Dawa ya jino gharama mia tano imeniponesha

sawa sawa mkuu asante
 
naushahidi wa baba yang anakaribia miaka 70 ajawah kutoa jino ndo aliniambia B29 inatibu
Sio Kila mtu hushambuliwa na magonjwa ya meno.Wapo watu Wana miaka 105 hawajawahi kungoa jino hata Moja. Fact that hajangoa jino na umri wake mdogo wa miaka 70 haihalalishi sabuni hiyo kuwa ndio omesababisha
 
ni kwel
 
Unaonekana una ufahamu na maswala ya kinywa na meno.
 
Hivi hawa genziii wanatupeleka wapi ?
Leo hii sabuni inapigiwa mswakiโ€ฆ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ