Dawa ya kuondoa mvi kichwani



Huo ni uchawi??🤔
 
Mm nlipokuw na miak 15_22 nlikuw naz zaid ya 10,kwa miak hiy yot nkaw natumia super black zkaw znaongezk tu badae nkaacha Leo hii na miak 26 SNA at 1,japo Mzee Wang naskia kaanz tang primary saiv kichw kzm cheupe (58)
 
Wandugu naombeni dawa ya kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni.
Nilipata changamoto ya mvi nikiwa na miaka 26 mwisho niliamua kuzikubali saivi nazifurahia kabisa
 
Habari za muda huu wana jamvi,

Msaada jamani namna ya kutoa mvi kichwani. Nina tatzo baadhi ya sehem kichwani mwangu mvi huwa zinajitokeza na bado sijafikia umri wa kuota mvi.
 
Habari za muda huu wana jamvi,
Msaada jamani namna ya kutoa mvi kichwani. Nina tatzo baadhi ya sehem kichwani mwangu mvi huwa zinajitokeza na bado sijafikia umri wa kuota mvi.
Kwan umri sahh wa kuota mvi n miaka mingapi?

Maana mm mwanangu kaanza kuota mvi akiwa na miaka 13

Inawezekana wewe una miaka pungufu ya hapo labda ndio maana umeshtuka
 
Sasa zinakughasi nini? Sifa moja wapo ya wanaowatafuna mabinti shule. Wengine hupaka Rangi na wengine hunyoa kama polisi au Prof Lipumba.
 
Kuna shampoo moja subili ntakuulizia kama unaweza.kuagiza amazon utaipata inasaidia sana though mm sijaitumia ila kuna ndugu alinielekeza na anatumia yuko kwenye 50s hana mvi hata kidogo
 
Nna mvi 3 km sio 4 nazipenda balaa

Cant wait for that silver in the future..the transition..

Saloon alinyofoa kimoja nilimind sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…