Dawa ya kumfanya mwanaume akupende na hatimaye akuoe

Abtali mwerevu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
665
Reaction score
515
Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe.

Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu, unaona kabisa hakuna dalili za ndoa. Dawa hii itasaidia kufanya mwanaume huyu akuoe na siyo kuishia kukuchezea.

Wapo mabinti ambao mna mahusiano na zaidi ya mtu mmoja. Mnaruhusiwa kufanya dawa hii, lakini muhimu ni kwamba, kila mmoja umfanyie kwa wakati wake, usiwachanganye wote pamoja.

Unaweza kufanya dawa hii peke yako, au unaweza kusaidiwa kwa kuwasiliana nami kwa KUGUSA HAPA

MAHITAJI YA DAWA
Chumvi ya dukani kijiko kimoja.

karatasi nyeupe isiyokuwa na mistari.

Maji lita moja.

KAMA KILA KITU KIPO TAYARI, SASA FANYA HAYA:

Andika jina la mtu unayemtaka kwa herufi kubwa katika karatasi. Chini ya jina, andika unachotaka kutoka kwa huyo mtu kwa herufi kubwa. Kwa mfano unaweza kuandika: MAIGE JUMA, NIPENDE UNIOE, NATAKA NDOA KWAKO, USIISHIE KUNICHEZEA, PATA MOYO WA KUNIOA, TUISHI PAMOJA.

Ukimaliza, weka chumvi juu ya karatasi, kisha kunja karatasi yako ikiwa na chumvi: kunja kama unatengeza sigara, ukimaliza kukunja, funga pande zote chumvi isimwagike, halafu iingize karatasi ile ndani ya chupa ya maji. Ihifadhi chupa hiyo sehemu ambayo si rahisi kufikiwa na watu kwa muda wa siku saba, baada ya hapo unaweza kuitupa. Unaweza kupokea matokeo ndani ya siku saba, au ikachelewa kidogo kulingana na ugumu wa mtu wako, lakini, ndoa itatangazwa. Muhimu, hakikisha unawasiliana nami muda wote kuniambia maendeleo yako.
 
Mwanamke aliye desperate mpaka kutafuta dawa hivi, anaweza hata kukuua, bila kupanga.

Ni wa kuogopwa sana.
Wanaotafuta dawa wahanga wengi ni wamama wajawazito, wamama wanaonyonyesha watoto, wamama walionenepa sana na wanawake walio olewa na wanaume wanaojihusisha na uchimbaji wa madini kwenye migodi midogo midogo, pia wadada wavaa vikuku nao wanaongoza kwa kushika dawa.
 
Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe.

Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu, unaona kabisa hakuna dalili za ndoa. Dawa hii itasaidia kufanya mwanaume huyu akuoe na siyo kuishia kukuchezea.

Wapo mabinti ambao mna mahusiano na zaidi ya mtu mmoja. Mnaruhusiwa kufanya dawa hii, lakini muhimu ni kwamba, kila mmoja umfanyie kwa wakati wake, usiwachanganye wote pamoja.

Unaweza kufanya dawa hii peke yako, au unaweza kusaidiwa kwa kuwasiliana nami.

MAHITAJI YA DAWA
Chumvi ya dukani kijiko kimoja.

karatasi nyeupe isiyokuwa na mistari.

Maji lita moja.

KAMA KILA KITU KIPO TAYARI, SASA FANYA HAYA:

Andika jina la mtu unayemtaka kwa herufi kubwa katika karatasi. Chini ya jina, andika unachotaka kutoka kwa huyo mtu kwa herufi kubwa. Kwa mfano unaweza kuandika: MAIGE JUMA, NIPENDE UNIOE, NATAKA NDOA KWAKO, USIISHIE KUNICHEZEA, PATA MOYO WA KUNIOA, TUISHI PAMOJA.

Ukimaliza, weka chumvi juu ya karatasi, kisha kunja karatasi yako ikiwa na chumvi: kunja kama unatengeza sigara, ukimaliza kukunja, funga pande zote chumvi isimwagike, halafu iingize karatasi ile ndani ya chupa ya maji. Ihifadhi chupa hiyo sehemu ambayo si rahisi kufikiwa na watu kwa muda wa siku saba, baada ya hapo unaweza kuitupa. Unaweza kupokea matokeo ndani ya siku saba, au ikachelewa kidogo kulingana na ugumu wa mtu wako, lakini, ndoa itatangazwa. Muhimu, hakikisha unawasiliana nami muda wote kuniambia maendeleo yako.
Usikute wewe mwenyewe hujaolewa..!!
 
Back
Top Bottom