Dawa kutoka CUBA ni Mpango Serikali kupitia wizara ya Afya au Polepole?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Navojua polepole ni mtumishi wa serikali. Na ametumwa na Rais kuwakilisha nchi.

Kwanini suala la dawa kutoka CUBA atangaze yeye kama yeye na siyo wizara ya afya.

Hizo dawa zimethibitishwa na nani kwa matumizi ya hapa Tanzania and how ziende private hospital?

Unless kutakuwa na shida mahali
 
Amekurupuka.....alitakiwa aunganishe wizara na Cuba wafuate utaratibu...ikiwa ready wizara itatangaza na kumpa credit zake balozi bila hiyana ....alichofanya sio sawa....labda kama anataka KM nafasi i wazi.....
 
This is what is see
 
Nishanunuaga dawa ya kupuliza/kuua viluilui vya wadudu wa mbuu hapo kibaha aise dawa si mchezo,
Najuwa hii issue ya dawa za wacuba hapo kibaha ni zengwe tu na hilo zengwe halijaanza leo
Kuna watu wanaona kama biashara zao zitaharibika
Nyie endeleeni kuleta siasa ila kwa sisi wengine kitambo tu tunajuwa namna ya kuzipata hizo dawa na kuzitumia kwa matumizi yetubinafsi
Na zinatusaidia

Ova
 
Maandalizi ya mbinyo wa medical suply toka Kwa wahisani!!
Labda Dawa hazitoshi au uhaba utatokea mbeleni au Kuna badiliko kuu la kimtazamo na kiuelekeo wa kitaifa tunajiandaa mapema!!

Tiba mbadala ndio zimewasimamia wacuba hadi Leo dhidi ya mmarekani!!

Tunarudi eden sio utumwani misri Tena sio!!?
 
Kampeni zimeanza?
 
ndugu nikihitaji hii naipataje?
 
Unakurupuka. Unadhan anaweza kufanya hivyo bila ya kuwasiliana na mamlaka ya Ikulu-TZ ?
 
Amekurupuka.....alitakiwa aunganishe wizara na Cuba wafuate utaratibu...ikiwa ready wizara itatangaza na kumpa credit zake balozi bila hiyana ....alichofanya sio sawa....labda kama anataka KM nafasi i wazi.....
Au angewaunganisha wafanyabiashara wa dawa wa Tanzania na hao watengenezaji wa hizo dawa huko Cuba.
 
Au angewaunganisha wafanyabiashara wa dawa wa Tanzania na hao watengenezaji wa hizo dawa huko Cuba.
Lazima dawa zote sisajiliwe kwanza.....wizara lazima iwemo kwenye mpango wote
 
Watamhamishia Madagascar au Japan
 
Kama kuna dawa ambazo ni nzuri zaidi kwanini awekewe vikwazo lengo letu ni moja kumtibu mtanzania katika aina bora zaidi ya dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…