Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Lipia tangazo
Bwebwetu na sio bacteria??ni bwebwetu viungo kwenye chakula ila wanatoka pamoja na damu
Karafuu ni ganzi,ukiweka inakata maumivu ndo maana watu huwa wanasema ni dawa ila sio dawa ni kiondoa maumivu. Karafuu ni ganzi nzuri sana kwani ina kiambata kinachoweza kutumika kutengeneza ganzi inayotumika mahospitalini. Ndio maana ukitumia maumivu yanapotea hadi unadhani umepona ila kiuhalisia unakuwa hujapona, baada ya muda maumivu yanarudi.Mimi pia ninasumbuliwa na meno ila bado sijayapatia ufumbuzi rasmi natumia dawa ya meno ya forever living lakini bado maumivu yapo nilishawahi kwenda hospitali ya serekali dentist akayaangalia akaniambia nenda hayana shida yoyote.
Juzi nilikuwa na mtu alikuwa ananunua mapera katika maongezi akawa anataja sifa za mpera ndio akasema jani la mpera na karafuu ukitafuna ni dawa nzuri ya meno. Hii sijajaribu lakini nataka nifuatilie nijaribu.
Kwa hiyo kwa mnaoumwa meno mnaweza kujaribu Jani la mpera kilitafuna na karafuu mbili tatu uone kama itakusaidia
Aliyekwambia kwenye meno kuna wadudu alikudanganyaimekuponyesha au imetuliza maumivu,wadudu wamelala tu kama hujalitoa,ipo siku wataamka kwa mbwembwe zote......
Aliye kwambia kwenye meno kuna wadudu alikudanganyainatengemeana na mgonjwa kuna mgonjwa ambaye wadudu wamekua wakubwa wanaonekana wengine hawaonekan kwa macho
utabaki na meno ambayo hayajashambuliwa na waduduSasa utabaki na nini?
Halafu utumbo nje?utabaki na meno ambayo hayajashambuliwa na wadudu
bacteria huwezi kuwaona kwa machoBwebwetu na sio bacteria??
niliandika kupima uelewa wawatuAliye kwambia kwenye meno kuna wadudu alikudanganya
eeh ndo vizuri unachelewa na kuzeekaHalafu utumbo nje?
MakubwaNimeteseka sana na maumivu ya jino aiseee nimetumia dawa za hospital na kienyeji siku mbili tatu maumivu yanarudi
Siku moja niliabiwa nunua SABUNI YA B29 uwe unaswakia acha kutumia dawa ya meno tumia sabuni.
Ni mwaka na nusu sijuwi maumivu ya jino
Duh
Ndo wanasema unaweka kidogo km limetoboka kwenye shimoDuhhhhh!! Ugoro unaweka kwenye jino linapouma?? Mbona kumvutisha mamchu ugoro tena kha!!!
Cc Smart911
Ndio maana nimeshangaa aliyesema kwamba eti wadudu wanaoharibu meno unaweza kuwaona kwa macho.bacteria huwezi kuwaona kwa macho
huenda ni macho ya rohonNdio maana nimeshangaa aliyesema kwamba eti wadudu wanaoharibu meno unaweza kuwaona kwa macho.
Aah sawa bwana maana na yenyewe mpk nimekata tamaa km nitaipataDuuhhhhhhh!! Ile dawa ndo mwisho wa reli . Yani siamini kama hili langu limekoma kuuma! Jino linauma vibaya nyieeee👐👐
Cc Smart911
Hilo ndo jibu sasa.Dawa ya jino ni kulitoa au kuziba,nakushauri kafanye X-ray and deep cleaning kwa dentist anayejielewa,utajua meno yote mabovu na namna ya kuyatibu