Dawa ya jino gharama mia tano imeniponesha

Karafuu ni ganzi,ukiweka inakata maumivu ndo maana watu huwa wanasema ni dawa ila sio dawa ni kiondoa maumivu. Karafuu ni ganzi nzuri sana kwani ina kiambata kinachoweza kutumika kutengeneza ganzi inayotumika mahospitalini. Ndio maana ukitumia maumivu yanapotea hadi unadhani umepona ila kiuhalisia unakuwa hujapona, baada ya muda maumivu yanarudi.

Na kama bado una shida ya meno,badili daktari wa meno hadi upate daktari atakayekupatia ufumbuzi wa tatizo lako.
 
Nimeteseka sana na maumivu ya jino aiseee nimetumia dawa za hospital na kienyeji siku mbili tatu maumivu yanarudi
Siku moja niliabiwa nunua SABUNI YA B29 uwe unaswakia acha kutumia dawa ya meno tumia sabuni.
Ni mwaka na nusu sijuwi maumivu ya jino
Makubwa
 
Duuhhhhhhh!! Ile dawa ndo mwisho wa reli . Yani siamini kama hili langu limekoma kuuma! Jino linauma vibaya nyieeee👐👐


Cc Smart911
Aah sawa bwana maana na yenyewe mpk nimekata tamaa km nitaipata
Huku nilipo sijawahi iona kabisa

Halafu mi ya juu kote kulia na kushoto
Karafuu inanisaidia kiasi fulani ni shida kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…