Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamuoa mwenye nyota kali kushinda wenzake.Mkuu itakuwaje Kama wanawake watatu wakinifanyia hivyo na Mimi Ni mkristo ..??
Ni imani, kama jinsi wengine wanavyoamini katika dini wakafanikiwa.Uwongo huuu wa mchana kweupe
ledada we hutaki mume..? nifanyie hiyo dawa basi nikupende nikuwowe!..😂Haya mambo ya TikTok ungeyaacha huko huko. Kupotoshana tu.
Utapeli huuZingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe.
Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu, unaona kabisa hakuna dalili za ndoa. Dawa hii itasaidia kufanya mwanaume huyu akuoe na siyo kuishia kukuchezea.
Wapo mabinti ambao mna mahusiano na zaidi ya mtu mmoja. Mnaruhusiwa kufanya dawa hii, lakini muhimu ni kwamba, kila mmoja umfanyie kwa wakati wake, usiwachanganye wote pamoja.
Unaweza kufanya dawa hii peke yako, au unaweza kusaidiwa kwa kuwasiliana nami.
MAHITAJI YA DAWA
Chumvi ya dukani kijiko kimoja.
karatasi nyeupe isiyokuwa na mistari.
Maji lita moja.
KAMA KILA KITU KIPO TAYARI, SASA FANYA HAYA:
Andika jina la mtu unayemtaka kwa herufi kubwa katika karatasi. Chini ya jina, andika unachotaka kutoka kwa huyo mtu kwa herufi kubwa. Kwa mfano unaweza kuandika: MAIGE JUMA, NIPENDE UNIOE, NATAKA NDOA KWAKO, USIISHIE KUNICHEZEA, PATA MOYO WA KUNIOA, TUISHI PAMOJA.
Ukimaliza, weka chumvi juu ya karatasi, kisha kunja karatasi yako ikiwa na chumvi: kunja kama unatengeza sigara, ukimaliza kukunja, funga pande zote chumvi isimwagike, halafu iingize karatasi ile ndani ya chupa ya maji. Ihifadhi chupa hiyo sehemu ambayo si rahisi kufikiwa na watu kwa muda wa siku saba, baada ya hapo unaweza kuitupa. Unaweza kupokea matokeo ndani ya siku saba, au ikachelewa kidogo kulingana na ugumu wa mtu wako, lakini, ndoa itatangazwa. Muhimu, hakikisha unawasiliana nami muda wote kuniambia maendeleo yako.
Unatapeliwa nini hapo ikiwa kila kitu umeelekezwa? Umeombwa hela? Au unaogopa kuchapwa kisomo kikali na binti unayempotezea muda?Utapeli huu
Aisee..Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe.
Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu, unaona kabisa hakuna dalili za ndoa. Dawa hii itasaidia kufanya mwanaume huyu akuoe na siyo kuishia kukuchezea.
Wapo mabinti ambao mna mahusiano na zaidi ya mtu mmoja. Mnaruhusiwa kufanya dawa hii, lakini muhimu ni kwamba, kila mmoja umfanyie kwa wakati wake, usiwachanganye wote pamoja.
Unaweza kufanya dawa hii peke yako, au unaweza kusaidiwa kwa kuwasiliana nami.
MAHITAJI YA DAWA
Chumvi ya dukani kijiko kimoja.
karatasi nyeupe isiyokuwa na mistari.
Maji lita moja.
KAMA KILA KITU KIPO TAYARI, SASA FANYA HAYA:
Andika jina la mtu unayemtaka kwa herufi kubwa katika karatasi. Chini ya jina, andika unachotaka kutoka kwa huyo mtu kwa herufi kubwa. Kwa mfano unaweza kuandika: MAIGE JUMA, NIPENDE UNIOE, NATAKA NDOA KWAKO, USIISHIE KUNICHEZEA, PATA MOYO WA KUNIOA, TUISHI PAMOJA.
Ukimaliza, weka chumvi juu ya karatasi, kisha kunja karatasi yako ikiwa na chumvi: kunja kama unatengeza sigara, ukimaliza kukunja, funga pande zote chumvi isimwagike, halafu iingize karatasi ile ndani ya chupa ya maji. Ihifadhi chupa hiyo sehemu ambayo si rahisi kufikiwa na watu kwa muda wa siku saba, baada ya hapo unaweza kuitupa. Unaweza kupokea matokeo ndani ya siku saba, au ikachelewa kidogo kulingana na ugumu wa mtu wako, lakini, ndoa itatangazwa. Muhimu, hakikisha unawasiliana nami muda wote kuniambia maendeleo yako.
Hawana pa kutokea. Nawaona wanachochea eti uzi ufutwe... mara wananiita tapeli, sasa natapeli nini hapo... somo lote nimelimwaga bila kuruka hatua. Kazi wanayo.Aisee..
Kwa hiyo timu "Kataa Ndoa" wamepatikana sasa, hakuna kuchomoa 😆
Salama yao itakuwa ni kujikita kwenye punyeto pekee
SIWEZI😂😂kama hunipendi hunipendi tu😂😂😂ledada we hutaki mume..? nifanyie hiyo dawa basi nikupende nikuwowe!..😂
weka na ya kinyume chake. kuna mwanamuke nataka kumuoa ananizingua. yupo humuhumu jeifu folamZingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe.