Dawa ya kumrudisha mpenzi, mume/mke mliyeachana inawezekana kweli?

Dawa ya kumrudisha mpenzi, mume/mke mliyeachana inawezekana kweli?

Njia ipi hiyo[emoji27]
1 Huyu mwanaume wako mpaka wewe umsalimie au hukusalimia na wewe?
2 WhatsApp yake kishakublock au bado?
3 Hebu nielezee mwanaume wako ni mpole,wastani au muhuni,msomi na anaishi na familia yake?
4 Ni mtu mwenye dharau au mtu mwenye kupenda kuona mwenziwe anafanikiwa au selfish?
5 Tokea apige kimya ukimwambia unampenda anajibu nini?
6 Dini zenu sawa au tofauti?
7 Ukiongea nae huwa na dharau kwake au unaongea nae kama mtoto kwako au kama mumeo?
8 Wewe na yeye mna sex na kama ndio ushughulikiaji wako upoje huko chini?
9 Wewe ni unaependa kuweka manukato mwilini au hutumiagi?
10 Umeshawahi kumuomba muonane na kumtoa out na wewe ukasimamia malipo na kumuuliza kulikoni na kwanini mawasiliano yenu yamepungua?

Nimeuliza haya masuali kujua undani halisi ni kama kwenda kwa daktari maelezo yako ndio atajua matatizo yako. Na hutoa uamuzi wa dawa ipi inafaa na ipi haikufai

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
tozi25,

1.tulikua na kawaida ya kusalimiana kwa ambae ataamka mapemaq sekuliko mwenzie ndie atamuanza mwenzake
2.amefuta namba yangu ila sijajua km na block nimepewa au vp sababu na mm niliamua kufuta nilivyoona hvy
3.kwa muda niliokaa nae ni mtu mpole na ana background ya familia nzuri bado anaishi kwao sababu hajaoa though sasa hv yupo anajiendeleza kimasomo chuo
4.honestly hakua mtu selfish na alinisaidia tu kwenye baadh i ya shughuli za biashara nilizoanzisha
5.nilimuuliza akaniambia mara nimpe muda...mara kwa aliyoyasikia anashindwa kujua aeleweje inshort anajifanya hajielewi lastly anasema ananipenda ila hali ndio km ilivyo
6.Dini ni sawa mpk madhehebui
7.mimi na yy tulikua na tendecy ya kuishi km marafiki ila tunaheshimiana kwny makosa tunaelezana kwenye msamaha mtu unaomba maisha yanaenda
8.[emoji28]kwa hapo siwez ongea vingi ila kwa maelezo yake i was the best to him sasa siwez jua moyo wa mtu una cjawah muuliza ila alikua akiniambia mwnyw
9.mm ni mtumiaji mzuri wa manukato simple ya kike ila most alikua ananiletea yy anayopenda nitumie
10.nimeshawahi na si mara moja kutoka nae out na kusimamia bills especially siku zake za birthdays au akiwa anapitia magumu flani ili kumuonyesha how I care about him ila tangia huu mzozo utokee hajanipa nafasi ya kufny hv na hii ishu imetokea nikiwa naumwa sn ht kuonana nae km yy asipotaka inkua ngumu mm kumuona
 
Nadhani hata huyo alionifanyia hv hajawahi jua upendo wa dhati niliokua nao juu yake mm kiumri si mdogo wala si mkubwa sana nipo kwenye middle 20's
Itafik kipindi utajikuta unajiuliza , kama umepoteza farasi au umeipata kamba.

Its not worth it... Utalikumbuka hili neno, one day

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tozi25,

1.tulikua na kawaida ya kusalimiana kwa ambae ataamka mapemaq sekuliko mwenzie ndie atamuanza mwenzake
2.amefuta namba yangu ila sijajua km na block nimepewa au vp sababu na mm niliamua kufuta nilivyoona hvy
3.kwa muda niliokaa nae ni mtu mpole na ana background ya familia nzuri bado anaishi kwao sababu hajaoa though sasa hv yupo anajiendeleza kimasomo chuo
4.honestly hakua mtu selfish na alinisaidia tu kwenye baadh i ya shughuli za biashara nilizoanzisha
5.nilimuuliza akaniambia mara nimpe muda...mara kwa aliyoyasikia anashindwa kujua aeleweje inshort anajifanya hajielewi lastly anasema ananipenda ila hali ndio km ilivyo
6.Dini ni sawa mpk madhehebui
7.mimi na yy tulikua na tendecy ya kuishi km marafiki ila tunaheshimiana kwny makosa tunaelezana kwenye msamaha mtu unaomba maisha yanaenda
8.[emoji28]kwa hapo siwez ongea vingi ila kwa maelezo yake i was the best to him sasa siwez jua moyo wa mtu una cjawah muuliza ila alikua akiniambia mwnyw
9.mm ni mtumiaji mzuri wa manukato simple ya kike ila most alikua ananiletea yy anayopenda nitumie
10.nimeshawahi na si mara moja kutoka nae out na kusimamia bills especially siku zake za birthdays au akiwa anapitia magumu flani ili kumuonyesha how I care about him ila tangia huu mzozo utokee hajanipa nafasi ya kufny hv na hii ishu imetokea nikiwa naumwa sn ht kuonana nae km yy asipotaka inkua ngumu mm kumuona
Kwenye namba 5 hapo ndio ishu ilipo hakuna kwengine hebu jaribu hivi:-
1 Mpigie simu saa 2 usiku kwa muda wa siku 3 na kama hajapokea piga tena mara ya pili kama hajapokea wacha mpaka siku inayofuata rudia tena kama siku ya kwanza.
2 Mpigie simu saa 7 hadi 8 mchana na ujumbe mfupi wa kimapenzi kama itawezekana tuma na wimbo wa mahaba wa lugha ya Kiswahili au English kwa siku 3.
Ukishafanya hivyo nitafute nipe majibu

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mchape vibao ili aache ujinga. Hivyo ndivyo aliniambia R baada ya kuona juhudi zake za kurudiana na mimi zimegonga mwamba.

Alianza kuzingua kama huyo wa kwako, nikabembeleza sana ila wapi. Nilikuwaa silali kabisa lakini mwenzangu haelewi.

Baadae nilikubaliana na matokeo nikaamua komove on. After two months, she came with tears and knees. Sikutaka kusikia huo ujinga hata alipoagiza watu wamuombee msamaha. Ndipo akasema, ulivoona sieleweki bora hata ungekuwa unanipiga ili nisifikie hatua hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alinikwaza na mimi nilimkwaza ila hazikua sababu zenye mashiko kabisaa kufikia huku na kiupande wangu niliomba msamaha kwa pale nilipokosea tena mapema kabisa baada ya kuona nimemkosea...akawa km amekubali mara aniambie tuachane kuna siku akainsist sana nimuache nikajibu kiunyongr tu sawa maana sikua na jinsi baada ya siku mbili akanitafuta kutaka yaishe na alikosea nikamwambia its okay yameisha....ila tena ghafla hata siku mbili hazijapita ananiambia anaona bora aniache yaani inshort yupo km psycho kuna muda anakua sawa kuna muda anazingua mwisho wa siku ikafikia hapokei cm wala hajibu txts
Mapenz yanatesa sana ila amini nakwambia wewe unaweza ukachukulia poa kwazo ambalo umemkwaza ila kwake yeye akachukulia nikitu kikubwa Sanaa so usipende kudharau kosa lolote unalomkosea mwenzako.

Mimi nipo kwenye mahusiano, mwenzangu mara nyingi ananikwaza kwavitu ambavyo yeye katika kuomba msamaha anachukulia poa sana namara nyingi ananishangaa vile navyopanic kwainshu ambayo yeye anaichukulia poa sana ila kwaupande wangu hali huwa nitofauti sana yaani roho huwa inaniuma sanaa mpaka kufikia hatua yakutamani kuvunja mahusiano ila napojaribu kufanya hivyo mwenzangu anabaki ananishangaa yaani inshu ndogo kama hii ndio uniache?? Me namwambia ndio ila namkaushia namwambia ipo siku utokuja kuamini kama penzi letu litafika kikomo kwasababu kama hizi au zakufanana nahii...

Ushauri wangu, huyo jamaa yako hana hatia ila ninachokiona kwako nikuishi kwamazoea, mtu unamkosea mara nyinginyingi makosa yaleyale kwakuyadharau nakuyaona niyakawaida sana ila kiuharisia yanamuumiza mwenzako. Endapo akirudi katika himaya yako jitahidi muishi bila kukwazana.

Kwanza mimi mtu anaye nikwazakwaza kila mara hata nyege nae huwa sina kabisaaaaa Sasa nitakuwaje namtu wahivyo.

Alafu wanawake mnajuaga kosa kubwa ambalo mwanaume anaweza kukuacha nikumcheat tuuuu... Wala sio yapo mauzi madogomadogo mengi sana jaribuni kujirekebisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20200110-WA0003.jpg
 
Mchape vibao ili aache ujinga. Hivyo ndivyo aliniambia R baada ya kuona juhudi zake za kurudiana na mimi zimegonga mwamba.

Alianza kuzingua kama huyo wa kwako, nikabembeleza sana ila wapi. Nilikuwaa silali kabisa lakini mwenzangu haelewi.

Baadae nilikubaliana na matokeo nikaamua komove on. After two months, she came with tears and knees. Sikutaka kusikia huo ujinga hata alipoagiza watu wamuombee msamaha. Ndipo akasema, ulivoona sieleweki bora hata ungekuwa unanipiga ili nisifikie hatua hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jamani[emoji28]
 
Alinikwaza na mimi nilimkwaza ila hazikua sababu zenye mashiko kabisaa kufikia huku na kiupande wangu niliomba msamaha kwa pale nilipokosea tena mapema kabisa baada ya kuona nimemkosea...akawa km amekubali mara aniambie tuachane kuna siku akainsist sana nimuache nikajibu kiunyongr tu sawa maana sikua na jinsi baada ya siku mbili akanitafuta kutaka yaishe na alikosea nikamwambia its okay yameisha....ila tena ghafla hata siku mbili hazijapita ananiambia anaona bora aniache yaani inshort yupo km psycho kuna muda anakua sawa kuna muda anazingua mwisho wa siku ikafikia hapokei cm wala hajibu txts
Mimi n me nna tatizo kama la mme wako,ila aliefanya mpka nafika stg hyo n yy cz huwa unakuta unachat mara afanye ku mute kujibu msg na azime sim,mm nkaona kama dharau nikakaa kimya kwa muda mara anze kukutafuta tena,itoshe kusema tu nyue kuna muda mnaamua kutisikisa kiberit ili mjue mnapendwa kias gan,sasa nkushauri tu kqma ushawah mpima huyo mpnz wako kw kumuweka majaribun,kama kampata anaemzuzua jiandikie umepoteza,ukipendwa pendeka,acha kupima kina cha maji kwa mguu
 
Usha
Sitaki kuamini uyu jamaa ndio aliye vunja ( kukubikiri) maana tujuavyo wanawake huwapenda sana watu walio wafundisha mambo na wakisalitiwa huwa wanakua vicheche sana
Kuachwa au kukataliwa ni moja ya sehemu ya mahusiano wangapi walikupenda ukawakataa? Je unahisi walijiskiaje ila leo hii wamesimama na kiendelea na wako mbali wengine na ndoa

Your weakness is umeonesha unampenda sana na hauwezi move au ishi pasipo yeye sasa umekosea wanaume tukiisha jua. Flan ananipenda ndio tunakuendesha maana hauna plan B ya maisha tushajua
Ili uwese ku move on ni njia mbili

1. Usipende kaa pekeako jishughukishe sana , hudhuria makongamano ya dini, seminar za kibiashara, fanya evening and morning walk, mazoezi, refresh mind kwa kutembelea ndugu na marafiki ukipata experience ya vitu vipya

2. Sitisha kumpigia simu na kumtumia msg ni ngumu najua but if yah can manage for only 2 week bus jua utakua umeweza ku move on, futa picha zake kwenye simu yako, futa nmba zake , ondoa vitu vyake vyoye vitakavyo kupa kumbukumbu then weka nia moyoni kwamba Yes i can do it”

Haujawai fiwa na watu wa karibu yako? Watu waliofiwa wazazi au ndugu wa karibu wanajua ninacho ongea just imagine unaongea na mtu then unaambiwa kafariki tena alikua ni mtu wa karibu sana , so uwa tunasikitika tunalia sana na kuomboleza kwa muda fulani then tunasahau kua ilitokea na mwisho life goes on

NB. Usiende Pm za watu ovyo na kama ukiweka miadi ya kukutana na mtu jinsia tofauti angalia yasiwe mazingira hatarishi JF ni nyumba salama ukiwa uwanjani kwa wote kama hapa ila ukienda Pm jua its on your own risk usije ukashangaa unaliwa kimasihara na msaada usipate

Sent from my iPhone using JamiiForums
ushauri mzuri sanaaa ambao nimeshaufanya na unafunction almost 80%
 
Back
Top Bottom