Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

Aisee hongera sana na utapona inshallah
 

Mkuu Tui , hadi sasa tumbo limetulia kabisa? Hiyo tiba inagharimu kiasi gani?
 
Kuna jamaa nilisimulia juu ya hali kama hiyo alinambia kuna ana dawa from kigoma imewasaidia wengi, kama upo intersted na upo Dar naweza kuku link nao uone namna unasaidika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…