Hapana PCB ya miaka ya 80 ya Vine and Rees ,Plant and animal science vol.1 &2 ( mikate) ni sisi tulipokuwa tunafanya hesabu na physics kwa kutumia Slide rules na for figure, ni sisi tuliokiwa tunafanya dissection panya weupe wazuri kutoka mzumbe😃😃Unaonekana una ufahamu na maswala ya kinywa na meno.
Nimeteseka sana na maumivu ya jino aiseee nimetumia dawa za hospital na kienyeji siku mbili tatu maumivu yanarudi
Siku moja niliabiwa nunua SABUNI YA B29 uwe unaswakia acha kutumia dawa ya meno tumia sabuni.
Ni mwaka na nusu sijuwi maumivu ya jin
sijataja mwaka nimesema kupona pha sabuni ya jero kwa kupitishia mswaki tu unaweza tumia zaid ya mwakaKwa hiyo mwaka mmoja na nusu unatumia sabuni ya shs 500 tu
Ila umekuwa motivation speaker?
Miaka 70 ni umri mdogo? Si ni mzee kabisa huyo, aisee hata kama ni kubishana dah 😃😂Sio Kila mtu hushambuliwa na magonjwa ya meno.Wapo watu Wana miaka 105 hawajawahi kungoa jino hata Moja. Fact that hajangoa jino na umri wake mdogo wa miaka 70 haihalalishi sabuni hiyo kuwa ndio omesababisha
Hao ni funza sasa, funza wanaishambulia meno?inatengemeana na mgonjwa kuna mgonjwa ambaye wadudu wamekua wakubwa wanaonekana wengine hawaonekan kwa macho
zipo njia za kuwaona watu wanadhani unapotema unawaona sio kwelHao ni funza sasa, funza wanaishambulia meno?
Na wakiamka, ataitafuta hospitali mwenyewe bila kusukumizwa na mtu🤣imekuponyesha au imetuliza maumivu,wadudu wamelala tu kama hujalitoa,ipo siku wataamka kwa mbwembwe zote......
Unasafisha utumbo😎MKUU... unatumia mapovu yake? au unajomola kakipande kadogo? na madhara yake ni yapi? ukiyameza?
Mkuu,wadudu wanaoharibu meno ni bacteria.Bacteria toka lini akakua mkubwa kiasi cha kuweza kuonekana kwa macho??inatengemeana na mgonjwa kuna mgonjwa ambaye wadudu wamekua wakubwa wanaonekana wengine hawaonekan kwa macho
nenda hospital kamuone daktarMeneja masoko wa B29 nakuona upo kwenye ubora. Vipi ikitokea nimemeza povu la B29?
ni bwebwetu viungo kwenye chakula ila wanatoka pamoja na damuMkuu,wadudu wanaoharibu meno ni bacteria.Bacteria toka lini akakua mkubwa kiasi cha kuweza kuonekana kwa macho??
nan kakudaganya utaharisha mpaka utumboUnasafisha utumbo
Dawa ni, Full Denture Implant baaasi.Naweza pata dawa mkuu....😜View attachment 3660147
ndy nyingi tuHzo sabun Bado znapatkana kwel
Sasa utabaki na nini?nan kakudaganya utaharisha mpaka utumbo