Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka mstari wa kwenye bible yesu aliposema tuwe na mke mmojaSheikh mtume Issa bin Mariam alitoa elimu na kuwaachia akina Paul watufunze sisi waje wake kwamba wake/waume wawe na mke/mume mmoja, hebu pitia kitabu cha 1 Corinthians 7, hapo mwanzo tu.
Mercy akipita hapa nimeishaZingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe.
Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu, unaona kabisa hakuna dalili za ndoa. Dawa hii itasaidia kufanya mwanaume huyu akuoe na siyo kuishia kukuchezea.
Wapo mabinti ambao mna mahusiano na zaidi ya mtu mmoja. Mnaruhusiwa kufanya dawa hii, lakini muhimu ni kwamba, kila mmoja umfanyie kwa wakati wake, usiwachanganye wote pamoja.
Unaweza kufanya dawa hii peke yako, au unaweza kusaidiwa kwa kuwasiliana nami.
MAHITAJI YA DAWA
Chumvi ya dukani kijiko kimoja.
karatasi nyeupe isiyokuwa na mistari.
Maji lita moja.
KAMA KILA KITU KIPO TAYARI, SASA FANYA HAYA:
Andika jina la mtu unayemtaka kwa herufi kubwa katika karatasi. Chini ya jina, andika unachotaka kutoka kwa huyo mtu kwa herufi kubwa. Kwa mfano unaweza kuandika: MAIGE JUMA, NIPENDE UNIOE, NATAKA NDOA KWAKO, USIISHIE KUNICHEZEA, PATA MOYO WA KUNIOA, TUISHI PAMOJA.
Ukimaliza, weka chumvi juu ya karatasi, kisha kunja karatasi yako ikiwa na chumvi: kunja kama unatengeza sigara, ukimaliza kukunja, funga pande zote chumvi isimwagike, halafu iingize karatasi ile ndani ya chupa ya maji. Ihifadhi chupa hiyo sehemu ambayo si rahisi kufikiwa na watu kwa muda wa siku saba, baada ya hapo unaweza kuitupa. Unaweza kupokea matokeo ndani ya siku saba, au ikachelewa kidogo kulingana na ugumu wa mtu wako, lakini, ndoa itatangazwa. Muhimu, hakikisha unawasiliana nami muda wote kuniambia maendeleo yako.
Moods hawanaga shida kwenye mambo za kiwaki kama hizi... Ulozi mtupuMods huu uzi ufutwe haraka sana iwezekanavyo
🤣🤣🤣 em jaribisha jina languChumvi zitapanda bei sasa
Kuna mtu akiiona hii nmekwishaaZingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe.
Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu, unaona kabisa hakuna dalili za ndoa. Dawa hii itasaidia kufanya mwanaume huyu akuoe na siyo kuishia kukuchezea.
Wapo mabinti ambao mna mahusiano na zaidi ya mtu mmoja. Mnaruhusiwa kufanya dawa hii, lakini muhimu ni kwamba, kila mmoja umfanyie kwa wakati wake, usiwachanganye wote pamoja.
Unaweza kufanya dawa hii peke yako, au unaweza kusaidiwa kwa kuwasiliana nami.
MAHITAJI YA DAWA
Chumvi ya dukani kijiko kimoja.
karatasi nyeupe isiyokuwa na mistari.
Maji lita moja.
KAMA KILA KITU KIPO TAYARI, SASA FANYA HAYA:
Andika jina la mtu unayemtaka kwa herufi kubwa katika karatasi. Chini ya jina, andika unachotaka kutoka kwa huyo mtu kwa herufi kubwa. Kwa mfano unaweza kuandika: MAIGE JUMA, NIPENDE UNIOE, NATAKA NDOA KWAKO, USIISHIE KUNICHEZEA, PATA MOYO WA KUNIOA, TUISHI PAMOJA.
Ukimaliza, weka chumvi juu ya karatasi, kisha kunja karatasi yako ikiwa na chumvi: kunja kama unatengeza sigara, ukimaliza kukunja, funga pande zote chumvi isimwagike, halafu iingize karatasi ile ndani ya chupa ya maji. Ihifadhi chupa hiyo sehemu ambayo si rahisi kufikiwa na watu kwa muda wa siku saba, baada ya hapo unaweza kuitupa. Unaweza kupokea matokeo ndani ya siku saba, au ikachelewa kidogo kulingana na ugumu wa mtu wako, lakini, ndoa itatangazwa. Muhimu, hakikisha unawasiliana nami muda wote kuniambia maendeleo yako.
hakuna sehemu inaongelea idadi ya wanawake wa kuoa katika hivo vifungu
check context ya kinachoongelewa
Yakobo mwenyewe baba wa taifa takatifu alikuwa nao wanne
Samweli nabii baba yake alikuwa nao wawili
Ibrahim alikuwa nao wawili
Uko sahihiMods huu uzi ufutwe haraka sana iwezekanavyo
Maombi yanakutana, yanagongana buuuu, halafu mlengwa unabaki unasunda kama hakijatokea kituMkuu itakuwaje Kama wanawake watatu wakinifanyia hivyo na Mimi Ni mkristo ..??
NakaziaMwanamke aliye desperate mpaka kutafuta dawa hivi, anaweza hata kukuua, bila kupanga.
Ni wa kuogopwa sana.
Ndio ni mimiNiwaheri ama,usiwe tu wa mchongo[emoji16]
Bado upoMods huu uzi ufutwe haraka sana iwezekanavyo