Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,620
- 3,165
ndy ni jina la sabuni inauzwa mia tano tuB29 ni jina la sabuni au aina ya sabuni ?
MKUU... unatumia mapovu yake? au unajomola kakipande kadogo? na madhara yake ni yapi? ukiyameza?Nimeteseka sana na maumivu ya jino aiseee nimetumia dawa za hospital na kienyeji siku mbili tatu maumivu yanarudi
Siku moja niliabiwa nunua SABUNI YA B29 uwe unaswakia acha kutumia dawa ya meno tumia sabuni.
Ni mwaka na nusu sijuwi maumivu ya jino
ipo kwaajili ya kufulia ni dawa tunaipandisha hadhiSabuni kwa ajili ya kuogea wewe unaswakia?
unapaka kwenye mswaki na haumezi unatemaMKUU... unatumia mapovu yake? au unajomola kakipande kadogo? na madhara yake ni yapi? ukiyameza?
maduka yote ya takataka wanauzaZinapatikana wapi hizo sabuni?
wadudu wanatoka unapotema unawaona waleeeeimekuponyesha au imetuliza maumivu,wadudu wamelala tu kama hujalitoa,ipo siku wataamka kwa mbwembwe zote......
Noted! mkuu...unapaka kwenye mswaki na haumezi unatema
Wewe jino hulijui. Kinaweza kukupumzisha hata miaka 2 ukadhani umepona Ipo siku usiyoijua Wala saa litakutupuka utatamani ukatenkichwa kabisa ili uwe umeyaondoa meno yoteNimeteseka sana na maumivu ya jino aiseee nimetumia dawa za hospital na kienyeji siku mbili tatu maumivu yanarudi
Siku moja niliabiwa nunua SABUNI YA B29 uwe unaswakia acha kutumia dawa ya meno tumia sabuni.
Ni mwaka na nusu sijuwi maumivu ya jino
Umeshawah kuumwa jino mkuu!JINO MOJA , MSWAKI WA NINI ? SI UNALILAMBA TU
Halafu kwa taarifa yako sababu za kuumwa meno zipo nyingi ila mtaani wwnakubia Kuna mdudu?😃😃imekuponyesha au imetuliza maumivu,wadudu wamelala tu kama hujalitoa,ipo siku wataamka kwa mbwembwe zote......