Dawa ya kumfanya mwanaume akupende na hatimaye akuoe

Mwanamke aliye desperate mpaka kutafuta dawa hivi, anaweza hata kukuua, bila kupanga.

Ni wa kuogopwa sana.
Jamaa yupo kimkakati, hapo katega nyavu kwa wanaotaka kutengenezewa dawa achukuwe maokoto.

Mjini njoo na akili tu jembe acha kijijini kwenu.
 
Sheikh mtume Issa bin Mariam alitoa elimu na kuwaachia akina Paul watufunze sisi waje wake kwamba wake/waume wawe na mke/mume mmoja, hebu pitia kitabu cha 1 Corinthians 7, hapo mwanzo tu.
Sasa hao wengine wazini tu wasiolewe sio? Siamini hayo kua ni maneno ya Yesu.
 
Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe.

Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu, unaona kabisa hakuna dalili za ndoa. Dawa hii itasaidia kufanya mwanaume huyu akuoe na siyo kuishia kukuchezea.

Wapo mabinti ambao mna mahusiano na zaidi ya mtu mmoja. Mnaruhusiwa kufanya dawa hii, lakini muhimu ni kwamba, kila mmoja umfanyie kwa wakati wake, usiwachanganye wote pamoja.

Unaweza kufanya dawa hii peke yako, au unaweza kusaidiwa kwa kuwasiliana nami.

MAHITAJI YA DAWA
Chumvi ya dukani kijiko kimoja.

karatasi nyeupe isiyokuwa na mistari.

Maji lita moja.

KAMA KILA KITU KIPO TAYARI, SASA FANYA HAYA:

Andika jina la mtu unayemtaka kwa herufi kubwa katika karatasi. Chini ya jina, andika unachotaka kutoka kwa huyo mtu kwa herufi kubwa. Kwa mfano unaweza kuandika: MAIGE JUMA, NIPENDE UNIOE, NATAKA NDOA KWAKO, USIISHIE KUNICHEZEA, PATA MOYO WA KUNIOA, TUISHI PAMOJA.

Ukimaliza, weka chumvi juu ya karatasi, kisha kunja karatasi yako ikiwa na chumvi: kunja kama unatengeza sigara, ukimaliza kukunja, funga pande zote chumvi isimwagike, halafu iingize karatasi ile ndani ya chupa ya maji. Ihifadhi chupa hiyo sehemu ambayo si rahisi kufikiwa na watu kwa muda wa siku saba, baada ya hapo unaweza kuitupa. Unaweza kupokea matokeo ndani ya siku saba, au ikachelewa kidogo kulingana na ugumu wa mtu wako, lakini, ndoa itatangazwa. Muhimu, hakikisha unawasiliana nami muda wote kuniambia maendeleo yako.
Hamna dawa kama hiyo,kwani wale babu wa sumbawanga na Tanga wamekuambiaje kwenye mabango yao? Hadi hapo jua umeshaibiwa😂
 
Haya mambo yapo,kuna we hapa unajishebedua ila shida ikikufika mbona utafanya tu.
Niliwahi kuzongwa na mtu kwenye mahusiano alikuwa anafosi sana na mimi wala hata sina mpango naye mbona nilimweka mbali.
 
Dawa Kupenda na kuoa tena🙄🙄 uzi ufutwe mara moja .
 
Shishi mbona anaowa vivulana vipenda mseleleko anavichezea vikishamtowa nyege anavibwaga anatarget ukuni mpya.
Screenshot_20240530-143355.png

Ni kama wameshambulia.. huyo kijana kaandika " nikakubali matokeo na kumpisha kijana mwenzangu aendeleze gurudumu"

😁
 
Haya mambo yapo,kuna we hapa unajishebedua ila shida ikikufika mbona utafanya tu.
Niliwahi kuzongwa na mtu kwenye mahusiano alikuwa anafosi sana na mimi wala hata sina mpango naye mbona nilimweka mbali.
Niwaheri ama,usiwe tu wa mchongo😁
 
Qmmmmmk, Kungwi ni Single mother wa zaidi ya miaka 7. Akili kichwani
 
Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe.

Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu, unaona kabisa hakuna dalili za ndoa. Dawa hii itasaidia kufanya mwanaume huyu akuoe na siyo kuishia kukuchezea.

Wapo mabinti ambao mna mahusiano na zaidi ya mtu mmoja. Mnaruhusiwa kufanya dawa hii, lakini muhimu ni kwamba, kila mmoja umfanyie kwa wakati wake, usiwachanganye wote pamoja.

Unaweza kufanya dawa hii peke yako, au unaweza kusaidiwa kwa kuwasiliana nami.

MAHITAJI YA DAWA
Chumvi ya dukani kijiko kimoja.

karatasi nyeupe isiyokuwa na mistari.

Maji lita moja.

KAMA KILA KITU KIPO TAYARI, SASA FANYA HAYA:

Andika jina la mtu unayemtaka kwa herufi kubwa katika karatasi. Chini ya jina, andika unachotaka kutoka kwa huyo mtu kwa herufi kubwa. Kwa mfano unaweza kuandika: MAIGE JUMA, NIPENDE UNIOE, NATAKA NDOA KWAKO, USIISHIE KUNICHEZEA, PATA MOYO WA KUNIOA, TUISHI PAMOJA.

Ukimaliza, weka chumvi juu ya karatasi, kisha kunja karatasi yako ikiwa na chumvi: kunja kama unatengeza sigara, ukimaliza kukunja, funga pande zote chumvi isimwagike, halafu iingize karatasi ile ndani ya chupa ya maji. Ihifadhi chupa hiyo sehemu ambayo si rahisi kufikiwa na watu kwa muda wa siku saba, baada ya hapo unaweza kuitupa. Unaweza kupokea matokeo ndani ya siku saba, au ikachelewa kidogo kulingana na ugumu wa mtu wako, lakini, ndoa itatangazwa. Muhimu, hakikisha unawasiliana nami muda wote kuniambia maendeleo yako.
 
Mkuu itakuwaje Kama wanawake watatu wakinifanyia hivyo na Mimi Ni mkristo ..??
Mbona mwamposa pia anawapa chumvi na anawambia mchukue mchanga wa eneo la biashara? Wakristo mnapenda kujifanya wataktifu wakati ni wachawi wakubwa.
 
Back
Top Bottom