Dawa kutoka CUBA ni Mpango Serikali kupitia wizara ya Afya au Polepole?

Dawa kutoka CUBA ni Mpango Serikali kupitia wizara ya Afya au Polepole?

Navojua polepole ni mtumishi wa serikali. Na ametumwa na Rais kuwakilisha nchi.

Kwanini suala la dawa kutoka CUBA atangaze yeye kama yeye na siyo wizara ya afya.

Hizo dawa zimethibitishwa na nani kwa matumizi ya hapa Tanzania and how ziende private hospital?

Unless kutakuwa na shida mahali
HIVI TUFANYE MAOMBI GANI MUNGU AIACHIE NCHI YETU?
ALIKWENDA MADAGASKA PROF. ALIYETOLEWA JALALANI, ALIKUJA NA DAWA AMBAYO HAIKUTANGAZWA NA WIZARA YA AFYA.
SASA HII YA M CCM MBALI YA KUITANGAZA MPAKA HOSPITALI ANAYO ITAKA YEYE NDIYO ITAKAYO POKEA ANAOTAKA YEYE KUWAHUDUMIA.
KAMA KILA BALOZI ATAFANYA BIASHARA YA ANAKO TUWAKILISHA.
BASI WA ENGLAND ATACHAGUWA ANAOWATAKA KUONGEA KINGEREZA.
 
Nishanunuaga dawa ya kupuliza/kuua viluilui vya wadudu wa mbuu hapo kibaha aise dawa si mchezo,
Najuwa hii issue ya dawa za wacuba hapo kibaha ni zengwe tu na hilo zengwe halijaanza leo
Kuna watu wanaona kama biashara zao zitaharibika
Nyie endeleeni kuleta siasa ila kwa sisi wengine kitambo tu tunajuwa namna ya kuzipata hizo dawa na kuzitumia kwa matumizi yetubinafsi
Na zinatusaidia

Ova
Nifanyie mpango nipate hii ya mbu mkuu
 
Amekurupuka.....alitakiwa aunganishe wizara na Cuba wafuate utaratibu...ikiwa ready wizara itatangaza na kumpa credit zake balozi bila hiyana ....alichofanya sio sawa....labda kama anataka KM nafasi i wazi.....
Hivi nyie watanzania mbona kama mnajisahau sana! hamjijui kwa kutengeneza urasimu huku mkiacha raia wenu wanakufa kwa magonjwa kama ya kansa etc?
 
Navojua polepole ni mtumishi wa serikali. Na ametumwa na Rais kuwakilisha nchi.

Kwanini suala la dawa kutoka CUBA atangaze yeye kama yeye na siyo wizara ya afya.

Hizo dawa zimethibitishwa na nani kwa matumizi ya hapa Tanzania and how ziende private hospital?

Unless kutakuwa na shida mahali
Nilisikia akitaja dawa mbali mbali Hadi ya kutibu kisukari. Ila nadhani alitoa no yake bila kutaja sehemu zinazopatikana japokuwa kwa Sasa no yake haipo kwenye mtandao.

Mwenye maelezo yote aweze kushare hapa
 
Back
Top Bottom