Dawa kutoka CUBA ni Mpango Serikali kupitia wizara ya Afya au Polepole?

HIVI TUFANYE MAOMBI GANI MUNGU AIACHIE NCHI YETU?
ALIKWENDA MADAGASKA PROF. ALIYETOLEWA JALALANI, ALIKUJA NA DAWA AMBAYO HAIKUTANGAZWA NA WIZARA YA AFYA.
SASA HII YA M CCM MBALI YA KUITANGAZA MPAKA HOSPITALI ANAYO ITAKA YEYE NDIYO ITAKAYO POKEA ANAOTAKA YEYE KUWAHUDUMIA.
KAMA KILA BALOZI ATAFANYA BIASHARA YA ANAKO TUWAKILISHA.
BASI WA ENGLAND ATACHAGUWA ANAOWATAKA KUONGEA KINGEREZA.
 
Nifanyie mpango nipate hii ya mbu mkuu
 
Amekurupuka.....alitakiwa aunganishe wizara na Cuba wafuate utaratibu...ikiwa ready wizara itatangaza na kumpa credit zake balozi bila hiyana ....alichofanya sio sawa....labda kama anataka KM nafasi i wazi.....
Hivi nyie watanzania mbona kama mnajisahau sana! hamjijui kwa kutengeneza urasimu huku mkiacha raia wenu wanakufa kwa magonjwa kama ya kansa etc?
 
Nilisikia akitaja dawa mbali mbali Hadi ya kutibu kisukari. Ila nadhani alitoa no yake bila kutaja sehemu zinazopatikana japokuwa kwa Sasa no yake haipo kwenye mtandao.

Mwenye maelezo yote aweze kushare hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…