Dawa ya kumfanya mwanaume akupende na hatimaye akuoe

Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe.

Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu, unaona kabisa hakuna dalili za ndoa. Dawa hii itasaidia kufanya mwanaume huyu akuoe na siyo kuishia kukuchezea.

Wapo mabinti ambao mna mahusiano na zaidi ya mtu mmoja. Mnaruhusiwa kufanya dawa hii, lakini muhimu ni kwamba, kila mmoja umfanyie kwa wakati wake, usiwachanganye wote pamoja.

Unaweza kufanya dawa hii peke yako, au unaweza kusaidiwa kwa kuwasiliana nami.

MAHITAJI YA DAWA
Chumvi ya dukani kijiko kimoja.

karatasi nyeupe isiyokuwa na mistari.

Maji lita moja.

KAMA KILA KITU KIPO TAYARI, SASA FANYA HAYA:

Andika jina la mtu unayemtaka kwa herufi kubwa katika karatasi. Chini ya jina, andika unachotaka kutoka kwa huyo mtu kwa herufi kubwa. Kwa mfano unaweza kuandika: MAIGE JUMA, NIPENDE UNIOE, NATAKA NDOA KWAKO, USIISHIE KUNICHEZEA, PATA MOYO WA KUNIOA, TUISHI PAMOJA.

Ukimaliza, weka chumvi juu ya karatasi, kisha kunja karatasi yako ikiwa na chumvi: kunja kama unatengeza sigara, ukimaliza kukunja, funga pande zote chumvi isimwagike, halafu iingize karatasi ile ndani ya chupa ya maji. Ihifadhi chupa hiyo sehemu ambayo si rahisi kufikiwa na watu kwa muda wa siku saba, baada ya hapo unaweza kuitupa. Unaweza kupokea matokeo ndani ya siku saba, au ikachelewa kidogo kulingana na ugumu wa mtu wako, lakini, ndoa itatangazwa. Muhimu, hakikisha unawasiliana nami muda wote kuniambia maendeleo yako.
images.jpeg
 
@

dronedrake Poor Brain mtaoa mwaka huu mbagajr24
 
mkuu ni wapi ukristo unakataza wake watatu
Sheikh mtume Issa bin Mariam alitoa elimu na kuwaachia akina Paul watufunze sisi waje wake kwamba wake/waume wawe na mke/mume mmoja, hebu pitia kitabu cha 1 Corinthians 7, hapo mwanzo tu.
 
Ajabu sana dada zetu watafuata huu ushauri, wamejazana si nyumba za ibada wala huko kwa wataalam kuzitafuta ndoa.

Ila kwa vile wamekiri wanaweza kuishi bila mwanaume, basi tuwaache wapambane na hali zao.
 
mkuu ni wapi ukristo unakataza wake watatu

Mwanzo 2:24 (KJV) Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
—————————————————————

Mathayo 19:3-9 (KJV) Basi Mafarisayo wakamwendea, wakamjaribu, wakimwambia, Je! Ni halali mtu kumwacha mkewe kwa kila sababu?
Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke,
akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?
Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe.
Wakamwambia, Jinsi gani basi Musa aliamuru kumpa hati ya talaka, na kumwacha?
Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.
Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
 
Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe.

Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu, unaona kabisa hakuna dalili za ndoa. Dawa hii itasaidia kufanya mwanaume huyu akuoe na siyo kuishia kukuchezea.

Wapo mabinti ambao mna mahusiano na zaidi ya mtu mmoja. Mnaruhusiwa kufanya dawa hii, lakini muhimu ni kwamba, kila mmoja umfanyie kwa wakati wake, usiwachanganye wote pamoja.

Unaweza kufanya dawa hii peke yako, au unaweza kusaidiwa kwa kuwasiliana nami.

MAHITAJI YA DAWA
Chumvi ya dukani kijiko kimoja.

karatasi nyeupe isiyokuwa na mistari.

Maji lita moja.

KAMA KILA KITU KIPO TAYARI, SASA FANYA HAYA:

Andika jina la mtu unayemtaka kwa herufi kubwa katika karatasi. Chini ya jina, andika unachotaka kutoka kwa huyo mtu kwa herufi kubwa. Kwa mfano unaweza kuandika: MAIGE JUMA, NIPENDE UNIOE, NATAKA NDOA KWAKO, USIISHIE KUNICHEZEA, PATA MOYO WA KUNIOA, TUISHI PAMOJA.

Ukimaliza, weka chumvi juu ya karatasi, kisha kunja karatasi yako ikiwa na chumvi: kunja kama unatengeza sigara, ukimaliza kukunja, funga pande zote chumvi isimwagike, halafu iingize karatasi ile ndani ya chupa ya maji. Ihifadhi chupa hiyo sehemu ambayo si rahisi kufikiwa na watu kwa muda wa siku saba, baada ya hapo unaweza kuitupa. Unaweza kupokea matokeo ndani ya siku saba, au ikachelewa kidogo kulingana na ugumu wa mtu wako, lakini, ndoa itatangazwa. Muhimu, hakikisha unawasiliana nami muda wote kuniambia maendeleo yako.
na sisi wanaume tupe ya KUPATA hela
 
Mwanzo 2:24 (KJV) Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
—————————————————————

Mathayo 19:3-9 (KJV) Basi Mafarisayo wakamwendea, wakamjaribu, wakimwambia, Je! Ni halali mtu kumwacha mkewe kwa kila sababu?
Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke,
akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?
Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe.
Wakamwambia, Jinsi gani basi Musa aliamuru kumpa hati ya talaka, na kumwacha?
Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.
Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
hakuna sehemu inaongelea idadi ya wanawake wa kuoa katika hivo vifungu
check context ya kinachoongelewa
Yakobo mwenyewe baba wa taifa takatifu alikuwa nao wanne
Samweli nabii baba yake alikuwa nao wawili
Ibrahim alikuwa nao wawili
 
Back
Top Bottom