Siku ukiwa unaenda kung'oa, hiyo karafuu utaikuta huko kwenye jino tena ukitaka dokta akuonyeshe atakuonyesha. Dawa ya jino ni kung'oa huo ndo ukweli mchungu.Aah sawa bwana maana na yenyewe mpk nimekata tamaa km nitaipata
Huku nilipo sijawahi iona kabisa
Halafu mi ya juu kote kulia na kushoto
Karafuu inanisaidia kiasi fulani ni shida kwakweli
Nitaikuta wapi??? Mi meno yangu hayajatoboka pia natumia maji ya karafuu kusukutua sa nitaikuta waopi hiyo karafuu??Siku ukiwa unaenda kung'oa, hiyo karafuu utaikuta huko kwenye jino tena ukitaka dokta akuonyeshe atakuonyesha. Dawa ya jino ni kung'oa huo ndo ukweli mchungu.
Sawa bwana
UsiwazeSawa bwana
Tar4 ukimaliza utaniambia utakapokua
tena akikuta foleni ataanza kufokea alowakuta mbele😂Na wakiamka, ataitafuta hospitali mwenyewe bila kusukumizwa na mtu🤣
Jino noomatena akikuta foleni ataanza kufokea alowakuta mbele😂
Nauza asbuni ya B29 nzur sana kwa Kutibu maumivu ya meno ya aina zote.Nimeteseka sana na maumivu ya jino aiseee nimetumia dawa za hospital na kienyeji siku mbili tatu maumivu yanarudi
Siku moja niliabiwa nunua SABUNI YA B29 uwe unaswakia acha kutumia dawa ya meno tumia sabuni.
Ni mwaka na nusu sijuwi maumivu ya jino
mmhNauza asbuni ya B29 nzur sana kwa Kutibu maumivu ya meno ya aina zote.