avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,848
- 15,949
Hapana PCB ya miaka ya 80 ya Vine and Rees ,Plant and animal science vol.1 &2 ( mikate) ni sisi tulipokuwa tunafanya hesabu na physics kwa kutumia Slide rules na for figure, ni sisi tuliokiwa tunafanya dissection panya weupe wazuri kutoka mzumbe😃😃Unaonekana una ufahamu na maswala ya kinywa na meno.