Dawa ya huu ugonjwa msaada

Aloevera mafuta, cream au mmea wenyewe
 
Nikushauri uende hospitali. Unachotuonesha ni madhara ya ugonjwa ila chanzo chake hospitali watakisemea zaidi. Ni hatari kushauriwa tiba humu na watu ambao huwezi kuthibitisha ni madaktari. Ila ngoja waje wengine kukushauri ingawa hujasema unataka dawa za kitaalam au zile zetu za jadi!!
 
Nakushauri uende/aende hospitali. Sidhani kama ni tatizo la kutisha. Huko likishindikana kutibika ndio unaweza leta mrejesho members wakusaidie mawazo mbadala.
 
Nenda hospital but kama moto wa nairob fly
 
Daaah pole sana mkuu, kamtafute dokta wa ngozi
 
Nishawahi ona hiyo kitu lakini ilikuwa mguuni na husababishwa na Kula ngano nyingi... Chapati, maandazi, bia N.K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…