna MTU juzi kaniambia kuwa bangi inaponyessha vidonda vya tumbo, unachukua majani yake na kuchemsha
 
Hili nalo kumbe janga la taifa.

Kuna mtu kasema mayai mabichi mmh!!. Nilikulaga siku Moja tumbo lilinikata kama vile mtu anavisu ananikata navyo, sijayarudia mpka tena.

Hivyo vipimo wanapima hospital za Serikali hizi za wilaya au private!?. Endoscopy na hiyo gastroscopy
 
Nilinusurika kupotea kwa sababu ya hili tatizo, ila nilipata TIBA mahali.

Ugonjwa huu una stage zake, na utofautiana TIBA kulingana na stage iliyopo.

1. Kuna kutibu majeraha yaliyopo kwenye utumbo mdogo na tumbo lenyewe.

2. Kuna kuzuia acid isizalishwe kupita kiasi au kuweka msawazo wa acid inayozalishwa.

3. Kuna kuwaondoa bakteria wa H-pyrol na kujikinga wasijirudie.

4. Kuna kupata maelekezo ya mlo wakati wa TIBA.

Hivyo basi kila mmoja anatibiwa kutokana na hali yake, TIBA iliyonisaidia ninaiuza mpaka sasa. Mwenye changamoto awasiliane nami kwa njia wa Whatsapp
+255679448434.

ANDIKA NENO “VIDONDA VYA TUMBO” ili upate huduma haraka kwani nina jumbe nyingi sana.

TIBA inapatikana mikoani pia maana kuna matawi yetu huko.

KUPONA NI HAKIKA
 
Hata za wilaya zipo ila kwenye zahanati hakuna
 
😀😀😀
 
Ngoja nimwambie ndugu yangu ajaribu hiii
Jana nlivotoka Kazin jioni Kwa eneo nliloppo nlikosa bamia Na cabbage Kwa muda ule...Ila nlibahatika kupata majani ya mashona nguo yamejiotea mengi Sana nje ya fence.....nikachuma majani kidogo nikachemsha glass moja Na asubuhi nikachemsha glass moja nikanywa..........kiukwel nimepata nafuu kubwa ukilinganisha Jana pia nimekua Na appetite Kali nakula Sana Na kuskia njaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…