St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
1 Huyu mwanaume wako mpaka wewe umsalimie au hukusalimia na wewe?Njia ipi hiyo[emoji27]
2 WhatsApp yake kishakublock au bado?
3 Hebu nielezee mwanaume wako ni mpole,wastani au muhuni,msomi na anaishi na familia yake?
4 Ni mtu mwenye dharau au mtu mwenye kupenda kuona mwenziwe anafanikiwa au selfish?
5 Tokea apige kimya ukimwambia unampenda anajibu nini?
6 Dini zenu sawa au tofauti?
7 Ukiongea nae huwa na dharau kwake au unaongea nae kama mtoto kwako au kama mumeo?
8 Wewe na yeye mna sex na kama ndio ushughulikiaji wako upoje huko chini?
9 Wewe ni unaependa kuweka manukato mwilini au hutumiagi?
10 Umeshawahi kumuomba muonane na kumtoa out na wewe ukasimamia malipo na kumuuliza kulikoni na kwanini mawasiliano yenu yamepungua?
Nimeuliza haya masuali kujua undani halisi ni kama kwenda kwa daktari maelezo yako ndio atajua matatizo yako. Na hutoa uamuzi wa dawa ipi inafaa na ipi haikufai
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️